Mohamedy cadinaly
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,449
- 2,264
Hv unaijua process ilyotumika kupata Brian deacon? Kfupi Yy lilifanyika shindano la kumtafuta mtu atakefanyanana na yesu ili aweze kuigiza ile filamu wakat huo picha ya casera Borgia ndo ilikuwa inatumika km pcha ya yesu mwenyeweKama ni kweli usemalo kuwa Casera Borgia ni mtoto wa Pope Alexander VI aliyetumika kama Jesus. My question is Who is Brian Deacon?
Yaani nimepitia maoni na maelezo ya wadau ma kugundua wengi hawajui walisemalo. Kwa kifupi Yesu sio mtu mweusi na uhusiano wake na Afrika sio kigezo cha yeye kuwa alikuwa Mwafrika.Inabidi sasa turudi kwetu Jerusalem, Israel. Duh kumbe mimi myahudi.
Yaani siku makaburu wakiweza kuwahamisha watu wote weusi kule south Africa na kubaki watu weupe tu ndo nitaamin hiyo untold story.
Wadau naomben details kuusu hii namba 666Post tamu sana.. Sijui kwann nimechelewa kuiona
Anzisha uzi wako uweke hilo ombiWadau naomben details kuusu hii namba 666
Kama ni kweli alikuwa ni mtu mweusi ina maana alikuwa ana asili ya kwetu Afrika, sasa iweje hatukumjua mpaka Mtu mweupe alivyokuja kututambulisha kwetu? Kama angekuwa kweli ni wetu si tungemjua tu tangia mwanzo tena kabla ya Mzungu?
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.Alikuwa black or white so what?ni upumbavu tu kukaa kujadili hilo maana halibadili anything. Nami sijawah ona picha ya yesu wewe umewah ona wapi? Watu hawaangalii rangi na by the way hata wayahudi si wazungu so haiwasaidii hata kusema alikuwa mweupe. Huku huku africa pia wapo weupe sioni issue ya msing hapo. Haya tuseme alikuwa mweusi. So what? Simple mind discuss simple things. Mi hata wakiniambia alikuwa wa blue wala sitak kubishana nao.it doesnt help me at all. Nafata mafundisho yake tu. Waafrika weng wamejawa na inferiority complex so wanatafuta hata vitu ambavyo havina maana waseme ni vyao. So what?
Safi sana,Learn how to read between the line chav
Yesu hakuishi Africa bali alikuwa ni African hebrew
Pia kuhusu suala la kumjua,Mababu zetu ndiyo waliokuwa wakijua ukweli kabla ya miaka ya 1400
Wewe umekaa utumwani miaka 390,wamesha kubrain washing vya kutosha
Dini zilianzia afrika kabla hazijaenda huko
Ni sawa na wanavyochukua pamba na kukuletea nguo na wewe ukaona ni kitu kipya kumbe ni pamba ileile
Mweusi, hahahahana vipi kuhusu shetani ni mweupe au mweusi..?
Mleta mada yuko sahihi kabisaMathayo 2:13-14
Na hapo walipokwisha kwenda zao,tazama,malaika wa bwana alimtokea Yusufu,katika ndoto akasema,Ondoka umchukue mtoto na mama yake,ukimbilie misri ukae huko hata nikuambie
Yusufu na mkewe hawakuambiwa wakimbilie Misri kwa sababu ya Military protection
Kama mkimbizi anavyokimbia nchi yake na kwenda nchi nyingine kwasababu ya usalama.Hapana!
Wakati ule hata Misri ilikuwa chini ya Roman empire
Herode bado alikuwa na uwezo wa kuwatafuta na kuwapata kwasababu bado walikuwa chini ya utawala wake
Lengo kuu la kukimbilia Misri,lilikuwa ni kujichanganya na Black wenzao
Kwahiyo ilikuwa ni vigumu kwa Majeshi ya kirumi kuwatambua
Kama wangelikuwa whites wangelitambulika kwa urahisi
Kwasababu Misri ilikuwa ni ya Blacks wakati ule
References
THE PHYSICAL APPEARANCE OF ANCIENT ISRAEL,THE HEBREW&SONS OF HAM
Yaani nimepitia maoni na maelezo ya wadau ma kugundua wengi hawajui walisemalo. Kwa kifupi Yesu sio mtu mweusi na uhusiano wake na Afrika sio kigezo cha yeye kuwa alikuwa Mwafrika.
Ukitaka kugundua ni hizi dini mbili za Uislamu na Ukristo, jinsi gani watu wa Afrika waliweza kuwa waumini wa moja wapo.Asilimia kubwa walilazimishwa na wengine walikubali kwa uoga ama kwa sababu ya wazazi wao.
Hii ina maanisha nini? Ni kwamba huyo Yesu alikuwa hajulikani. Watu walikuwa na imani na dini zao za toka enzi na enzi
Alafu kuna ugonjwa ambao baadhi ya watunzi na watafiti kulazimisha watu wakubali juu ya tafiti zao. Hivi Yesu akiwa mweusi ndo itakuwa nini sasa? kwamba watu weusi ni binadamu wenye akili sana na ndio chaguo la Mungu.
Ni wakati wa kubadilika, hivi hizi dini za ma babu zetu mbona haziendelezwi katika dunia ya leo? Ngoja ni kwambie moja ya sababu; watu wanaona aibu na kuzichukulia za kishetani. Pia dharau inayotokana na mafunzo ya kidini na malezi. Hata media outlets nazo zipo mbele kuziponda na kusifia dini/dhehebu zingine.
Asante mtoa mada kwa elimu iliyokidhi vigezo na masharti yote.
Tutafurane. Naona kuna umuhimu wa kuandika kitabu.
Nimekutana na watu ni wajinga
Ndio ni wajinga
wanaanza kulalamika wamebadilishiwa historia
kisha wakatumia biblia hiyo hiyo kuthibitisha wamebadilishiwa (ni ujinga first class)
kama wangetaka kubadilsha hata huo ushahidi usingeukuta kwa sababu wenzetu wameisoma mstari kwa mstari hadi wakaibadili lugha
Ujinga ni kusema wazungu sio superior huku hata simu unayotumia wamegundua wazungu
Ujinga ni kukataa maandishi ya biblia kisha ukakubali alichoandika Albert huku ukiendelea kugoma kabisa wazungu sio watu na miakili zao
Ni ujinga kukubali binadamu wa kwanza ni nyani ila ukiulizwa huyo nyani alitoka wapi zitaanza porojo ukiulizwa umesoma wapi atakutaji jamaa wake ila biblia anaipinga
ujinga ni kucopy japo ujanja ni kubadili lugha
ha ha ha ha ha
Nimependa iyo ya samsonHongera mleta mada , kupingwa nilazima utapingwa kwa sababu tuna ishi katika ulimwengu wa watu wanao fikiri kwakutumia mioyo yao na imani zao adala ya, Akili, watu wana yatetea maandiko yaliyo tunzwa mikononi mwa watu kwamiaka , 2000,ninani awezae kujua kama kuna lililo tendeka lenye chembe za uongo..???.
Akuna anae weza ila tupo tunao amini hakuna ovu lolote lililo tendeka lakini nikwanini tunapo letewa ukweli tusi upokee nakuu chunguza kama ndio ukweli wenyewe ..??.
Napenda kuwa ambia ata samsoni yaweza kua alikuwa mweusi nandio maana alikua na, "RASTA" wewe usha muona mtu mweupe mwenye rasta ???.