Waraka wangu kwa JWTZ, Watanzania

Waraka wangu kwa JWTZ, Watanzania

@Manyerere Jackton nenda na wewe ukafe kishujaa! mnaniboa sana wabongo mnavyochochea huu ugomvi! ndugu zetu wanakufa, eti mnasema wamekufa kishujaa, kishujaa? "kishujaa my ass" kwanini na wewe usiende ukafe kishujaa!

Mshauri baba yako Kagame awatudishe hao ndugu zako.
 
Ushauri wake ulikosa maana pale alipotaka kuitumia fulsa hiyo kimataifa apate umaarufu, kagame ni jirani yake ilimshinda kitugani mh kikwete kumtembelea pale Kigali, au kumpigia simu, au kummualika hapa Dar es salaam waongee kwa upole na maarifa wakiwa wawili? Kilichofanyika ni unafika wala haukuwa ushauri wa heri.

Ukigombana na jirani, au ukiona jirani yako anamatatizo makubwa, huwezi kusubiri jukwaa la siasa kimataifa eti ndo umpe ushauri, huo ni utapeli na haikubaliki kabisa.
Sifa ya KWELI ni kitu wazi,sifa ya UOVU ni giza kwa kujifichaficha,kweli usemwa popote kwa sababu sifa yake ni Upendo,hakuna anaesema kweli ili apate sifa kama Pk anaupendo hata kwa maadui angepokea ile hoja then angejibu kiungwana ila kwa sababu roho yake imejaa damu za watu hawezi kubali KWELI
 
Mkuu, mbona haujamtaja RUTAJUMBUKURWA? Kajivika jina la kihaya ili kuuficha ukweli ya kuwa yeye ni mnyarwanda!

Hii kampeni ya kuwapa ukimbizi watanzania wenye kuipinga vita na mtazamo wa mh kikwete mnaipa wapi jeuri, nyinyi mnajifanya watanzania ndiyo wale wa magogoni akina Rama ighondu na kundi lake.

Sasa hivi mnajivisha utukufu eti nyinyi wazalendo ovyo kabisa wazalendogani mnashabikia upuuzi kutupotosha watanzania tusijadi

-madawa na wauza madawa ya kulevya, athali kwa watanzania na jinsi yanavyoliteketeza taifa
-Kakashifa za ufisadi, na mafisadi wanavyoliibia taifa nakufanya watanzania kukosa matibabu na elimu bora
-mauwaji ya matanzania na utesesaji, makanisa kuchomwa moto, mashehe kumwagiwa tindikali nk

Nyinyi mnaojifanya wazalendo kushabikia ujinga huu mnaajenda mbaya sana kwa watanzania na Taifa la Tanzania nahapa sio bure CCM na mh kikwete wamewatuma kutupoteza watanzania
 
Watu mbona mmekomalia vita? kwani kagame alisema ataishambulia tz au umesikia kwamba wamerundika majeshi mpakani kama vile tz ilivyofanya,hebu acheni kushabikia vita.
Embu weka ushahidi hapa tumepeleka troops mpakani,mwambie uyo ndugu yako tutsi Pk jwtz DRC ipo na itaendelea kuwepo sasa yeye akirusha makombora DRC akaua hao wanajeshi basi Kigali tutaifukua upya,tutampa inter continental ballistic missile mbili tu Kigali tunaizika..
 
huoni Kenyatta ana take advantage ya matatizo yetu kujinufaisha? Wakati tunapiga kelele za empire, kupeleka majeshi kuwasaidi wacheza ndombolo, Kenyatta anazindua bandari na kuweka mpango wa kuhakikisha inatumiwa. We upo tu kwenye Hima empire.

Aisee...kumbe siye tunawasaidia wacheza ndombolo? siyo binadamu hawa lakini?
So kwakuwa wanacheza ndombolo hawatakiwi kusaidiwa?
Kenyata kule somalia anafanya nini?
LoL...Masikini "mhaya" mjinga.

