nilijua utakuja kupost about this ila sikujua kama itakua same kama hvDah tumepost yale yale, kweli dunia ndogo.
Hello friends
Kama ulikuwa hujui soma hapa chini.
Simu za nokia lumia asilimia zote
hamna hata inayokubali kufanya kazi
kwenye matumizi ya kuhusiana na
pesa kwa maana ya M pesa au Tigo pesa na kuendelea
kwa hiyo penda kujua na
kufahamu kama unapo chagua simu
akikisha umesha ijua kiundani zaidi
na sio ununue simu usiyoijua. . . .
i know wat am talking.
Take-care friends.
nokia lumia ni janga la kitaifa
hapo nyekundu mbona uongo mtakatifu,,ni nani huyo anayejiingiza kwenye matatizo ya kununua simu za Nokia mwaka 2013, bora usevu hiyo hela ununue i4n au galaxy :twitch:simu zisizosuport m-pesa ni simu zinazotumia windows phone 7, sio nokia lumia tu zipo samsung, htc, lg, nokia wenyewe kuna alcatel na manufacture wengine wa kichina.
Nokia lumia zinzotumia windows phone 8 zote zinaingia mpesa na zinapiga kazi vizuri zaidi ya android na ios interms of perfomance.
Kuzijua simu za nokia zinazotumia windows phone 8 angalia namba zake zinaishiwa na 20 mwisho kuna
-lumia 920
-lumia 820
-lumia 720
-lumia 620
-lumia 520
so unaposema simu za lumia unakua kama unakosea mkuu
hapo nyekundu mbona uongo mtakatifu,,ni nani huyo anayejiingiza kwenye matatizo ya kununua simu za Nokia mwaka 2013, bora usevu hiyo hela ununue i4n au galaxy :twitch:
ile generation ya kukaa na simu miaka mingi iliyotawaliwa na ( conventional phones) za nokia kipindi kile ishapita, sasahivi tushahama kutoka (analog - digital) kuna smartphones ambazo zimekuwa basic need katika maisha ya kila siku ya mwanadamu na Nokia yoyote haiSatisfyKwa maisha ya kitanzania cmu unataka ukae nayo miaka mitano nokia mpango maana iphone hawakai kukubania applications na ukija samsung vifaa vyao havidumu na bei juu mfano angalia tu battery kukaa na charge!
hapo nyekundu mbona uongo mtakatifu,,ni nani huyo anayejiingiza kwenye matatizo ya kununua simu za Nokia mwaka 2013, bora usevu hiyo hela ununue i4n au galaxy :twitch:
hizo site zako Gizmodo za Australia, Best Smartphone kwa miezi 12 iliyopita ni Samsung Galaxy S3 dunia nzima inajua, acha papara soma vizuri 'Global mobile Awards' ndio inayotoa statistics zote kwa mwaka mzima, ceremony ya mwisho ilifanyika February 26, 2013 kule Barcelona, Spain...soma hapa ( http://www.globalmobileawards.com/winners-2013 ) hizi zingine za kukusaidia kuflash akili iliyotawaliwa na vibonde Nokia..seems unaishi vichakani maybe so unaona galaxies na iphone ndo simu pekee?
Take your time pitia hizi link.
The winners of the 2012 Engadget Awards -- Readers' Choice
Now that the Samsung Galaxy S 4 is official, which high-end smartphone would you buy?
Gizmodo Awards 2012: Mobile Phone Of The Year | Gizmodo Australia
ukimaliza kusoma hizo link angalia kidogo na haka kavideo maybe katakuzindua
‪Switch to the Nokia Lumia 920 Windows Phone -- Engadget Reader's Choice Smartphone of the Year‬‏ - YouTube
seems unaishi vichakani maybe so unaona galaxies na iphone ndo simu pekee?