Wasabato (SDA) US ndio jamii ya watu wanaoishi Muda mrefu kuliko mmarekani yoyote.

wanaishi miaka 10 zaidi Life expectancy ya mmarekani wa kawaida .

Sababu ni aina ya vyakula wanavyokula sawasawa na mahusia ya Bibilia na kujali mambo ya afya.
Pia Kwa sababu ya Pumziko la Sabato, ambalo linawaondolea stress, linawafanya akili zijipanhe upya na kuwanawirisha kiimani na kuwa na mahusiano ya kudumu na Mungu.

Hii ni kwa wasabato wote pia ulimwenguni wanaoishi kanuni za Bibilia sio wale wengine makanjanja ambao ni wasabato jina.

Hii inamfanya Mtu Kuwa Msabato ni uamuzi Bora kabisa wa kiafya na kiroho maishani mwake ambao hatajuta yeye na familia yake.

Source: HuffingtonPost
Nakubaliana na wewe
 
Mkuu

ROHO MTAKATIFU

Sehemu pekee katika Biblia alipotajwa Roho Mtakatifu ni katika Yohana 14:26; “Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote niliyowaambia.

“Ni kipi kile ambacho Roho Mtakatifu ameleta au kufundisha kwa miaka 2000 iliyopita?

Wakristo mnasema kwamba Msaidizi maana yake ni Roho Mtakatifu (Yohana 14:26) Yesu alisema katika Yohana 16:7-8.

“Lakini mimi nawaambia iliyo kweli; yawafaa ninyi mimi niondoke; kwa maana mimi nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu;”

Hii haiwezi kumaanisha Roho Mtakatifu; kwa vile Roho Mtakatifu inasemekana kwamba alikuwepo hata kabla ya Yesu hajazaliwa kama ilivyo katika Luka 1:41

“Elisabeti akajazwa Roho Mtakatifu”. Hapa, Roho Mtakatifu vile vile alikuwepo wakati wa Yesu: sasa vipi hii imaanishe
kwamba ni sharti aondoke Yesu ndipo Roho Mtakatifu aweze kuja?

Katika Yohana 16:7-8, inasema;

“Bali mimi nikienda zangu, nitampeleka kwenu. Naye akiisha kuja, huyo atauhakikisha ulimwengu kwa habari ya dhambi, na haki, na hukumu.”

Je, hii “Yeye” hapa inamaanisha nini? Je, viwakilishi hivyo havimaanishi mtu mwanamume?

Je, Roho Mtakatifu anazungumza na Wakristo wema na waovu vile vile?

Je, Roho Mtakatifu yu pamoja nao wakati wote au wakati fulani tu?

Je, ni wakati gani anaanza kumtembelea mtu atakaye kuwa Mkristo?

Utasemaje kuwa wewe ni Mkristo ikiwa Roho Mtakatifu yu ndani ya Mkristo mwingine?

Inakuwaje Wakristo wengi wanawapumbaza watu kwa kudai kwamba Roho Mtakatifu yu ndani yao tu! Na baadaye wanabadilisha dini?

Je, Roho Mtakatifu anaamuru kile ambacho Wakristo wanapaswa kukifanya bila ya uhuru wa kuchagua hata kidogo au anawaongoza tu na wao wana uhuru wa kufuata au kuto fuata?

Ikiwa Roho Mtakatifu anaamuru kile Wakristo wanachopaswa kukifanya, kwa nini Wakristo wanafanya maovu na madhambi?

Vipi unaweza kuuelezea ubadilishaji wa dini na kuingia dini na imani mbali mbali kunakofanywa na Wakristo wengi?

Je, Wanaambiwa kufanya hayo na Roho Mtakatifu?

Ikiwa Roho Mtakatifu anawaongoza Wakristo tu, na wako huru kufanya wanavyotaka, sasa ni vipi tutajua kwamba waandishi wa Biblia hawakufanya makosa wakati walipoziandika?

