Waraka wangu maalum kwa Watanzania wote

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
4,361
2,000
Ikiwa ugumu wa moyo wa Farao, .... uliliangamiza taifa.
Tanzania haipo mbali.
Hofu imejaa hata 'mtukufu' akivaa vibaya tunaogopa kusema.
Swali: Je nani aongoze upatanisho (Magufuli, Mbowe, Lipumba, viongozi wa dini, Polisi ....)??
Ee Mungu uturehemu na watesi.
 
Domhome

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
2,892
2,000
Hata Uhuru Kenyatta alianza Kwanza Kuiga za Kristo. Labda unataka kutuaminisha kwamba Uhuru Kenyatta ni zaidi ya Yesu Kristo wa Nazareth.
Hapana Mkuu,
Maana Yangu ni kuwa asipoweza IGA madogo ya Jirani amuonaye itakuwa ngumu IGA ya Kristo...
 
alexis jr

JF-Expert Member
Sep 28, 2014
390
500
ANGALIZO

Waraka huu nautoa kama GENTAMYCINE na siyo GENTAMYCINE mwana CCM au Mpinzani na Mtani Mkuu wa CHADEMA ( anavyojulikana na wengi humu ) na nautoa huku nikimtanguliza Kwanza Mwenyezi Mungu mbele, Unafiki pembeni na nikiiweka Mama Tanzania mbele yangu ili tuendelee kuifurahia Tanzania yetu.

 1. Nawaomba Wanasiasa wa Tanzania wasameheane upesi kama siyo haraka sana
 2. Nawaomba Wanasiasa wa Tanzania wakatubu yale yote mabaya waliyosababisha
 3. Nawaomba Wanasiasa wa Tanzania waache chuki ambazo naona zinatupeleka kubaya
 4. Nawaomba wana CCM muonyeshe mfano wa Siasa bora na zenye Utu pamoja na Upendo
 5. Nawaomba wana CHADEMA muonyeshe Uungwana na Ukomavu wenu wa Kidemokrasia
 6. Naviomba Vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama Tanzania vitende haki
 7. Nawaomba Wanasiasa wote mfutane makovu ya Hasira na Vinyongo
 8. Nawaomba Viongozi wote Wastaafu waingilie kati afya ya wasiwasi ya Kidemokrasia nchini
 9. Naviomba Vyombo vyote vya Habari nchini vidumishe Upendo na Amani daima
 10. Namwomba Rais Dr. Magufuli aige busara na hekima za Yesu Kristo / Mtume Mohammed
 11. Naomba Watanzania wote tusali sana, tupendane na tugange yajayo kwa matendo mema
Moyo wangu una wasiwasi sana kwa jinsi hali ya Kisiasa ilivyo sasa Tanzania. Haiwezekani kila siku ni kukamata kamata tu, kujibizana vibaya, kutishana, Kukomoana, Kuviziana pasipo sababu wakati wote Sisi ni Watanzania wale wale ambao tunahitajiana Kimaisha pengine hata kuliko hizi Siasa zetu za ' Maji Taka ' ambazo hazina ' Tija ' sana kwa Maendeleo tunayoyakusudia. Mungu tusaidie huku ukitufanya tuchukuliane, tuvumiliane na tudumishe umoja wetu wa Kitaifa tulioachiwa na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na Abeid Aman Karume!

Nawasilisha.
Ni bahati mbaya tu baadhi watahisi upo upande fulani. Ila tuseme mambo ya hovyo yanayoendelea
 
Ngetsi

Senior Member
Dec 28, 2017
147
250

Haya maneno ni ya hekima na yanaweza kutolewa na watu waliojaliwa busara. Big up GENTAMYCINE. Ningetamani sana kuona viongozi wetu wa kisiasa wakitekeleza hivyo kwa maslahi mapana ya Taifa letu.
 
Mdumange

JF-Expert Member
Apr 27, 2009
717
1,000
ANGALIZO

Waraka huu nautoa kama GENTAMYCINE na siyo GENTAMYCINE mwana CCM au Mpinzani na Mtani Mkuu wa CHADEMA ( anavyojulikana na wengi humu ) na nautoa huku nikimtanguliza Kwanza Mwenyezi Mungu mbele, Unafiki pembeni na nikiiweka Mama Tanzania mbele yangu ili tuendelee kuifurahia Tanzania yetu.

 1. Nawaomba Wanasiasa wa Tanzania wasameheane upesi kama siyo haraka sana
 2. Nawaomba Wanasiasa wa Tanzania wakatubu yale yote mabaya waliyosababisha
 3. Nawaomba Wanasiasa wa Tanzania waache chuki ambazo naona zinatupeleka kubaya
 4. Nawaomba wana CCM muonyeshe mfano wa Siasa bora na zenye Utu pamoja na Upendo
 5. Nawaomba wana CHADEMA muonyeshe Uungwana na Ukomavu wenu wa Kidemokrasia
 6. Naviomba Vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama Tanzania vitende haki
 7. Nawaomba Wanasiasa wote mfutane makovu ya Hasira na Vinyongo
 8. Nawaomba Viongozi wote Wastaafu waingilie kati afya ya wasiwasi ya Kidemokrasia nchini
 9. Naviomba Vyombo vyote vya Habari nchini vidumishe Upendo na Amani daima
 10. Namwomba Rais Dr. Magufuli aige busara na hekima za Yesu Kristo / Mtume Mohammed
 11. Naomba Watanzania wote tusali sana, tupendane na tugange yajayo kwa matendo mema
Moyo wangu una wasiwasi sana kwa jinsi hali ya Kisiasa ilivyo sasa Tanzania. Haiwezekani kila siku ni kukamata kamata tu, kujibizana vibaya, kutishana, Kukomoana, Kuviziana pasipo sababu wakati wote Sisi ni Watanzania wale wale ambao tunahitajiana Kimaisha pengine hata kuliko hizi Siasa zetu za ' Maji Taka ' ambazo hazina ' Tija ' sana kwa Maendeleo tunayoyakusudia. Mungu tusaidie huku ukitufanya tuchukuliane, tuvumiliane na tudumishe umoja wetu wa Kitaifa tulioachiwa na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na Abeid Aman Karume!

Nawasilisha.
Duuh waraka wako mkuu umekaa vizuri kuliko hata wa maaskofu; kweli wewe ni jeshi la mtu mmoja. Bravo!!
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
12,867

wengine wote hao unawaonea tu.... shida yote ipo hapo kwenye 10!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom