Warembo wananikataa, sijajua nakosea wapi I'm really stressed up

Pole sana kwa hali uliyonayo....ila usijari unaweza kurudi kwenye hali ya kawaida.

Kama hautojari, karibu pm...me ni mwanasaikoloji.
 
Nimependa Ushauri wako
 
pole sana mkuu.... tafuta msichana humble.... angalia dizaini ya wanawake unaowafuata na ubadiki gia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ni mwehu eti akuchemshe supu
 
Tatizo lako wanawake wanakuona kwa mtizamo tofauti huna mvuto upo ka kinyago cha mwenge, tumia ndoo kuoga ukimaliza kuoga bakisha maji kidogo yasukume kwa mguu wa kushoto alafu taja jina la mwanamke ambae utamtongoza zingatia jina unalitaja mara tatu
Mkuu kwahy maji yanayobaki anayasukumizia yakiwa ndani ya ndoo...au kwanza anayamwaga?
 
Acha kulialia ebu hudhuria nyumba za ibada na mikusanyiko ya vijana wenzio wale mliosoma nao chuo au high school
Punguzeni masharti wanaume wa siku hizi nataka mwanamke awe hivi vile mwisho wa siku mtu anajipima anaona hapa sipawezi anakimbia kaa na mtu msome tabia wengine wenge sababu hana mtu akipata mtu anajirekebisha ila hizo papara zako utaangukia slay queen uje ufe kwa presha
 
Duh yani una hela then wanawake wanakukimbia!!!! Labda appearance yako ndo tatizo eg sura, unene kupitiliza n.k
 
Mkuu kwahy maji yanayobaki anayasukumizia yakiwa ndani ya ndoo...au kwanza anayamwaga?
😂😂😂 anaoga kisha anabakisha maji kidogo ambayo atayasukumiza kwa mguu wa kushoto kisha jina la mwanamke mara tatu kwa imani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…