Ngongo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2008
- 18,921
- 31,161
.......hata kwenye hiyo namba {1} bado Warioba ana maswali mengi ya kujibu:
Kama tutakuwa makini tutampata mbaya wetu kupitia kauli hii ya Warioba. Hata kama Serikali ikikaa kimya Warioba anapaswa kufikishwa Kisutu ili tumjue mdudu anayeimaliza Tanzania.
- kwanini tangu awali hakumshauri mteja wake (Serikali) achapishe nia yake ya kutumia kodi ya wananchi kupitia Government Gazzete?
- kwanini alikaa kimya ilhali akijua Serikali, ambayo tayari ilishakana Azimio la Arusha kupitia lile la siri la Zanzibar, inajiingiza kwenye biashara pasipo ridhaa ya wananchi?
- Kwanini hakuwa muungwana kuweka bayana upatikanaji wa hisa za kampuni hiyo ili wananchi na vyama vingine vya siasa wapate hisa (kama anadai "CCM Trust Company" ni mali ya SSM?
Mkuu johnshaaban nimekukubali,uko sahihi kabisa.
Asante kwa analysis nzuri