Warembo wa MMU mpo wapi mbona mnaacha nateseka moyoni?

Warembo wa MMU mpo wapi mbona mnaacha nateseka moyoni?

Hahhhhahhhhahhha aisee unalalamikaa wewee sijapata kuona hivi una miaka mingapiii

Miaka yangu siri yangu kwakweli mimi na hangaika napoteza muda wangu kuwa PM siambulii chochote wanacho nifanyie sio kizuri kwa kweli mtandao mkubwa namna hii nakosa kwakweli siamini macho au sijue niende kule JLW .
 
hivi mmeshafungua nanihii?

nakumbuka our school motto enzi hizo mwaka 1971 ..

education.gif
 
Hahahahahaha Kaoge Ferry Panton Linaposhusha Abiria Naamini Utatakasika Tu
 
Nenda kaoge Salenda bridge pale na maji ya mavi yatokayo mchikchini,mto msimbazi na Hananasif.Maji yale yana baraka na kutoa nuksi kama maji ya mto Ganges.
 
wewe Sayansi si umetaka ushauri,mimi ninauzoefu na salenda bridge pale nuksi kwishney.

Nianze kuwa mshirikina tena na kupewa mahirizi Mmh!!! ,Au wewe ni dactari wa asili wa hilo eneo unaonekana unauzoefu kweli.Kama wewe ni daktari wa hapo niambie basi
 
wewe hauko seriuz unatafuta mchumba kwenye google. kama sehemu unayoishi inayo kuzunguka umekosa binti. nakushauri piga goti.
 
Kwa hiyo umeona hapa ndiko kunakopatikana maharage ya mbeya eee?...hawa watoto walio..tahi..ri..wa juzi juzi wanashiiidaaaa! Hivi kidonda kishapona?jiuguze kwanza ukipona utarudi JF watakuwa washafungua jukwaa jipya la watoto show.
 
Nyie endeleeni kunikatisha tamaa tu.Mimi nachojua nitampata tu.
 
tena badoo hutochelewa:smile-big::smile-big:

Tatizo wa badoo hawajulikani tabia zao .Afadhalia Ya Huku Kunauwezekano Wa Kujua Tabia Zao Kwa Kuangalia Mambo Wanayo Post Humu.Lakini badoo ni vigumu sana kugundua tabia zao .Lakini huku tabia ya kila mtu inajulikana tu kwa kuangalia profile yake.Hii ndiyo sehemu salama ya kutafutia na sio badoo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom