uNAPOSEMA wanaopina Muungano wa serikali tatu ni CCM, CCM PIA NI WANANCHI WA Tanzania. Wananchi wa Tanzania sio CHADEMA au CUF wote ni wananchi wa Tanzania ila wanatofautiana kimtazamo tu.
Mpaka watanzania wanafikia kusema wanautaka au hawautaki Muungano ina maana wanajua faida na hasara zake. Kila mtoa maoni yake anajua ni jinsi gani atafaidika na aina ya Muungano anaoupendekeza, lakini wengine inatokana na uvivu wa kufikiri na kubuni mbinu mpya za kufanya Muungano uimarike zaidi ila wana mbinu za kuudhofisha kwa maslahi duni ya KUPIGIWA MIZINGA 21, Kuwa na bendera yao, wimbo wa Taifa na mambo mengine kama vile kuomba misaada.

Tupe uzuri na ubaya wa serikali mbili pamoja na changamoto zake pia rudi upande wa serikali tatu nazo weka faida na hasara zake ili tujue kama mzee warioba kapotoka,unajua kama sera za mwalimu zilishindwa pia? Unajua kwa nini wakati wa mwiyi aliruhusu soko huria?(ruksa) bs ujue pia kulingana na mda na changamoto za hapa na pale na wimbi la watu wengi kuzidi kuelimika,mwalimu asingekuwa na choice zaidi ya kukubaliana na mawazo ya wengi ya serikali3.
Wanaopinga serikali 3 ni ccm na sio wananchi wote kama unavyojitahidi kupotosha.