Sda, rc, aglikani, kkkt, islam wote hawajui maandiko
Sda, rc, aglikani, kkkt, islam wote hawajui maandiko
Sda, rc, aglikani, kkkt, islam wote hawajui maandiko
wasabato wanamatatizo sana
wasabato wepi?wanaobudu jmoc zpo dhehbu nyng nawote n wasabato
Chuma na udongo haviungani, Bible zinauzwa world wide so mwenye macho haambiwi tazama. Anayo kheri mtu asomae maandiko, maana mwisho ukaribu..SHIKA SANA ULICHO NACHO!!
Waje watoe ufafanuz kweny hiki kitabu alichoandika NABII Helen G White,.Coming of Jesus through orion belt.
Baada ya sabato masalia sasa kumejitokeza kundi jingine linaitwa 'sabato matengenezo' na sera yao ni kuwakataza watoto wao wasiende shule kwa madai wanafundishwa uongo, my take_ bora nibaki na dini yangu ya mungu mmoja hajazaa wala hajazaliwa!, chanzo itv taarifa ya habari
Remote said:sijaelewa ulichoandik