Ikiwa Wakristo mnaamini kwamba Roho Mtakatifu huwajia na kuzungumza nao kila siku, kwanini hamumuulizi Roho Mtakatifu kuhusu chapisho lipi la Biblia linalopaswa kufuatwa kwa vile kuna machapisho mengi tofauti ?
Let us stop this argument,wewe sio "mwana wa Mungu," ni "mtu wa Mungu" kwa hiyo huna Roho Mtakatifu na kwa hiyo huwezi kuelewa Biblia,do not force things to back up your false belief.Kasome Qur'an mkuu,ambayo ni Satanic verses utaielewa kwa kuwa roho uliyenaye ndiye huyo huyo wa Qur'an.
 
wanaishi miaka 10 zaidi Life expectancy ya mmarekani wa kawaida .

Sababu ni aina ya vyakula wanavyokula sawasawa na mahusia ya Bibilia na kujali mambo ya afya.
Pia Kwa sababu ya Pumziko la Sabato, ambalo linawaondolea stress, linawafanya akili zijipanhe upya na kuwanawirisha kiimani na kuwa na mahusiano ya kudumu na Mungu.

Hii ni kwa wasabato wote pia ulimwenguni wanaoishi kanuni za Bibilia sio wale wengine makanjanja ambao ni wasabato jina.

Hii inamfanya Mtu Kuwa Msabato ni uamuzi Bora kabisa wa kiafya na kiroho maishani mwake ambao hatajuta yeye na familia yake.

Source: HuffingtonPost
Vip wajapan
 
Mkuu

ROHO MTAKATIFU

Sehemu pekee katika Biblia alipotajwa Roho Mtakatifu ni katika Yohana 14:26; “Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote niliyowaambia.

“Ni kipi kile ambacho Roho Mtakatifu ameleta au kufundisha kwa miaka 2000 iliyopita?

Wakristo mnasema kwamba Msaidizi maana yake ni Roho Mtakatifu (Yohana 14:26) Yesu alisema katika Yohana 16:7-8.

“Lakini mimi nawaambia iliyo kweli; yawafaa ninyi mimi niondoke; kwa maana mimi nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu;”

Hii haiwezi kumaanisha Roho Mtakatifu; kwa vile Roho Mtakatifu inasemekana kwamba alikuwepo hata kabla ya Yesu hajazaliwa kama ilivyo katika Luka 1:41

“Elisabeti akajazwa Roho Mtakatifu”. Hapa, Roho Mtakatifu vile vile alikuwepo wakati wa Yesu: sasa vipi hii imaanishe
kwamba ni sharti aondoke Yesu ndipo Roho Mtakatifu aweze kuja?

Katika Yohana 16:7-8, inasema;

“Bali mimi nikienda zangu, nitampeleka kwenu. Naye akiisha kuja, huyo atauhakikisha ulimwengu kwa habari ya dhambi, na haki, na hukumu.”

Je, hii “Yeye” hapa inamaanisha nini? Je, viwakilishi hivyo havimaanishi mtu mwanamume?

Je, Roho Mtakatifu anazungumza na Wakristo wema na waovu vile vile?

Je, Roho Mtakatifu yu pamoja nao wakati wote au wakati fulani tu?

Je, ni wakati gani anaanza kumtembelea mtu atakaye kuwa Mkristo?

Utasemaje kuwa wewe ni Mkristo ikiwa Roho Mtakatifu yu ndani ya Mkristo mwingine?

Inakuwaje Wakristo wengi wanawapumbaza watu kwa kudai kwamba Roho Mtakatifu yu ndani yao tu! Na baadaye wanabadilisha dini?

Je, Roho Mtakatifu anaamuru kile ambacho Wakristo wanapaswa kukifanya bila ya uhuru wa kuchagua hata kidogo au anawaongoza tu na wao wana uhuru wa kufuata au kuto fuata?

Ikiwa Roho Mtakatifu anaamuru kile Wakristo wanachopaswa kukifanya, kwa nini Wakristo wanafanya maovu na madhambi?

Vipi unaweza kuuelezea ubadilishaji wa dini na kuingia dini na imani mbali mbali kunakofanywa na Wakristo wengi?

