Kwa hili naona unatofautiana na Jakaya wetu?!Serikali mbili ni mafanikio sana kwako. Ndiyo maana hulalamiki.
Mimi namwomba WJM anisaidie kujibu haya atakapokuwa anaandika makala yake kwenye JamboLeo ya Jumapili ijayo:
-Katiba ya JMT haikuvunjwa na yale mabadiliko yaliyofanywa kwenye Katiba ya Zanzibar mwaka 2010 na Jakaya wetu akakaa kimya?
-Bunge la Jamhuri ya Muungano lilichukua hatua gani baada ya kuona mlinzi namba moja wa Katiba ya JMT kakaa kimya?
-Kuna uwezekano wowote wa kuirekebisha Katiba ya Zanzibar ili iondoe marekebisho yale ya 2010?