Wasabato (SDA) US ndio jamii ya watu wanaoishi Muda mrefu kuliko mmarekani yoyote.

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,697
wanaishi miaka 10 zaidi Life expectancy ya mmarekani wa kawaida .

Sababu ni aina ya vyakula wanavyokula sawasawa na mahusia ya Bibilia na kujali mambo ya afya.
Pia Kwa sababu ya Pumziko la Sabato, ambalo linawaondolea stress, linawafanya akili zijipanhe upya na kuwanawirisha kiimani na kuwa na mahusiano ya kudumu na Mungu.

Hii ni kwa wasabato wote pia ulimwenguni wanaoishi kanuni za Bibilia sio wale wengine makanjanja ambao ni wasabato jina.

Hii inamfanya Mtu Kuwa Msabato ni uamuzi Bora kabisa wa kiafya na kiroho maishani mwake ambao hatajuta yeye na familia yake.

Source: HuffingtonPost
 
Wasabato ni watu wenye majukumu maalumu ya Mungu ktk kizazi hiki ni basi tu ubinadamu kujisahau na kuufata ulimwengu na hbr za kukimbizana na fedha jambo ambalo halikupaswa kupewa uzito sana, ila wanaoishi nuru waliyonayo yapo mengi yakujifunza kwao. Mungu tu atusaidie tubadilike
 
wanaishi miaka 10 zaidi Life expectancy ya mmarekani wa kawaida .

Sababu ni aina ya vyakula wanavyokula sawasawa na mahusia ya Bibilia na kujali mambo ya afya.
Pia Kwa sababu ya Pumziko la Sabato, ambalo linawaondolea stress, linawafanya akili zijipanhe upya na kuwanawirisha kiimani na kuwa na mahusiano ya kudumu na Mungu.

Hii ni kwa wasabato wote pia ulimwenguni wanaoishi kanuni za Bibilia sio wale wengine makanjanja ambao ni wasabato jina.

Hii inamfanya Mtu Kuwa Msabato ni uamuzi Bora kabisa wa kiafya na kiroho maishani mwake ambao hatajuta yeye na familia yake.

Source: HuffingtonPost
Pumziko la Sabato!
Off the topic: Sorry, hivi mapumziko ya Sabato yako Mangapi mkuu mitale?
 
Similar Discussions

25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom