Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,788
- 2,688
Duuuuy
Asante sana .kwa ushaurii wa maana .Wanakuwaga na vijiwe vyao kama Moshi au Arusha? Maana hapa Arusha ukienda tu mitaa ya sombrero or clock tower or picknick wako wa kumwaga Ile ni hawa blacks tu manTabora nenda kwa akili sana, kule ni tofauti na Arusha au Kilimanjaro au Dar kwamba unatongoza demu ukimaliza haja zako unasepa, kule hamna hiyo utajikuta umeoa hivi hivi na utarudi nae Kilimanjaro bila kupenda! Ila kama bado una moyo na watoto wa kiarabu wa kule basi ukifika piga misele maeneo ya Kanyenye, Rufita na Bachu kuna waarabu wengi sana wenye maisha ya kiswahili kabisaa tena maisha magumu kama wabongo, hapo utapata mkee sio demu,
Lazma utaoa kijana kule ni mwendo wa mafundi wa Elimu isiyoonekana
Nadhani umenielewa
Hiyo 250,000 haitoshi kwa wiki 2, labda kama utalala pale station ya gari moshi Mangi..Asante sana kwa mchango wenu wa mawazo mazuri .Nitakaa two weeks before returning to Kilimanjaro or Arusha .kweli michango yenu imenifanya nijisikie kama vile nimeshapata Mwarabu wa Tabora .For real my budget is around 250000 just for spend with Arab girl .Huko Arusha na Kilimanjaro hamnaga Waarabu kabisa na kama wapo huwezi kuwaona kabisa mitaani wako wachache sana sana na hawatoki kabisa .Sijui hata shule wanaenda saa ngapi .Je Waarabu wa Tabora wanakunywa pombe ,
Halafu hicho Kiingereza chako cha migombani kiache huko huko. Hawa mademu wa kiarabu wanazungumza Kinyamwezi fasaha mwanawane. Anyway; good luck....please let's me know please...If Arab chicks they drinks some wine or hard liquor.
ahaaa jf raha sanaNahitaji mrembo wa kutoka Tabora
Kwangu pesa na nguvu za kiume sio tatizo
Akiwepo hata hapa aniPM tusipoteze muda.
Kule waarabu utawapata sana maeneo ya Rufita(mwanza road), au Bachu na Kanyenye, wao vijiwe vyao sio kujiuza live live ila utagundua coz jioni wanakaa nje kwa wingi wakiwa wanauza bagia, sambusa na vitu vitu vya kula vya style hyo! Hyo budget yako ni kubwa sana kwa wasichana wa Tabora, ni very cheap yaani very cheap! Ukifika unainua mmoja hawana shida, tatizo ni washirikina sana, na anaweza ona kama umekuja muokoa kimaisha! Wenyeji wa Tabora hawatembei na waarabu hao kabisa,hapo utashangaa kwanini waarabu ni wazuri ila wanaume hawahangaiki nao wanagegeda wanyamwezi wao tu!Asante sana .kwa ushaurii wa maana .Wanakuwaga na vijiwe vyao kama Moshi au Arusha? Maana hapa Arusha ukienda tu mitaa ya sombrero or clock tower or picknick wako wa kumwaga Ile ni hawa blacks tu man
Ni za kunywa tu Mangi ni beer tu wala sio malazi ,only for drinks and nyama choma only .Hiyo 250,000 haitoshi kwa wiki 2, labda kama utalala pale station ya gari moshi Mangi..
kaka ushatoka kwa madiba?Hamna lolote huko zaidi ya miti ya miembe na maembe
Wanakunywa paka pombe za kienyeji, mkuu pita kijiji kinaitwa bukene huko utawakuta wakumwaga wamebeba majembe wanaenda kulima. Wana kauli zao utawasikia " kulima kwanzaah uarabu badae".Asante sana kwa mchango wenu wa mawazo mazuri .Nitakaa two weeks before returning to Kilimanjaro or Arusha .kweli michango yenu imenifanya nijisikie kama vile nimeshapata Mwarabu wa Tabora .For real my budget is around 250000 just for spend with Arab girl .Huko Arusha na Kilimanjaro hamnaga Waarabu kabisa na kama wapo huwezi kuwaona kabisa mitaani wako wachache sana sana na hawatoki kabisa .Sijui hata shule wanaenda saa ngapi .Je Waarabu wa Tabora wanakunywa pombe ,
We unaishi huko Tabora?Nahitaji mrembo wa kutoka Tabora
Kwangu pesa na nguvu za kiume sio tatizo
Akiwepo hata hapa aniPM tusipoteze muda.
Hahaha mkuu umenivunja mbavuu eti "eti kulima kwanza arabu badayee"Wanakunywa paka pombe za kienyeji, mkuu pita kijiji kinaitwa bukene huko utawakuta wakumwaga wamebeba majembe wanaenda kulima. Wana kauli zao utawasikia " kulima kwanzaah uarabu badae".
AhahahahhahahahWanakunywa paka pombe za kienyeji, mkuu pita kijiji kinaitwa bukene huko utawakuta wakumwaga wamebeba majembe wanaenda kulima. Wana kauli zao utawasikia " kulima kwanzaah uarabu badae".
Wanapuliza sana?Tabora nenda kwa akili sana, kule ni tofauti na Arusha au Kilimanjaro au Dar kwamba unatongoza demu ukimaliza haja zako unasepa, kule hamna hiyo utajikuta umeoa hivi hivi na utarudi nae Kilimanjaro bila kupenda! Ila kama bado una moyo na watoto wa kiarabu wa kule basi ukifika piga misele maeneo ya Kanyenye, Rufita na Bachu kuna waarabu wengi sana wenye maisha ya kiswahili kabisaa tena maisha magumu kama wabongo, hapo utapata mkee sio demu,
Lazma utaoa kijana kule ni mwendo wa mafundi wa Elimu isiyoonekana
Nadhani umenielewa
Hapana, hata kufika tu sijawahi... ila ninatamani sana kufika huko na kupata hata mchumba ikiwezekana.We unaishi huko Tabora?
Umesahau Belmont, ipo cheyo, ila what's app sio sana ki hivyoSasa hv mkuu hzo Frankman, club zero na 101 zishakuwa za zamani, kuna sehemu mpya kama Oxygen, Shimoni, Whatsapp club ambapo watoto wa uhazili wote wanakimbilia huko sasa hivi, tatizo wanapenda kuroga
Hayaa utampataaHapana, hata kufika tu sijawahi... ila ninatamani sana kufika huko na kupata hata mchumba ikiwezekana.
Nitampataje sasa?Hayaa utampataa