Kuna wasomi wa historia ya dini wamefanya utafiti mkali na kuhitimisha hivyo hivyo.Jesus,he is not a real person, He is just a character in story.
Pumba tu
Kumbe hata uzi wenyewe haujaulewa
Unajua maana ya Depict?[/QU
Pumba tu
Kumbe hata uzi wenyewe haujaulewa
Unajua maana ya Depict?[/QU
kiaUkweli upi sasa?? wakati we umekuja na mada na umeshindwa kuthibitisha yale uliyoandika kwamba waebrania wote ni weusi?? Mkuu jipange upya
Uliambiwa biblia ilishuka toka juu? Mtu yeyote mwenye mamlaka anaweza kuibadilisha tu, na akawalazimisha watu waitumie version yake, anaweza kuweka au kutoa uhusika fulani.Kwaio we umeacha kuamini ukrisro kisa wazungu! Duuh kweli duniani kuna mambo kwaio wazungu ndo walibeba msingi wa imani yako yote?
nMkuu bado unaamini kuwa Mungu yupo?
Yesu mwenyewe ni masihi wa 16 kusurubiwa kwa ajiri ya mwanadam
Wa kwanza alikuwa ni horus na wote walizaliwa na Bikra na kufa wakiwa na miaka 33
Though both are Anecdotal tales lakini zinaweza kuwa na ukweli
Lakini mungu hayupo,kama utakuwa Intellectually honest kukubali ukweli utaelewa kwanini tunasema mungu hayupo
Acha mawazo mgando, jiongeze. Kufahamu kuwa yesu alikuwa mweusi au mweupe, au pyramids zilijengwa na mtu mweusi au mweupe .. hakutuongezei kipato wala hakubadilishi chochote, ila fahamu kuwa Historia inapaswa kueleza kama ambavyo yalivyokuwa bila kubadili au kuficha chochote..nashukuru umeyaona matatizo ya MIAFRIKA MINGI Yalivyo. miafrika inapoteza muda mwingi kwa kuwaza vitu vya kijinga tu. hayo unayo yasema ni kweli. kuwa weusi wanalalamika kuwa wahindi,waarabu hawatak kuolewa nasi...unajiuliza sisi la msingi kwetu nikuoa wahindi na waarabu?
sasa huyu mwingine kaona hiyo haitoshi kaja na theory kuwa yesu ni mweusi so kama alikuwa mweusi yeye inamsaidia nini? ni ule ule utumwa wa rangi.unachosema ni kweli wahindi wapo hapa miaka na miaka hawazungumzi kiswahili ila wanazungumza kihindi na kiingereza. kwa nini? kwa sababu washaona sisi ni watu ambao wenyewe tu hatujikubali na tuna udhaifu. udhaifu huu tunauonesha mpaka kwa wengine.
kulazimisha yesu alikuwa mweusi au mweupe sisi kwetu haina tija hata kidogo. tuangalie tunajikwamua vipi kwenye umaskini na utegemezi.
tunakaa hapa wapuuzi wanatuletea habari za rangi. mwingine alianzisha thread kuwa pyramids zilijengwa na mtu mweusi. nikasema sawa. kwa hiyo sasa? tufanyeje?
I agree with you on this one, Religion is nothing but a man made system/institution established by man in search of God and creating uniformity in worshiping.While it is true that Jesus is not a white man, people confused him and religion. Religion is meant to confuse people all over the world, the truth of the matter is religion is not the answers of peoples problems. People confuse religion and God. Religions did not come from God. Religions came from people in searching for God. This is why you have so many Gods all over the world. Why? the answer is looking for God. Now If you follow religion you will always get lost in the bush, but if you learn about Jesus you will realized that he actually did not bring religion, but salvation to all man kind.
Kama ni kweli alikuwa ni mtu mweusi ina maana alikuwa ana asili ya kwetu Afrika, sasa iweje hatukumjua mpaka Mtu mweupe alivyokuja kututambulisha kwetu? Kama angekuwa kweli ni wetu si tungemjua tu tangia mwanzo tena kabla ya Mzungu?
Afrika wameanza kumjuwa Issa kabla ya wazungu. Soma kijana.
Afrika ni kubwa!
Sana tena, sema ina watu walio wengi wenye akili ndogo.
Hehee hii chungu kumeza lakini ndo FACT yenyewe...siku izi watu wanahangaika na Magufuli eti haudhurii vikao vya nje ya nchi kisa hajui kingereza..Mkuu bado tuna safari ndefu sana kujikomboa kifikra..!!Umeongea jambo la maana, ni kama huwa najiuliza kila siku ni kwa nini hapa kwetu utakuta watu wanalalamika kwamba kwa nini Wahindi hawataki kuoa/kuolewa na sisi lkn sijawahi kukutana na Muhindi au mwarabu akilalamika kwamba Waafrika hawataki kuolewa na Wahindi, sasa ni kwa nini?
