Warembo wananikataa, sijajua nakosea wapi I'm really stressed up

Nakubali itanisaidia hii
 
Nahisi umemsoma jamaaa
 
Na ukawahonga na outings za kutosha and still they dumped you? Mhh haiwezekani Something is not right somewhere...[emoji848]
Nahisi jamaaa mzito sana .... Anashindwa kutengeneza mazingira ya mgegedo... Yani hana effect labda... Yeye ni outings tu... [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa fasta fasta tu nadhani kwamba you are a nice guy.

I could go back n forth and explain why that (being good/nice) is a problem; ila nadhani at that age itakuwa ngumu kubadilisha personality yako.

Cha msingi vumilia, utakutana na ambaye ana-find that kuwa 'good/nice' is sexy.
 
jomba mbona sinza na corner baa wapo wengi tu jisevie tu
 
Acha kuzingua, hakuna mwanamke kwa sasa anayemkataa mwanaume mwenye kazi na pesa, tena unaingia kwa gia ya kuoa.! Hata ukitaka kijiji kizima utawapata. Mwanamke ukishamwingia kwa gia ya kumuoa tu lazima ule mzigo na kuoa juu. Labda kuna kitu kingine .....
 
Acha kulilia madem wazuri, anza na wenye flat screen na sura za babazao juu, Hakika utawapata taratibu utaanza gain momentum
 
Tengeneza mzoga Tai waje wakusanyike!
Wakutanikapo Tai ndipo penye mzoga[emoji108]🏻[emoji108]🏻
Hata hivyo pengine Mungu anajuepusha pengine wangekusumbua!
Wa ubavu wako tupo mahala flani
 
hata kwa ulivyijielezea ni ngumu sana ukae na binti...unaoshesha weakness kabisa..mwanaume kuwa ngangari...eti unajisifia sio mbahili......afadhali tu umesema pesa sio shida ila kusema sio mbaho=ili kwani ndio sababu ya wao wasikuache..ukiwa too good utaachwa sana tu
 
Tongoza wadada wenye umri, kati ya miaka 35 na kuendelea, hutojutia kamwe dawa ni hiyo tu.
 
Badili gia angani kuwa wa kawaida usidhani pesa tu ndio kigezo cha kupata unaye mtaka wadada wanamiliki mpunga now days weka pesa pembeni , punguza majigambo sijui degree sijui kazi pia kumbuka bora uchelewe kupata kuliko kujutia kupata
 
labda huswaki, ni kosa kubwa sana kwenye relationship
 
Mzigua nina kesi na wewe na nimeona una hatia ya kujibu
 
Njoo Pm ntakusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…