Pamoja na kuwa mtu ninayemwami Mungu sana, na Mungu si wa vita, lkn siku ikitangazwa kwenda kumrekebisha kagame, ntaenda tu. Tumemtunzia (inyenzi) zake, anaamua kutuchukilia poa, anatuona mazuzu. Cjafurahishwa na Kikwete kuomba suluhu, dawa ilikuwa moja, kumchunia na kutobishana naye tu ili kama àtachokoza tukampe doz. Kambi ya kagera inamtosha kumwadabisha, ikipungukiwa nguvu ya kigoma ipo kabla ya kuchukua ya mwanza, msoma, tbr. Dodoma hatufiki
 
Sifa ya KWELI ni kitu wazi,sifa ya UOVU ni giza kwa kujifichaficha,kweli usemwa popote kwa sababu sifa yake ni Upendo,hakuna anaesema kweli ili apate sifa kama Pk anaupendo hata kwa maadui angepokea ile hoja then angejibu kiungwana ila kwa sababu roho yake imejaa damu za watu hawezi kubali KWELI

Kaka ujasiri wa hm kikwete kusubiri jukwaa la kimataifa ndipo amshauli jirani yake nikitendo cha kuhujumiana kiutawala. Inaudhi sana unapokuwa na rafiki yako kila siku yupo kimya anavizia penye hadhara na vyombo vya habali kukuzodoa iliyeye ajiwekee kumbukumbu nzuri ya kuusaka umaarufu kinafiki-Elewa hivy kama hutaki shauli yako kwanini asimshauli kikubwa wakiwa wawili?
 
Hizi ni njaa zinawasumbuwa nyinyi, haiwezekani mtanzania na akili zake timamu aache shida zake kwake nyumbani akomalie matatizo katika nyumba ya jirani yake.

Nyinyi mnaoshabikia upuuzi huu na kutotowa watanzia nje ya mambo muhimu tusijadili haki zetu ninamashaka na uwezo wa akili zenu. Acheni kutupotosha watanzania turudi kuyatazama mauzauza ya shida zetu
Tanzania ipo na itaendelea kuwepo,shida zako za msingi unazosubiri serekali ukuchimbie choo utasubiri sana,linapokuja swala utaifa naweka asira zangu pembeni na chama tawala naangalia utaifa bhana..
 
Manyerere anazungumzia Dola ya Bahima wakati hajui hata hilo kabila ni akina nani!

Masikini mwandishi mjinga. Hajui kuwa propagandists wa hii dola walikuwa wanamwingiza hata Baba wa Taifa Nyerere kuwa yeye ndo kinara anaowatumia vijana wake Museveni na Kagame, sasa na wewe unadandia treni usiojua inakokwenda.

Sipendi kuona mwandishi makini anaandika upuuzi, sipendi kabisa. Nilidhani upuuzi unaandikwa na akina Mtikila au wanaotoa comment humu ambao ni watu tu wa kawaida, hata Manyerere? aliyelelewa na kula nafaka kwa Nyerere? Jamani, uandishi Tanzania unaelekea kubaya.

Manyerere ingia google, tafuta Tutsi, then Hima, then Bairu, then Hutu... then utajua tofauti. Kuhusu vita kuhitimishwa Kigali, nadhani Manyerere amevurugikiwa akiri. Vita Enzi hizi ambazo watu wanaangalia uchumi na kushirikiana?

Ona sasa unazungumzia kuingia EAC ikiwa ni mkakati wa Himaya, huoni Kenyatta ana take advantage ya matatizo yetu kujinufaisha? Wakati tunapiga kelele za empire, kupeleka majeshi kuwasaidi wacheza ndombolo, Kenyatta anazindua bandari na kuweka mpango wa kuhakikisha inatumiwa. We upo tu kwenye Hima empire.

