WARNING!! Kwa watumiaji wenzangu wa simu ya mkononi! Tar. 09/10/2012: | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WARNING!! Kwa watumiaji wenzangu wa simu ya mkononi! Tar. 09/10/2012:

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by LiverpoolFC, Oct 8, 2012.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Baadae kidogo majira ya saa sita na nusu hadi saa tisa na nusu ya tarehe tajwa hapo juu,Miale ya cosmo itaingia duniani kutoka sayari ya Mars.
  Hivyo zima zima yako usiku na weka mbali nawe usilale nayo kwa sababu ni miale hatari sana.

  Source ni BBC NEWS!

  WanaJF! Pamoja sana!
   
 2. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hayo masaa yatakuwa ya mchana au usiku?
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  tatanyengo!
  Ni majira ya hapa kwetu,ni muda kidogo ijayo tunayoingia ya tarehe 9/1 10/2012

   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,521
  Trophy Points: 280
  weka link acha longo longo
   
 5. b

  bdo JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2012
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,711
  Likes Received: 1,611
  Trophy Points: 280
  Mambo gani tena, watu tushajirusha/ xtremed sasa si tutakula hasara ya cheka time? haya ni mambo ya Mamlaka ya hali ya hewa ya Tanzania
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hii Habari mbona kila siku wanairudia rudia mara ya tatu naiona humu humu..........Hakuna Kitu Kama Hichooooo!!
   
 7. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mkubwa Sainj Ivuga!
  Natumia Tecco T325 P.R.C kulink ni ndoto ya saa nne asubuhi!

  Ningependa sana niweke!

   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,521
  Trophy Points: 280
  Kaka hili ni changa la macho. Hao bbc wamesema huo muda ni wa Tanzania ua japa au marekani? Ama Uk?
   
 9. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mkubwa! Lisemwalo lipo na kama halipo hakika laja!

  Tusubirie na tusiidharau hata kidogo!

   
 10. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160


  Kazi kweli kweli!
   
 11. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Masaa ya Afrika Mashariki Mkubwa!

   
 12. m

  mhondo JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Mwaka jana mwishoni au mwaka huu mwanzoni ilisambaa message kama hii na TCRA wakaikanusha kuwa si kweli.
   
 13. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Longo Longo Hizo Mkubwa usiogope ni Hoax tu(Uwongo wa mtandaoni)
   
 14. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #14
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ni changa kweli Saint Ivuga .....mie nilipata msg kama hiyo usiku wa kuamkia jumapili , na nikaambiwa nizime simu yangu......nashangaa imegeuka tena imekuwa tarehe 9 lolest!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. u

  utantambua JF-Expert Member

  #15
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  BBC (na swahili) mtandao wao hauongelei hii hata kidogo.  Mashambulizi ya makombora Sudan
  Al Shabaab lapiga marufuku 'Islamic Relief'
  Rwanda yakana mateso na dhulma
  Mkutano wa Maziwa makuu waanza Kampala
  I.Coast kufungua mipaka na Ghana
  Hugo Chavez ashinda muhula wa 4
  Ujenzi wa nyumba ya Zuma wachunguzwa
  Libya yazingatia baraza la mawaziri
  Ufilipino yafikia mapatano na Waislamu
  Chadli Bendjedid aaga dunia
  Taarifa ya Habari
  Rejea juu


  Mwanzo
  Michezo
  Simu/kifaa cha mkononi
  Kompyuta/tovuti ya kawaida
  Usaidizi
  Wasiliana Nasi
  Kuhusu BBC
  Masharti ya Matumizi
  Sera ya Faragha
  Cookies
  BBC © 2012
   
 16. G

  Ginner JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  kwanza sayari ya mars haitoi miozi ya cosmo..
  kwaiyo mtoa mada na wale waliotishika na hii habari na wasiwasi na shule zao walizosoma.
   
 17. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #17
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mpumbavu haumini kila jambo. Huenda hiyo ni kwa Bongo tu maana ndipo kila upuuzi hupata wa kuuamini.
   
 18. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #18
  Oct 8, 2012
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Hoax, hoax, hoax, hoooooooooooooax!
   
 19. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #19
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hivi huwa tunaverify auntheticity na news kabla ya kupost jamvini? Mtaua watu kwa presha jamani.
   
 20. E

  Epicauta elbovitata Senior Member

  #20
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Watu wengine mnatutafutia Ban tu..yan me nikisomaga nonsense kama hiz huwa napandwa na mahasira kweli ani na natamani nikupe makavu live ila nakuheshimu labda hujui ulichoandika..Ok lets say hujasoma kabisa, iv unashidwa kutumia comon sense kabisa kujua kama hii news ingekuwa ya kweli ingetangazwa kama international threat..Et source BBC, iyo bbc ulioangalia wewe peke yako tu ndo ya wap hiyo..aaaargggh
   
Loading...