Je, Wanaambiwa kufanya hayo na Roho Mtakatifu?

Ikiwa Roho Mtakatifu anawaongoza Wakristo tu, na wako huru kufanya wanavyotaka, sasa ni vipi tutajua kwamba waandishi wa Biblia hawakufanya makosa wakati walipoziandika?

Ikiwa Wakristo mnaamini kwamba Roho Mtakatifu huwajia na kuzungumza nao kila siku, kwanini hamumuulizi Roho Mtakatifu kuhusu chapisho lipi la Biblia linalopaswa kufuatwa kwa vile kuna machapisho mengi tofauti ?
This is not correct👉Sehemu pekee katika Biblia alipotajwa Roho Mtakatifu ni katika Yohana 14:26;

The Bible is about the Salvation plan of God for humanity,so Jesus Christ and the Holy Spirit are the main players,sasa the Holy Spirit atatajwaje mara moja tu.

Anyway your argument shows how ignorant you are about the Word of God.Narudia achana na Biblia huijui na hutaijua,kwa kuwa huwezi kuijua.Concentrate on the Satanic Verses.The whole truth is,you are worshipping Satan.Watch the following clip to see that truth.

View: https://youtu.be/rMPatxZOHE0?si=nGcZeNt4T0YV01QS
 
Kuna jamaa yangu mmoja msabato asubui maji ya moto tu(chukuchuku) bila kitafunwa, mchana andazi moja na maji ya moto usiku kipande cha muogo na maji ya moto, kuwa msabato raha kuna sevu bajeti kweli.
Kuna jamaa humu alisema wasabato wengi ni wapare
 
wanaishi miaka 10 zaidi Life expectancy ya mmarekani wa kawaida .

Sababu ni aina ya vyakula wanavyokula sawasawa na mahusia ya Bibilia na kujali mambo ya afya.
Pia Kwa sababu ya Pumziko la Sabato, ambalo linawaondolea stress, linawafanya akili zijipanhe upya na kuwanawirisha kiimani na kuwa na mahusiano ya kudumu na Mungu.

Hii ni kwa wasabato wote pia ulimwenguni wanaoishi kanuni za Bibilia sio wale wengine makanjanja ambao ni wasabato jina.

Hii inamfanya Mtu Kuwa Msabato ni uamuzi Bora kabisa wa kiafya na kiroho maishani mwake ambao hatajuta yeye na familia yake.

Source: HuffingtonPost
Aaaaa, kwa afya ya mwili tu wako sawa sana
 
Acha kukwepa swali kwa kivuli cha kusulubiwa kwa Yesu....,Gregory Calender haikuwepo wakati wa sabato ya Wayahudi ambayo nyie mumeshikilia hata leo kupitia calendar iliyotungwa na Warumi(Wapagani kwa kisemo chenu).....?????????

Jitahi kujibu swali..,mchungaji wenu Mitale na midimu amekimbia Uzi wake tangu jana nilipogusia suala hili..
Wanauita eti upapa ni upinga Kristo halafu bado wanatumia kalenda zao
Wasabato bana
 
Mkuu ujumbe wa SDA ni kwa ulimwengu wote.
Wanapotakiwa kufikiwa wakaoliki wanaambiwa bila shida, waprotestant wanaambiwa, wabudha wanafikiwa waislam ndio usiseme hadi kuna TV yao special '' Al-wada''.

Lengo la SDA ni kuwaida watu wa madhehebu zote kurudi kumuabudu Mungu Muumba wa Mbingu na nchi na vyote vilivyomo kama anavyoelekeza mwenyewe ikiwemo Sabato takatifu na kuutaadharisha ulimwengu wote juu ya tukio kubwa la ujio wa Yesu mara yapili na Kuteketezwa kwasayari dunia.
Hii ya Yesu kurudi mara ya pili mkuu ndo ipi tena maana Kuna kifungu umeweka hapo nyuma ni Ufunuo nafikiri kwamba anabisha hodi ukifungua mlango anaingia na kukaa ndani yako na unakula naye kwa hiyo hii ndiyo ya kwanza au?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom