Mkuu naomba unipm no yako plzzzzMkwawa hizo simu ziko nyingi sana Dubai,na bei yake kama hizo s4 wanauza dirham 450 kama laki 2,ndugu yangu inataka uwe mzoefu wa simu tena sana ndio utazigundua lakini vinginevyo huwezi,nyuma zimeandikwa made in Korea,zipo s3 s4 na iPhone 5 jamaa kwa copy mara hii wmaefaulu,
Kama mtu akiwa hajawahi kutumia simu Kati ya hizo hawezi kujua kama feki,
Kuna rfk yng aliniagiza s3 tatu nashkuru maduka ya wenzetu hawakuzii kitu mpaka wakufahamishe kilivyo,ilibidi niende maduka ninayo yaamini ndio nikanunua s3 hizo,
390,000 version ya 3g, na ya 4g inazid kidogo tu hapo ila max ni 450,000kwan simu ya samsung J5 ni bei gani?
Mkuu Chief Mkwawa nisaidie kuhus hiyo cm J5 ubora wake nahitaji kuinunua.390,000 version ya 3g, na ya 4g inazid kidogo tu hapo ila max ni 450,000
simu nzuri kwa matumizi ya kawaida inakaa na chaji, camera nzuri na perfomance kwa matumizi ya kawaida inatosha.Mkuu Chief Mkwawa nisaidie kuhus hiyo cm J5 ubora wake nahitaji kuinunua.
s6 bei ipo juu around 800,000 hv kupandaShukran sna mkuu tatizo kupata wauzaji waaminifu cm km hizo ulizonishaur.
Na vp samsung s6 bei ikoje mkuu
Chief Ya kwangu imezimwa na TCRA na jamaa anadai ataweza kui revive kwa kuweka IMEI namba mpya na kisha ita work haya ni kweli ???asanteeeee!!!!! saaana chief-mkwawa
Bei yake 400kMkuu kwani c9 bei gani
inawezekana ndio ila si halali kisheria TCRA wameshatangaza ukikamatwa fine milioni 10Chief Ya kwangu imezimwa na TCRA na jamaa anadai ataweza kui revive kwa kuweka IMEI namba mpya na kisha ita work haya ni kweli ???
Mkuu unaweza nisaidia namna ya kujua samsung note 4 orijino na fake maana naona kuna sehemu nyingi sana bei zinatofautiana mara 600, wengine 900 wengine 1.1, nk, na je ni zipi changamoto za note 4? Kuna mada uliweke juu ya namna ya kurun CPU-Z kwa mdau mmoja hivi na nimejaribu kuitafuta hiyo thread ila nimeshindwa kuipata.inawezekana ndio ila si halali kisheria TCRA wameshatangaza ukikamatwa fine milioni 10
Mkuu unaweza nisaidia namna ya kujua samsung note 4 orijino na fake maana naona kuna sehemu nyingi sana bei zinatofautiana mara 600, wengine 900 wengine 1.1, nk, na je ni zipi changamoto za note 4? Kuna mada uliweke juu ya namna ya kurun CPU-Z kwa mdau mmoja hivi na nimejaribu kuitafuta hiyo thread ila nimeshindwa kuipata.
Nashukuru sana mkuu, kwa kunifungua macho. Je hiyo SOC yake naicheki wapi au naichekije, na ili niweze kudowload CPU Z ni mpaka niwe nimeshaweka line(which means niwe nimeshainunua, je kuna namna nyingine ya kuicheki kabla sijainunua?) Na unaweza kuwaunafahamu sehemu ya uhakika wanapoweza kuziuza kwa bei reasonable ambazo zitakuwa kwenye range ya 400-580 hivi?mkuu note 4 ni simu nzuri sana, kama una nia ya kuinunua nakushauri inunue. bei elekezi ni laki 4 hadi 6 hivi isizidi hapo.
ukiona mtu anauza milioni kupanda ujue huyo ana stock ya zamani toka 2014 au 2015 mwanzoni ndio ilikuwa inauzwa hivyo.
kuangalia kama ni original download cpu z playstore halafu ifungue angalia soc yake. note 4 inatumia either snapdragon 805 au exynos 5433
ni mpaka uinunue mkuu, hakikisha anakupa warranty. njia za kuangalia kwa macho tu haziaminiki. ukidownload hio cpu z ukiifungua tu automatic utaiona hio soc.Nashukuru sana mkuu, kwa kunifungua macho. Je hiyo SOC yake naicheki wapi au naichekije, na ili niweze kudowload CPU Z ni mpaka niwe nimeshaweka line(which means niwe nimeshainunua, je kuna namna nyingine ya kuicheki kabla sijainunua?) Na unaweza kuwaunafahamu sehemu ya uhakika wanapoweza kuziuza kwa bei reasonable ambazo zitakuwa kwenye range ya 400-580 hivi?
Ahsante mkuu, nimekupata barabara.ni mpaka uinunue mkuu, hakikisha anakupa warranty. njia za kuangalia kwa macho tu haziaminiki. ukidownload hio cpu z ukiifungua tu automatic utaiona hio soc.
kuhusu muuzaji anaeaminika simfahamu kwa sasa ila jaribu kucheki mobile plaza nasikia zipo simu nzuri japo sijaenda