Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,494
- 21,453
Best ushauri ever.... nimetamani niwe na tatizo ili unishauri.go for it nigga...just go fot it...
it's about you do what's good for you...mapenzi ni kuwa na furaha na uliyenaye
ukipata nafasi ya kudate mzungu, mwarabu, muhindi etc never hesitate mkuu...you never know
Binafsi sioni mahali unakosea kwa jinsi ulivyojieleza...wao wanaokukataa ndio wanaokosea...
Usimlazimishe manzi ima faima, akikataa wewe sepa zako maana wadada wengi huwa na multiple minds...anaweza akawa na wewe vile anataka ndoa tu lakini kihisia yupo na bwana wake aliyetosana naye sometimes back....
Huna sababh ya ku 'panic'...hao wanaokuuliza unaoa lini sio utaoishi nao katika ndoa yako...
Ups and downs za ndoa yako hazitawahusu hata kidogo na si ajabu hao hao watakushauri tena, "hebu tafuta mwanamke mwingine" endapo mambo yakwenda mrama...
Take your time, ishi maisha yako na zaidi huwa hakuna umri eti ukifika ni lazima uoe...
Why do you need a psychologist? listen young fella, you're the boss of your own happiness...hao wanasaikolojia hata wao wana matatizo yao...
Hili nalo ni tangazo kiaina ili mtu anaswe, vijana naona mnaanza kuwa wabunifu wazuriHbr JF,
Naombeni msaada wenu wa mawazo. Kwa zaidi ya miaka sita sasa nimeshindwa kupata relationship inayoeleweka, nyingi zinakufa hata kabla hazijaanza. Relationship yangu ya kwanza ilikufa kwa kua gf alitaka ndoa na mie ndio nilikua nimetoka chuo sina mbele wala nyuma akaamua tuachane. Baadhi ya wadada ambao niliwasihi sana waniambie kwa nini wanahisi hawawezi kua na mimi wameishia kusema "I'm too good to them", "I 'm too kind" wanaogopa kuniharibia....hivo. etc
My last attempt ilikua weekend iliyopita, nilitoswa baada ya kufukuzia kwa muda mrefu sana. Yaani naambiwa tu kama ni urafiki wa kawaida it's ok ila sio mahusiano na mdada ambae anakiri kua hana mtu na tumekua marafiki kwa miezi zaidi ya 6. Katika urafiki wetu huo nimejitahidi kua karibu nae, zawadi zawadi hata outings kwa sana tu hadi najiuliza nifanye nini zaidi na hawa viumbe.
Binafsi sio mbahili na pesa sio tatizo sana namshukuru Mungu kwa hilo, ila pia kutokana na shughuli zangu nakua busy mno kwa hiyo inaniuma vile navyoweza ku sacrifice muda wangu kua karibu na mtu nikiamini kuna kitu nakijenga kumbe nampigia mbuzi gitaa. Imefikia hatua nawaogopa wadada wa kibongo, natamani labda nitafute raia wa nchi nyingine / mzungu etc.
Wiki hii nzima nimekua nikiwaza na kuwazua nakosea wapi. Umri nao unasonga, hakuna gf wala mchumba inanipa stress sana sana. Kijana ukishafika miaka 30+ , shule umeenda na una ajira/shughuli za kukuingizia kipato cha kutosha kila mtu anatarajia kuona unakua na familia, maswali ya unaoa lini yamekua mengi hadi wakati mwingine napanic vibaya sana.
Kama kuna mdau anaemfahamu mwanasaikolojia wa mahusiano , naomba aniunge nae nipate na ushauri wa kitaalamu pia.
Aje kwangu nitampenda. Asisahau tu hela zake..Si unajua sometimes unaweza ukawa na mihela halafu ukashindwa kuitumia,hili nalo ni tatizo lingine..
Labda Ana sura ya babu wa babu wa babu yake anatishia warembo wa watu wakiwaza watoto watakaowazaa.. Hilo nalo Lina nafasi yake mjue.Pesa unazo kama ulivyosema,ajira unayo,elimu unayo na umemkosa dream girl wako??!!!..there is problem somewhere
Inaweza ikawa sababu kweli??..kwamba anafuata warembo wa level za juu na mwonekano wake haudeserve kuwapata hao warembo..Labda Ana sura ya babu wa babu wa babu yake anatishia warembo wa watu wakiwaza watoto watakaowazaa.. Hilo nalo Lina nafasi yake mjue.
Ondoa wac wac kuwa huru jiamini wewe ni mwanaume wewe ni simba nguruma, tongoza madem wapo kibao naamini katika wana wake mia moja hukoc hapo 1 alie tulia.Ahsante kwa ushauri, nitauzingatia
Kwa sasa hali niliofikia ni mbaya, hofu ya kukataliwa ni kubwa sana zaidi ya hofu ya kupoteza muda ( na pesa pia ). Naweza kua close sana kwa mdada ila naogopa kumwambia , wish yeye ndie aseme.
hahaaKAOGE MAJI YA BAHARINI YALIYOCHANGANYWA NA MCHAICHAI ULOSAGWA
Ukiaanza kuwakamata njoo PM unipe japo hela ya soda
heheeBado naendelea Kutumika mkuu
hahaa kwa hiyo ukishaitwa mbwa ndio utakuwa umebadilika maumbile au ...?Naweza kukupa dark arts...utasoma na itakusaidia mambo yako mengi...ikifeli nifungulie Uzi..na niitwe mbwa
EehInaweza ikawa sababu kweli??..kwamba anafuata warembo wa level za juu na mwonekano wake haudeserve kuwapata hao warembo..
Hahahhah mkuu vipi?Uko mfupi sana nn?
Ubaguz upi? Nmemwuliza tu maana wadada wengi hawapendi viandunjeHahahhah mkuu vipi?
mbona hapa panakuwa na viubaguzi ubaguzi?
Hahahahhaha,hv wanachokiogopa sana ni nini???Ubaguz upi? Nmemwuliza tu maana wadada wengi hawapendi viandunje
Hivi na nyie huwa mnachagua mwanaume wa kukupa watoto wazuri?Labda Ana sura ya babu wa babu wa babu yake anatishia warembo wa watu wakiwaza watoto watakaowazaa.. Hilo nalo Lina nafasi yake mjue.