Nimekutafuta kaka ila kwa vile nimekuona kila kitu kitaenda sawa
Hao ni miss chagga ntu fulani hivii....
Huyo ntu ni miss neddy walikuwa wanagombea umiss. Nani miss na nani siye miss!
Hebu mshana jr tupe mrejesho nani anafaa kuwa miss?
dah mkuu utafiti sio afya kabisa aise usipotee hivyo banaNi aibu kwangu mkuu, kwanini sionekani ila nipo......
Huyo ntu ni miss neddy walikuwa wanagombea umiss. Nani miss na nani siye miss!
Hebu mshana jr tupe mrejesho nani anafaa kuwa miss?