Mkuu ulimaanisha ipi hapo?Ahahahahaaa....kweli aisee. Siku hizi sio kama zamani.
Last week nimekutana na demu kabeba purse/ bag ya Louie Vuitton halafu anashuka kwenye daladala iliyokuwa inatokea Kiwalani....sasa nikajiuliza...hmm hivi hiyo Louie ni authentic au bootleg.....nikashawishika kuwa ni bootleg kwa sababu huwezi kumudu kununua Louie authentic halafu upande daladala
zamani wasichana wa aina hii unakuta wanaishi masaki hivi
au wamekulia nje ya nchi..
but these days utakuta hao wote ni wa uswazi...
tandika,keko mwanga,vingunguti hivi...yaani....
Huyu demu ni nani jamaniNawatakia weeknd njema...Mambo yote bongo bwana check totoz..
Duh....hivi vinguo vingine dada zetu muwe makini,maanake hata ukicheka tu mambo yaweza kuwa hadharani.
suara la kujisitri siku hizi wengi wao halijui na kama wanalijua hawataki kurikumbuka wala kukumbushwa. wenyewe wanaikimbiza dunia mpaka wanawanaizidi speed sasa destination sijui wapi?:embarrassed:Hivi maana halisi ya kuvaa nguo ni ipi jamani,maana nijuavyo ni kusitiri mwili lkn pia upendeze,mbona sijaona aliependeza au ni macho yangu:glasses-nerdy:
Nawatakia weeknd njema...Mambo yote bongo bwana check totoz..
Mh uchafu mtupu
Mh uchafu mtupu
hiyo louis vuiton ya kutoka china
zipo kariakoo kibao.mpaka viatu vyake.....
siku moja nilienda diamond jubilee kulikuwa na concerts ya bongo fleva....
nilijuta.....
karibu ukumbi wote wamejaa watu kutoka mikoani..
utasema nilikuwa nje ya dar....
siendi tena now.
siku hizi watu wanatoka vijijini wanajua kuvaa vi top na tight jeans kabisa...
unakutana nao mjini wanakuuliza muhimbili ipo wapi unashangaa
Duh....hivi vinguo vingine dada zetu muwe makini,maanake hata ukicheka tu mambo yaweza kuwa hadharani.
huoni cha bluu kule wewe!Jamani mie mbona sioni kitu!!!!!
hivi unawatambua vipi hawa??