Warembo wa MMU mpo wapi mbona mnaacha nateseka moyoni?

Warembo wa MMU mpo wapi mbona mnaacha nateseka moyoni?

Uvumilivu umenishinda nalazimika kusema hili nimetafuta mchumba kupitia LOVECONNECT sijafanikiwa basi sikukata tamaa nika anza kuwa PM wengine niliowapenda lakini wala hawajanijibu .Hivi kweli inaingia akilini mtandao mkubwa kama huu kweli nakosa mtoto wa kupiga naye stori huenda kuna mkono wa mtu. Saweni tu sasa hivi ngoja nijaribu kutafuta mchumba kupitia badoo labda huenda nikapata mtoto wa kunifariji moyo wangu .Inasikitisha sana kwa kweli.

huna swagga!!! keep trying.
 
huna swagga!!! keep trying.

Duuhhh!!! Kwa hiyo SAYANSIkim hana swaga??? Mkuu sayans kim weka hapa jukwaani mapato yako kwanza....una akaunt ngapi?? Salar shi ngapi wenda watakwelewa warembo humu!!!!
 
Last edited by a moderator:
Najitahidi kuongea nao hawanielewi .kinachosikitisha hawajibu lolote nikiwa PM sasa sijui wanajua natania wakati mimi nipo serious.

weka tangazo lako afu uwe criouz utaona jins bebs znavyomiminika!
 
hahahahaaaa!!!!-- kazi kweli kweli-- imebidi tu nicheke kudadeki!

wakati wengine wakikimbia na kufunga milango ya PM, kumbe kuna wengine hata PM hazijibiwi?

kaka jifunze kwanza lugha. narudia tena, jifunze lugha!!- tafakari hii kauli yangu- jifunze lugha!
 
Hahahaaa... alafu nilitaka nimwambie aje kwangu maana nimemuonea hadi huruma....

Nipo tayari kuja kwako lakini kwakweli sina kipaji cha kusema .Naomba usiseme nilitaka ni mwambie bali sema ninataka nikwambie nadhani hivi itakuwa njema zaidi.
 
Nipo tayari kuja kwako lakini kwakweli sina kipaji cha kusema .Naomba usiseme nilitaka ni mwambie bali sema ninataka nikwambie nadhani hivi itakuwa njema zaidi.

Hahahahaaa lol... mtoa mada wajipenda kweli?
My x shem mgiriki, pls mtafute na Himidini mkuje huku...
 
hahahahaaaa!!!!-- kazi kweli kweli-- imebidi tu nicheke kudadeki!

wakati wengine wakikimbia na kufunga milango ya PM, kumbe kuna wengine hata PM hazijibiwi?

kaka jifunze kwanza lugha. narudia tena, jifunze lugha!!- tafakari hii kauli yangu- jifunze lugha!

Nimejaribu kila aina ya lugha hawanielewi .Sijui wanataka lugha ya aina gani.
 
Duuhhh!!! Kwa hiyo SAYANSIkim hana swaga??? Mkuu sayans kim weka hapa jukwaani mapato yako kwanza....una akaunt ngapi?? Salar shi ngapi wenda watakwelewa warembo humu!!!!

Nikiweka mapato sidhani kama nitapata atakayo jitokeza .Si unajua tena wanapenda wenye kipato kikubwakikubwa.Kipato changu bora nisikiweke tu maana au basi ngoja niache kutoa siri za kipato changu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unalalamika sana. Mwanaume kulalamika is a waekness. Chuna tu,, vuta subira uskate tamaa, keep tryin,, utalamba dume tu muda ukifika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom