Warioba Anataka Nini Hasa?


Umempatia kabisa hawa ndio wenye udini wa kina Lukuvi, akiweza kukujibu narudi mjengoni
 
Last edited by a moderator:

- Wajumbe wnegine wote wapo kimya kwa sababu haawajawahi kufanya mambo ya siri na Wapinzani kama Warioba, wala sio siri kwamba siku zote anashirkiana sana na Chadema, sasa mwisho wao umefika mambo hadharani Miaka karibu 40 ya uongozi wake hakujua Muungano haufai amejua sasa baada ya Rafiki yake kushindwa Urais,

- Rais wa Tanganyika atakuwa na kila kitu wala hahitaji mtu mwingine, lakini anatakuwa kuwa mjinga mjinga flani hivi wa kumpigia magoti Rais wa shirikisho, mnasema haya ni mawazo ya genius? please!!

Le Mutuz System
 
CCM kweli mabwe.ge. Warioba anasemwa anataka kuuvunja Muungano halafu hapohapo anaitwa Ikulu kwenye dhifa ya kitaifa na kuvishwa nishani iliyotukuka na rais kwa kuulinda Muungano
Mnachanganya wananchi kwa matusi mpaka nanyi mnachanganyikiwa
Chama Cha Makalio
 

jinga kubwa wewe anachana utoto
 

siri ipi iweke wazi,muungano utavunjika vipi? who are you to predict the unseen
 
Dah leo ajabu sana maana umeongea maneno mazito sana kuliko nilivyokuzoea!!Hata ikiwezekana mimi binafsi ningelazimisha iwe serikali moja kama hawataki wazanzibar basi wakamatwe wale waliobadili katiba ya zanziba bila yakubadili ya Jamuhuri kwani hao ni wahaini!
 

- Ina maana wewe unaogozwa na mabwege maisha yako yote na ya wazazi wako, sasa wewe ni nani kaka? ha! ha! ha!

Le Mutuz System
 
Apate majibu ya hoja zake ili aandaye rasim nyingine? Kama ni rasim tayari amewasilisha angoje matokeo.
Anachotaka ni majibu ya maswali yake saba sasa anza kujibu acha kuweseka?
 
- Warioba anajua kwamba bungeni kwenye uamuzi hakuna kura za Serikali 3 sasa anapigania nini hasa? Mimi naomba kusema wazi bila kuficha sina heshima na kiongozi yoyote anayeshauri kuvunja Muungano, ili u-replace na nini hasa?

Le Mutuz System

Sidhani kama Warioba au wanosema Serikali tatu au Serikali ya nkataba kuwa wanataka kuvunja Muungano. Warioba kaeleza vizuri kabisa kuwa kwa kuwa Zanzibar kwa sasa wana kila kitu kinachoashiria wana nchi yao basi ni lazima huu muungano uwe wa nchi mbili zilizoungana, na ili uwe na nchi mbili zilizoungana, hii nyingine iko wapi?

Mantiki tu inaonesha kuna Muungano wa nchi mbili, sasa badala ya wengine kukubali kuiita Tanganyika wanaiita Tanzania Bara, hivi hii nchi Tanzania Bara ilitoka wapi na iliandikishwa wapi na hili jina la Tanzania Bara limetokea wapi?

Muungano ni kati ya Tanganyika na Zanzibar ndiyo imeunda Tanzania. Hakuna nchi iitwayo Tanzania bara wala Tanzania visiwani. Ikiwa kuna nchi inaitwa Tanzania bara na Mafia si kisiwa? tuseme iko Tanzania visiwani> na Rais wake ni Sheni? mbona haina muwakilishi kwenye baraza la wawakilishi? na Ukerewe si kisiwa, nayo ni Tanzania visiwani?

Kwenye hili tuweni wa kweli na tusifate chama tuwe Watanzania tulioungana kutoka Zanzibar na Tanganyika, kila mmoja kati ya nchi hizi mbili awe na haki ya kujiamulia mambo yake bila kuingiliwa na mwingine ila yale yaliokubaliwa kwenye Muungano tu.

We have a loooooong way kuifanya Zanzibar siyo nchi. Labda Wazanzibari wenyewe wawe wamelala na wakubali kutawaliwa na kufanywa ni himaya ya Tanzania.

Uoga wa nini mbona Warioba haogopi?
 
Hata hilo Warioba amehoji kuongeza mikoa na mawilaya na kuvigawa vijiji kunamaendeleo gani ? Sijui ulimfahamu vipi ? Kama kuna faida basi sababu hizihizo ndio za kuweka Serikali Tatu.

Hii ni hoja inayojitegemea nayo ni ishu yenye uzito wa peke yake. Inaweza kushughulikiwa hata sasa. Kila watu wanajipanga kuomba wilaya, kata, mikoa na vijiji. Vitu hivi vinaongezaje uzalishaji alizeti kule singida au korosho kule mtr.
 
Utambulisho wa taarifa ya tume yoyote ni jina la mwenyekiti wake mfano Tume ya Jaji Kisanga Tume ya Jaji Francis Nyarali Tume ya Dr. Harrison Mwakyembe Tume ye Jaji Kipenka nk Tume ikiandika mazuri husemwa vizuri pia lakini ikandika vibaya, huvuma zaidi kuliko mazuri
 

Aliyeiteua na kuibariki mwanzo mwisho naye anahusika. Tatizo ni bogus anayumba kama ngalawa. Kama alikuwa hataki mawazo ya wananchi ya serikali tatu angeizima tume kimyakimya kisanii kama wenzake walivyofanya baada ya tume kwenda kinyume na mtazamo hafifu wa 'chama'
Yeye anazurura tuuu, hasomi matokeo, washauri wabovu halafu anakurupuka mwishoni
Karibu Tanganyika..
 

kwanini Lukuvi anahofu na uislam,hili nalo umejiuliza?????,uislam wetu unampaje hofu???hili nalo umejiuliza???
Kwanin awatishe wakristo kuwa hawatakua na wasaa wa kufanya ibada,,,,think twice,
 

kwanini Lukuvi anahofu na uislam,hili nalo umejiuliza?????,uislam wetu unampaje hofu???hili nalo umejiuliza???
Kwanin awatishe wakristo kuwa hawatakua na wasaa wa kufanya ibada,,,,think twice,mnachopaswa kufanya ni kumjibu,je mabaraza ya bunge la katiba hayajawekwa mamluki kwa maelekezo ya ccm???
 

mwakyembe hana ubavu wa kuongoza tume yeyote ile,anaendeshwa na hisia,yeye ataongoza kamat tu,
ameshindwa kuisoma ripot ya richmond ataweza kuendesha tume???
 
kama MACCM wanahisi warioba kakosea anataka kuvunja muungano. mimi ninao ushauri kwao wapeleke marekebisho ya sharia bungeni na werekebishe ile sharia waondoe 2/3 ya kila upande wa muungano ili wazanzibar wasiweze kuzuia kwenye bunge maalumu la katiba.
kisha ikataliwe na wananchi kweye kura ya maoni hasa nchini ZANZIBAR .KATIBA YA SASA ITAENDELEA na serekali mbili basiiiii.
KISHA IKIFIKA WAKATI HUO WATAJUA NANI ANATAKA KUVUNJA MUUNGANO!!!!!!NA WATAJUA NANI ALITAKA KUOKOA MUNGANO. vile vile watajua maana ya kudaiwa watoe mkataba halisi wa muungano na wao wakatoa feki. na watajua nani yuko nyuma ya madai ya wazanzibar ya kudai mabadiliko sasa, nawakumbusha tu yale ya RAIS JUMBE HAYATA RUDIA TENA ZANZIBAR badala yake mara hii itakuwa zamu ya MUUNGANO.

KATIBA YA ZANZIBAR YA 1984
TOLEO LA 2010
9(1) Zanzibar itakuwa n nchi ya kidemkrasia na haki za kijamii
(2)kwa hivyo hapa inaelewa rasmi kwamba:
(a)mamlaka ya kuendesha nchi ni ya wananchi wenyewe ambapo nguvu na uwezo wote wa serekali kufuatana na katiba utatoka kwa wananchi wenyewe.
 

halafu sijui kwanini kwa sasa watu wanapotosha kuwa Warioba anataka kuvunja muungano,maskin mzee wa watu hapo ndo wanapomsingizia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…