Warembo wa MMU mpo wapi mbona mnaacha nateseka moyoni?

Warembo wa MMU mpo wapi mbona mnaacha nateseka moyoni?

Uvumilivu umenishinda nalazimika kusema hili nimetafuta mchumba kupitia LOVECONNECT sijafanikiwa basi sikukata tamaa nika anza kuwa PM wengine niliowapenda lakini wala hawajanijibu .Hivi kweli inaingia akilini mtandao mkubwa kama huu kweli nakosa mtoto wa kupiga naye stori huenda kuna mkono wa mtu. Saweni tu sasa hivi ngoja nijaribu kutafuta mchumba kupitia badoo labda huenda nikapata mtoto wa kunifariji moyo wangu .Inasikitisha sana kwa kweli.
https://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpage&v=44_RMRbL5Cw
 
Aaaghaaaaaarrrr! unaoishi nao mtaani, uliosoma nao, unaosali/swali nao hujaona tu mpaka kwenye love connect Unasikitishaaaaaaaaaa!
 
Aaaghaaaaaarrrr! unaoishi nao mtaani, uliosoma nao, unaosali/swali nao hujaona tu mpaka kwenye love connect Unasikitishaaaaaaaaaa!

Tatizo ni kwamba hawana sifa zile nazo zihitaji.
 
chalii, komaa na wa kitaani kwako.

huku utazimia
 
no one is perfect kikubwa ni kuzingatia mambo ya muhimu !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom