huo udaku tangu miezi miwili iliyopita nishauzoea sasa.Baadae kidogo majira ya saa sita na nusu hadi saa tisa na nusu ya tarehe tajwa hapo juu,Miale ya cosmo itaingia duniani kutoka sayari ya Mars.
Hivyo zima zima yako usiku na weka mbali nawe usilale nayo kwa sababu ni miale hatari sana.
Source ni BBC NEWS!
WanaJF! Pamoja sana!
Baadae kidogo majira ya saa sita na nusu hadi saa tisa na nusu ya tarehe tajwa hapo juu,Miale ya cosmo itaingia duniani kutoka sayari ya Mars.
Hivyo zima zima yako usiku na weka mbali nawe usilale nayo kwa sababu ni miale hatari sana.
Source ni BBC NEWS!
WanaJF! Pamoja sana!
Hizo saa ni kwa Tanzania maana wataalamu hutaja kwenye GMT alafu kila nchi inapiga hesabu zake au hizo saa baada ya kwenda bureau de change na kubadilishwa na kuwa saa za kitanzania
Miale ya cosmo itaingia duniani kutoka sayari ya Mars.
Hivyo zima zima yako usiku na weka mbali nawe usilale nayo kwa sababu ni miale hatari sana.
Source ni BBC NEWS!
Watu bwana, nani kasema MARS ni star na sio planet, planet ambayo aina energy ya thermonuclear inawezaje ku-generate RADIATON!
you took the words right outta ma tongue. Angesema maybe ni from some far away collapsing star Kidogo ningeamini, ila kusema ni mars kwanza najua you're a fool not to know mars is just a planet much like earth nd can never radiate that energy afu pili najua you're stupid to spread it without knowing wat you're writing
Heshima yako mkuu, tatizo ndilo hilo yaani kuna vitu unaweza kusoma humu mpaka ukabaki midomo wazi, umenifurahisha sana umenikumbusha: White Dwarfs,Neutron Stars na Black Holes. Oh, I wish Carl Sagan were still alive 2-DAY.
Kama unavyo sema mkuu sio vizuri wana JF kuwa chanzo cha ku-scare watu bila sababu za msingi, kama ni mambo ya utani basi angesema kitu kingine lakini sio ili linalo husu afya za watu. MOD gotta do something to arrest these kinds of pranks, the soonest the better.