Unaweza ambiwa jina na wewe hamuendani, toa hiyo Gent weka mchimba chumvi.
Ila inshu za kufunguliana thredi siyo kabisa, Yaani unapanga kabisa kesho nafungua thredi special kwa... dah!
Halafu huyu bibie akikataa tusionane, mtoa mada utakuwa umechangia 99%