Jabari XVI
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 1,225
- 1,679
[emoji3]
Asante, uwe mwaka wa kheri kwako pia...
You people are full of funny things kwakweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3]
Sikuwa na option nyingine ila kuyameza.
Mkuu tarehe 1st January ushaikurubia zinaa ?Natanguliza salamu za mwaka mpya 2020.
Katika harakati za Krismasi na kuukaribisha mwaka mpya wa 2020, nilikutana na dada fulani mrembo kaumbika kweli; chuchu ndio hizo, dimples za kuvutia na tako zuri. Nisingeepuka kuomba namba yake ya simu.
Chats zikaanza kimzaha na hali ikabadilika kwa upesi na tukaanza mahusiano wa kimapenzi. Tulikubaliana twende out 31st December ili tuanze mwaka mpya pamoja. Tukatafuta chumba kizuri katika mojawapo ya hoteli za kifahari mjini huku.
Mambo yaliendelea shwari hadi tulipoanza romance na katika harakati hizo, mdomo na kimbelembele chake, kwenye chuchu za mdada
Nilijikuta na funda la maziwa moto kinywani nikashindwa niteme au nimeze.
Wasia wangu kwa kina dada ni kwamba ukijua unanyonyesha, tafadhali sema mapema ili kutuepusha na hali hii tatanishi.
Je, kuna wale ambao wamekumbana na jambo kama hili hapa?