Tabora nenda kwa akili sana, kule ni tofauti na Arusha au Kilimanjaro au Dar kwamba unatongoza demu ukimaliza haja zako unasepa, kule hamna hiyo utajikuta umeoa hivi hivi na utarudi nae Kilimanjaro bila kupenda! Ila kama bado una moyo na watoto wa kiarabu wa kule basi ukifika piga misele maeneo ya Kanyenye, Rufita na Bachu kuna waarabu wengi sana wenye maisha ya kiswahili kabisaa tena maisha magumu kama wabongo, hapo utapata mkee sio demu,
Lazma utaoa kijana kule ni mwendo wa mafundi wa Elimu isiyoonekana
Nadhani umenielewa

