GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,599
- 127,966
- Thread starter
- #21
Mkuu utalisamehe vipi jiwe na lielewe kuwa limesamehewa?
Sky Eclat tusahauni yaliyopita Dada yangu na sasa kila Mtanzania aimbe mshikamano, umoja na tusameheane rasmi kwa makosa yetu yote kwani nina amini kila upande una makosa yake hivyo tukikubaliana kuyamaliza na kuanza upya tutakuwa na Tanzania nzuri na yenye Demokrasia njema na pengine ya mfano si tu kwa Afrika bali hata duniani.