Ni kwa nini kuoa Muhindi au Mwarabu iwe muhimu kwetu? Inatuongezea nini?
Ni kwa nini sisi ndiyo tunalazimisha kutaka kuoa kwa watu wengine wakati wao wala hawana hiyo shida?
We angalia Wahindi wako vizazi vingapi hapa TanZania? Vingi tu lkn mpaka leo hii wanaongea Kihindi/Kikwao mtoto wa Kihindi anazaliwa Kariakoo anakulia Kariakoo lkn anaongea Kihindi chote, Mwafrika mweusi mwenzetu anazaliwa TZ anakulia TZ kesho anakwenda Marekani akirudi likizo hajui Kiswahili, anwaona tayari Watz wote washamba yeye ndiyo mtaalamu wa kunywa wine, yeye ndiyo mtaalamu wa kukosoa kila kitu anataka Raisi wa TanZania ghafla awe kama Obama na hapo wala siongelei mambo ya vizazi kama Wahindi sasa watu wa aina hii kama yetu uliiona wapi tena Dunia hii?
Tunawezaje hata kuja kuendelea na kushindana kwenye Dunia iliyojaa ushindani kama hata hatujithamini?
Leo hii utasikia Waafrika wanasema Bora Mchina klk Mzungu atutawale sasa kwa nini hata tutawaliwe? Ni kwa nini isiwe bora sisi tujitawale?
ANgekuwa wa pinki kama nguruwe.Hakuna mzungu angeweza kubeba ule msalaba kwa umbali ule..!!!
Mbona historia ya mkwawa na kinjeketile ilisbazwa zaidi na wajerumani kuliko wahehe na wangoni!
Kama ni kweli alikuwa ni mtu mweusi ina maana alikuwa ana asili ya kwetu Afrika, sasa iweje hatukumjua mpaka Mtu mweupe alivyokuja kututambulisha kwetu? Kama angekuwa kweli ni wetu si tungemjua tu tangia mwanzo tena kabla ya Mzungu?
mkuu tungejiuliza kidogo tungepata jibu kwamba mungu ni dhana au ni biashara tu yenye lengo la kuwatisha watu ili kuwatawala.haiwezekani mungu awe complicated namna hii.ukiuzingatia wingi wa madhehebu na ushindani uliopo utagundua tu mungu ni kitu cha kufikirika.bora hata upepo huuoni wala kuushika,lakini unauhisi kuliko mungu mwenye nguvu anayejificha kwa viumbe aliyewaumba mwenyewe.angali wanaendeleza wanalumbana kumtafuta.Einstein Newton some people are totally brainwashed!
What i hate about religion is that it make us fear to question things... It teaches us to agree with everything we are told like sheep!
If you don't question how would you know whether you are walking the right path? There are many faith systems how do you know whether the system you are Embracing is the right one? Don't be like sheep, question things.
Truth is never in the mainstream, truth is put underground, only those who dare to go down there will find it, go out read books, thats where truth is, if you sit around waiting for TBC or FOX News to talk about the origin of Christianity then you will never hear the truth. The worst thing about modern day people is we let other people think for us! We don't read, we don't research. We just sit around waiting for the news and information from the people we trust! We let the media and influential people think and decide for us! We just follow their directions like sheep! And thats why there are many religions and political parties today, because anyone can lead us to wherever they wanna take us to, even to slaughterhouses! Because we don't think for ourselves!
White supremacy is well institutionalised especially in Africa, that its very hard to make an average African person unlearn the lies they have been taught for years.
Open your third eyes my brothers and sisters, we Black people have been programmed to feel and be this way by the white supremacist system, so never expect the truth to come out of their mouth! Its up to us to find the truth,
Sit around and accept the white man as your God,
Or read and find the truth.
Sent from my HUAWEI Y330-U01 using JamiiForums mobile app
Heheee wangekuwa na maguvu kama ya yesu wasinge kuja Afrika kufanya biashara ya utumwa..!!A
ANgekuwa wa pinki kama nguruwe.
Sitokujibu kuwa mungu yupo au hayupo. Ila ni dhahiri kuwa Mungu anatumika kama njia kutengeneza pesa. Madhehebu ni mengi mno, na yana tofautiana misingi...yani Its confusingNa
mkuu tungejiuliza kidogo tungepata jibu kwamba mungu ni dhana au ni biashara tu yenye lengo la kuwatisha watu ili kuwatawala.haiwezekani mungu awe complicated namna hii.ukiuzingatia wingi wa madhehebu na ushindani uliopo utagundua tu mungu ni kitu cha kufikirika.bora hata upepo huuoni wala kuushika,lakini unauhisi kuliko mungu mwenye nguvu anayejificha kwa viumbe aliyewaumba mwenyewe.angali wanaendeleza wanalumbana kumtafuta.