Warembo wa JF photos

Huyo mrembo mwingine wa kwanza kushoto amevaa suruali ya blue na shati nyeupe, kiatu cheusi, mbona kajitenga pembeni kwa warembo wenzake?
 
Huyo mrembo mwingine wa kwanza kushoto amevaa suruali ya blue na shati nyeupe, kiatu cheusi, mbona kajitenga pembeni kwa warembo wenzake?
Mkuu yeye jinsi nyingine, bila shaka umefanya maskhara tu
 
mshana jr huyo wa pili kutoka kushoto mbona kama namfahamu..umeiiba wapi hii?
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha kumbe wengine mama zetu dahhh nishasikia aibu mpaka kuandika Hamna type yangu kabisaaa
Sorry ka imekutauch
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