Mie sio mtalaamu wa IT binamu lakini mitambo inagoma vp? We ... nanii (Mpwa warumi) mwambie huyo Mpemba wako abadilishe hiyo ID yake manake mie siwezi kumuita my... hata siku moja!
We Dinazarde; si unaifahamu email ambayo ulitumia kufungua hiyo ID ya Dinazarde? Kama bado una access na hiyo email, basi fanya trick ya ku-reset password.
HahahahahaaaaNaona warumi umerudi kwa kasi mwisho wa mwaka, ulipotezwa kabisa mwakahuu na ile 'bifu' ya mashabiki wa Kiba na Diamond, hakuna aliyekuwa anataka kusikia umbea wako, na uchaguzi pia ndo ukazidi kukupoteza, sahivi ndo wakati wako sasa maana kilakitu kimepoa
...atakuwa kala vya watu,sio bure!
Nitakuazima yakwangu usijaliUwiiiiiii mimi siku wakiiteka hii yangu nitaliaje?
Nani anayetaka hii ID yako ya kipopoma?Nitakuazima yakwangu usijali