Warembo wetu jamani vimini mhhhh

Warembo wetu jamani vimini mhhhh

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
754
13v.JPG
12.JPG
tcc.JPG
 
Jamani wa dada mbona kuka kihasara kama kuwa uchi hawaoni kuwa si kuzuri? tunaelekea wapi?
 
You need not to be told, it is nothing than a 'promo'. Naona wanapata shida sana kujitangaza, na bora watengenezewe websit yao ili ieleweke kuwa sasa kujiuza ni rasmi
 
Jamani wa dada mbona kuka kihasara kama kuwa uchi hawaoni kuwa si kuzuri? tunaelekea wapi?

Wasi wasi wangu utaambiwa mshamba, vumilia babu. Cha kufanya we uliza kuwa wanapatikana wapi?
 
Wanatamani sana kutembea uchi kabisa ila sheria inawabana hasa ile ya watu kuchukua sheria mkononi.Wanapenda watuoneshe kila kitu mpaka uvunguni.....!!!hii ndiyo fahari yao
 
hapa hakuana hata mmoja ana faa kuowa ipo siku atatembea na chup mbele ya baba mkwe
 
Hamna Mke hapo,katafute mke kijijini.hawa wa matumizi tu
 
wangekuwa wamevaa mchana au kanisani tungeweza kulaumu...! hizo in evening wear...! HAKUNA UBAYA HAPO...! ulitaka wavae madera jioni..?

WANAUWAKE NI MAUA..! si unaona wanavyo vutia kuawaangalia..!
 
Back
Top Bottom