Warembo wa JF wakisuluhishwa

Warembo wa JF wakisuluhishwa

Last edited by a moderator:
Do you mean 'why did you get old?
Why-Did-I-Get-Married-Poster-.jpg
Unaikumbuka hii?
 
Mkuu, naomba unipatie namba ya huyo wa kulia aliyevaa khaki...huyo wa kitambi aliyevaa sketi nyekundu nakuachia mwenyewe.

Hahahahaaaa kumbe wewe ni mpenzi wa viatu kwa kimombo vishoes..!!!
 
Umero wa bia za ofa na michemsho ya bar kaka



So sad...yaani unaweza kukuta mwanamke bomba kakaa sehemu na tabasamu poa kabisa, unamsogelea kumsalimu. Kosa asimame bwana, yaani dushelele lote linashikwa na ganzi.
 
So sad...yaani unaweza kukuta mwanamke bomba kakaa sehemu na tabasamu poa kabisa, unamsogelea kumsalimu. Kosa asimame bwana, yaani dushelele lote linashikwa na ganzi.

Siku hizi ni ngumu kutofautisha vitambi na mimba
 
Mimi nipo mkuu sema majukumu yamebana sana mzima lakini kamanda!
Naona unaamulia ugomvi!!!vipi ulicheza rafu nini mkuu

Mkuu Kibo10 pambana mkuu ndio wakati wake aise
hapo miss chagga alikutana na Dena Amsi sasa si unajua miss chagga anaiba so nilikuwa naamulia ugomvi wao mkuu

bysange yupo anazidi kusongesha na kitambi kimeongezeka naona kuna mahali mkondo wa shekeli umegeukia kwakwe hawa wengine hawa mmh, mmoja haishi kesi na vidosho wa humu! Simtaji, Kibo10 na kabanga itabidi tujue walipo manake mapango ni mengi siku hizi
Mkuu mshana jr mwambie bysange kitambi sio issue aise asije akashindwa yale mambo yetu aise
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom