Warembo wa kiarabu wa Tabora

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,111
2,778
Nina safari ya kwenda Tabora mwezi wa 3 kwa ajili ya biashara. Natokea mkoa wa Kilimanjaro, si unajua Kilimanjaro hamna mademu wa kiarabu au wabushiri. Nikiwa Tabora nina mpango wa kutafuta kimwana wa kiarabu, mwenye connection please let's me know please.

Na sijawahi kufika Tabora kukoje. Je ni Kama Arusha au Kilimanjaro or Morogoro or Dodoma? Natumaini kupata msaada from you guys. Yaani kinachonimaliza kwa hawa Waarabu ni zile nywele zao za miguuni na nywele ndefu za kichwani halafu na ule weupe ambao haujapata Jua kali kwa ajili ya kufunikwa na zile nguo zao nyeusi akifungua tu hilo paja jeupee.

Kama Waarabu wa Tabora wanakunywa alcohol niongezee budget yangu ya 250,000 to 300,000 hiyo ni kwa ajili ya kunywa na kula tu for two weeks. Ndio maana nilikuwa naulizia If Arab chicks drink some wine or hard liquor.
 
Tabora nenda kwa akili sana, kule ni tofauti na Arusha au Kilimanjaro au Dar kwamba unatongoza demu ukimaliza haja zako unasepa, kule hamna hiyo utajikuta umeoa hivi hivi na utarudi nae Kilimanjaro bila kupenda! Ila kama bado una moyo na watoto wa kiarabu wa kule basi ukifika piga misele maeneo ya Kanyenye, Rufita na Bachu kuna waarabu wengi sana wenye maisha ya kiswahili kabisaa tena maisha magumu kama wabongo, hapo utapata mkee sio demu,

Lazma utaoa kijana kule ni mwendo wa mafundi wa Elimu isiyoonekana

Nadhani umenielewa
 
Aisee twende Tabora deby
 
Tabora kuna watoto wakali acha nlikua huko 2013 kikazi kwa miezi 5 nli enjoy sana hasa viwanja vya freckman, Ziro, na Mziki wa 101 uhazili nlikula raha kuliko Jijini
Sasa hivi mkuu hizo Frankman, club zero na 101 zishakuwa za zamani, kuna sehemu mpya kama Oxygen, Shimoni, Whatsapp club ambapo watoto wa uhazili wote wanakimbilia huko sasa hivi, tatizo wanapenda kuroga
 
How's is going my buddy .Nina safari ya kwenda Tabora mwezi wa 3 kwa ajili ya biashara .Natokea mkoa wa Kilimanjaro si unajua Kilimanjaro hamna mademu wa kiarabu au wabushiri ,Nikiwa Tabora Nina mpango wa kutafuta kimwana wa kiarabu mwenyewe connection please let's me know please. Na sijawahi kufika Tabora kukoje .ni Kama Arusha au Kilimanjaro or Morogoro .Dodoma ,Natumaini kupata misaada from you guys
You have to find by yourself, don't wait for someone to bring or arrange for you
 
Back
Top Bottom