Warioba Anataka Nini Hasa?

Hii ni RIWAYA au hoja?Naona mleta mada ametiririka tu hakuna statistical referrences wala literal referrences?Naona CCM mnaendelea ku-waffle without any substance na kwa mwelekeo huu yaonyesha mshashindwa kwenye hoja ya Muungano wa serikali tatu.
Mleta mada pia anasema Waryoba anatulisha maneno ni maneno yapi hayo anayotulisha?Waryoba anayatetea mawazo yetu halisi yaliyomo kwenye rasimu wala hatoi kichwani mwake.Labda ni wewe na Mi-CCM wenzako ndiyo mnaotulisha maneno.Labda nikukumbushe kitu,kwenye katiba mpya pia tulipendekeza UWAZI mbona pia mnataka kuundoa?Au pia ni kosa la Waryoba?
 

Warioba anajibu maswali aliyoulizwa so we mwache afanye yake.
 
Haya ndo mawazo ya division five, sasa umendika nini? Wapi warioba kasema muungano uvunjwe? hii ndo akili ya elimu iliyotolewa sasa hivi baada ya Nyerere kufa. jamaa hawawezi kufikiria wanaishia kudesa! hizi zote ni effects za kudesa! just go back to school my friend!
 


Swali lako ni rahisi sana bro si kuhusu mizinga na kibali cha ukaazi? kwanza znzbr ni nchi ndani ya jamhuri ya muungano na ni autonomous region of tanzania tulichofanya ni kuipoteza tu tanganyika lakini hata yenyewe ingekuwepo ingekuwa ina sifa zile zile kama za serkali ya znzbr sasa mfano mzuri wa country within a country was then sudan republic b4 secession of south Sudan,south Sudan was autonomous and self-governing region of Sudan with its president and government then southern president was vice president of Sudan this rank was accorded to garang to salva kiir till the secession january 2011.hivyo znzbrr nayo ni self-governing region of tz with all quality of state except international recognition.ndivyo tulivyokubaliana hivyo!! pili ukaazi kulikuwa kuna shutma mwaka 95 kwamba ccm inawapenyesha watu kwenda znzb kukipigia kura hivyo kwa sababu wao ni wachache ni rais ku-turn course of election in ccm favor ndo wakaanzisha daftar la ukaadh ili kujirinda dhidi ya mamluki kuja kupiga kura.na jambo la mamluki si la leo wala la jana znzb katika kipindi cha kabla mapinduzi kwenye uchaguzi znp ilichukua mamluki toka mombasa kenya na ASP ilichukua mamluki toka bara kwa ndugu zao enzi hizo mwaka 59 na 60 siyo leo mambo hayo yalifanyika.tatizo wapi bro uchaguzi wa 63 ambao ZNP walishinda ni kwa sabab ya mamluki wao wa mombasa na kenya!! SO WHATS THE PROBLEM!! NAFKIRI Nimejaribu kukujibu kidogo mtu wangu eennhe?? daftrar tulilidhia bara mwaka 98 ilikuondoa hofu ya Cuf na maalim waliokuwa wanadhani wanashindwa kwa kunyang'anywa ushindi kumbe ni kura tu.mbona daftari lipo na bado anashindwa tu??
 
We nawe sijui umetokea wapi
Hivi hicho kinachoitwa MUUNGANO ni kitu gani hasa mpaka mtumie nguvu kukipigania na kuzuia wengine kutohoji kwacho?

Hivi unajua Kikwete kwa kutambua umuhimu wa Warioba ktk kuulinda na kuudumisha muungano alimzawadia TUZO tena akionyesha utii wa hali ya juu sana na tabasamu lisilokwisha

Mmeshinda mkimtukana Warioba kwenye mabaraza yenu ikiwemo na Bungeni ila yeye akitumia haki yake na muda mfupi kuwajibu mishetani yenu inawapannda na kuhoji anapata wapi uhalali wa kuwajibu. Hivi nyie mnapata wapi uhalali wa kumuhoji Warioba na tume yake kwa kile alichokipendekeza kulingana na maoni ya wananchi.

