First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,317
- 1,484
Sasa utata upi? Mbona warumi anawachanganya hivyo? Im not a big person as you guys think, just small one, so chukueni jembe mkalime
sema moja... are you male, female au shemale?
nipo shoga siku hizi sikuoni kule kwa wakubwa whats app nazikia una ligroup lingine lol
Wewe unauliza hivyo kama nani? Iv akili yako ipo sawa? Labda kwa mfano nikiwa jinsia yeyote kati ya hizo mbili, we unatakaje?
nimechanganya story lolunamjua uliemjib?
Kwa hiyo unam support na wewe??
Kamata fursa binamu jamani!!!
akili yangu iko sawa kabisa.. nina wasi wasi na za kwako... gd nyt.
Akili yako haipo sawa, bora ulale ikue vzuri nyambafu, nenda kawaulize waliokuzaa jinsia zao then ndo uje uniulize n mm
c mmalizane had umwite bidada
Twende kule juu bana
aya , sasa unataka nifanyeje binamu yangu??
Unadhania siku hizi nabishana na walugaluga, wakavimbilie huko
Heheheeeeeeeee mie mwenyewe nshajifunza jinsi ya kuwakwepa
Duh!! Hii kali ata nashindwa cha kuongea
mkuu samahani, sikuwa na nia ya kukashifu...sikujua kama utakuwa ni me! samahani sana mkuu
Duh...