Warembo wa Wiki..

Afu' Mkuu RRONDO, umenichefua kidogo kuwaita warembo, ni vichangudowa tu ivi!

pole..........kumbuka sio kila avaae nguo fupi ni changudoa na sio kila avaae nguo ndefu na ushungi ni mwema........
 
kina dada naomba msaada, hivi madukani kuna chupi za rangi hii?
 
Lakini mi nafikiri kwanza tungejua walikuwa katika occasion gani.......! Huenda tukawapimia isivyo? Mathalani mi nilifikiri wapo CHURCH then nikawa dis ile mbaya. Na mwingine anaweza kuhisi wapo mbele za baba mkwe wanasikiliza mawaidha........:bowl:
 
Jamani nimerudi tena

Baada ya kuangalia sana nimehisi hiyo sehemu ilikuwa na joto la kufa shetani, maana ukiangalia kule back bench utamuona mwingine kama anataka kuvua kabisa.......!!
Du! I wish The Boss ungekuwepo hapo mahali.
Te te he te hee
 
The Boss kwani mtu akitoka mkoa hafai kwenda Diamond? Kama ukiona wa mkoa wanazidi njoo pretoria au nenda captown
 
Duh....hivi vinguo vingine dada zetu muwe makini,maanake hata ukicheka tu mambo yaweza kuwa hadharani.
...Halafu cha kushangaza wanaoonekana kufurahi ni hao waliokaa row ya mbele tu?? Maana wengine wote wameuchuna kama wako kwa pilato!!!...inakuwaje?
 
kina dada naomba msaada, hivi madukani kuna chupi za rangi hii?

sijakutana nazo muda mrefu sana....halafu nimejaribu kuichunguza nikagundua ni aina ya bukta...duuh...haiendani kabisa na hiyo nguo aliyovaa
 
Lakini mi nafikiri kwanza tungejua walikuwa katika occasion gani.......! Huenda tukawapimia isivyo? Mathalani mi nilifikiri wapo CHURCH then nikawa dis ile mbaya. Na mwingine anaweza kuhisi wapo mbele za baba mkwe wanasikiliza mawaidha........:bowl:

wanaangali U-MISS HIGHER LEARNING.........
 
sijakutana nazo muda mrefu sana....halafu nimejaribu kuichunguza nikagundua ni aina ya bukta...duuh...haiendani kabisa na hiyo nguo aliyovaa

Mmmmh....BOXER??:smile::smile:
 
chupi za rangi na aina hiyo zimejaa teleee madukani hasa ulaya na marekani yake.

boxer shorts au wengine wanaita boyfriend's shorts are sooo in right now 🙂
 
hata mie ningekuwa na shape nzuri kama hao wadada ningevaa nguo fupi...!:smile-big:
nimejaribu kufanya mazoezi naona weight hai-shift,
labda ukifika umri fulani mwili unadecline,sijui!
 
NN inaweza kabisa ikawa ni authentic labda buzi zimemchomoka nyingi tu, si unajua mambo ya nyumba ndogo!
 
hata mie ningekuwa na shape nzuri kama hao wadada ningevaa nguo fupi...!:smile-big:
nimejaribu kufanya mazoezi naona weight hai-shift,
labda ukifika umri fulani mwili unadecline,sijui!
Dont worry Rossie
Beuty is in the eyes of the beholder!!
Wasichana wengi wanaiga umbo la kizungu(european figure)
Naweza kukuhakikishia kwa waafrika it is totally different.
Nilikuwa na rafiki yangu wa Kinigeria miaka kadhaa, na nilicheka kwa comment yake akisema
"Moi froend, yo moust have a somting to hould, oua womon are very very goud"
I concurred
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…