Nyinyi ni watu wa aina gani hasa, hivi kati ya Warioba na Polepole na wajumbe wengine wa iliyokuwa tume ya kuratibu maoni ya wananchi ni nani anayezungumza mara kwa mara na wananchi kupitia vituo vya radio na television.
Tatizo nyie kila mkisikia Warioba anaongea sehemu mashetani yenu yanaanza kuruka ruka na kushindwa kutulia mtalia sana mwaka huu hakuna wa kwawasaidia nyambafu zenu

BACK TANGANYIKA
 

Tunachotaka Tanganyika ni kulivua hili koti la Muungano maana ni la muda mrefu hadi linatuwasha,Tunataka tuwe na Tanganyika yetu ili kudhibiti matumizi ya fedha kirahisi hususan yale yanayopelekwa kwenye mambo ya muungano,kwasasa kuna kuna ufujaji mkubwa wa fedha zetu Watanganyika kupitia mradi huu wa kinyonyaji wa Muungano wa serikali mbili.
 
Angalia hapa Warioba alivyodhalilisha elimu yake:
"wewe ni mtanzania ila kama sio mzanzibar huwezi kupata ardhi Zanzibar pia huwezi kupiga kura znz ila kwao wakija tanganyika ni kinyume chake.
-Hivi kwe hajui kama
Zanzibar ardhi imekwisha baada ya Hayati Karume kugawa heka
3 kwa kila mtu bila ya kujali ametoka upande gani wa muungano?
- Hivi kweli hajui
Zanzibar ndiyo eneo lilaloongoza kwa mbanano wa watu kwenye
ukanda huu wa Afrika ikifuatiwa na Rwanda?
Sasa hapa ardhi ya kugawa iko wapi? Maana hata Mzanzibar mwenye akienda Serikalini hakuna ardhi labda auziwe na mwenziwe.
 
Unaendeleea kuutetea udhalimu wa ccm ili waendelee kula mema ya nchi kwa kukataa ukweli uliowekwa wazi na tume ya Jaji Warioba.
 
Kwahiyo wewe unaridhika watanganyika kupokwa haki zao kwasababu za kisiasa unaona hilo dogo.Wewe ukiondolewa haki ya kuchagua na kuchaguliwa kuna tofauti gani na serekali ya makaburu halafu kama hiyo haitoshi wakaondoa na haki ya kumiliki ardhi kwa watanganyika lakini wao wakija huku ruksa kukwapua ardhi ya Tanganyika bado unaupigania muungano wa jinsi hii ?.Unajua kati ya wanasiasa niliwahi kuwaheshimu Ole Sendeka ni mmojawapo lakini niliposikiliza michango ya nilibaini kumbe nilikuwa nimeingia choo cha kike.

 
Warioba badala ya kujibu swali eti anasema kwanini kwa Nyalali na kwa Kisanga hawakusema twakimu ni za uwongo? huyu mzee ni Jaji kanjanja.
 

Una umaarufu gani Tanzania hii, wewe kubwa jinga???
 

Na wewe acha kuwa kiherehere wa kumshambulia mzee Warioba nakushauri ujikite katika kujibu hoja alizoainisha, tatizo lako una njaa na acha kabisa kutumiwa ili upewe ujira.
 
Acha unafiki. Warioba amekuwa kiongozi mwadilifu aliyelitumikia taifa hili kwa miaka mingi sana. Wewe unajeuri gani ya kutoa maneno hayo kwa kiongozi huyu ambaye kazi Yake imekuwa njema kwa taifa. Wewe umelifanyia nini taifa hili. Acha ujinga na unafiki wa kuwasema Watu.
 

Wewe si mzima inabidi uende milembe. Na kama unalipwa kuleta upuuzi huu hapa basi kuna siku kaburi lako litapigwa mawe na kizazi chako mwenyewe.
 
Anasema Warioba eti kipindi cha nyuma wanajeshi walikuwa choka mbaya lakini hawakufikiri kupindua nchi kwa hiyo hoja ya kupindua nchi kwa sababu ya serikal tatu haitakuwa na fedha ya kuwalipa haina mashiko. Ina maana amesahau kuwa Serikali ya Nyerere ilinusurika kupinduliwa mara tatu? au apaga fix tu?
 
Kweli ukiwa ccm akili zinakuwa mferejini kama mtoa mada.
 
Ni kama nyerere alivyotetea mfumo wa vyama vingi pamoja na kukataliwa kwa 80%.ma ccm yakikuambia hii nirangi nyeupe hata kama yapo 100 na wewe peke yako kataa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…