Na hujui kuwa ili upigane vita Enzi hizi lazima ui-convice UN, Marekani, etc. Hujui kuwa Congo iko vile kwasababu kuna dola dhaifu, na kuna utamaduni wa uasi tangu Enzi za Mobutu? Sasa unaleta hadithi za Hima empire hapa, kweli nimekudharau, you are an empty basket.
Hii nayo ni propaganga! Kama congo ni dhaifu kwa hivyo ivamiwe toka kigali? Yaani katika wakongomani milioni 75 ni wabanyamulenge tu ndio wanajua namna gani congo inatakiwa kuongozwa? Kwa wabanyamulenge na ndugu zao watutsi viongozi kinshasa ni mafala hawajui kitu. Wakongomani waliomchagua Kabila bila shaka na wao ni mafala?! Kagame na jamaa zake ni wapenda madaraka na watu hatari. Wanajikita kujidai ni viongozi bora wa uchumi huku wanaendeleza udikteta wa kimbari jambo lisiloendana na uwepo wa amani.
 
Hii kampeni ya kuwapa ukimbizi watanzania wenye kuipinga vita na mtazamo wa mh kikwete mnaipa wapi jeuri, nyinyi mnajifanya watanzania ndiyo wale wa magogoni akina Rama ighondu na kundi lake.

Sasa hivi mnajivisha utukufu eti nyinyi wazalendo ovyo kabisa wazalendogani mnashabikia upuuzi kutupotosha watanzania tusijadi

-madawa na wauza madawa ya kulevya, athali kwa watanzania na jinsi yanavyoliteketeza taifa
-Kakashifa za ufisadi, na mafisadi wanavyoliibia taifa nakufanya watanzania kukosa matibabu na elimu bora
-mauwaji ya matanzania na utesesaji, makanisa kuchomwa moto, mashehe kumwagiwa tindikali nk

Nyinyi mnaojifanya wazalendo kushabikia ujinga huu mnaajenda mbaya sana kwa watanzania na Taifa la Tanzania nahapa sio bure CCM na mh kikwete wamewatuma kutupoteza watanzania
Hata wewe haujarudi Nyagatare? Mbona mnapapenda sana Tanzania? Rudini kwenu mkaijenge Rwanda yenu! Mtaishi ukimbizini hadi lini? Mwenda kwao si mtoro!
 
Aisee...kumbe siye tunawasaidia wacheza ndombolo? siyo binadamu hawa lakini?
So kwakuwa wanacheza ndombolo hawatakiwi kusaidiwa?
Kenyata kule somalia anafanya nini?
LoL...Masikini "mhaya" mjinga.

Mifano mingine haingii hata akilini, kenyata kashambuliwa sana na wasomali amekwenda somalia kwaababu ya uhuni wa wasomali.

Tuambie sisi watanzania tumeshambuliwa marangapi hata tuende vitani? jiulizeni kwanza enyi wazalendo feki ambao kutwa kucha kuwavika watanzania wenzenu utusi kwa propaganda chafu za ccm na magogoni.
 
Unaifaham vita wewe? hebu toa sababu za msingi kulifanya taifa kuingia vitan? yaani nyie wachumia tumbo manatuaibisha kweli watanzania tunafikiri very low! wakati wenzetu wanajipanga kiuchumi sisi tunashupalia upuuzi.

Tunamatatizo chungu nzima hapa Tanzania kwa kutumiwa na serikali mmekuwa mazuzu kushabikia vita utazani ni soda mnazifahamu gharama za vita nyie?.

huwezi kujibu kwa ustaarabu , bila kejeli, bila kujihami sana ili na wengine wasidharau post yako? vita na rwanda haitakwepeka hata kama tutalala na njaa, ni lazima kagame aondoshwe madarakanai!
 
Kaka ujasiri wa hm kikwete kusubiri jukwaa la kimataifa ndipo amshauli jirani yake nikitendo cha kuhujumiana kiutawala. Inaudhi sana unapokuwa na rafiki yako kila siku yupo kimya anavizia penye hadhara na vyombo vya habali kukuzodoa iliyeye ajiwekee kumbukumbu nzuri ya kuusaka umaarufu kinafiki-Elewa hivy kama hutaki shauli yako kwanini asimshauli kikubwa wakiwa wawili?

peleka utusi wako huko! mpuuzi mkubwa wewe!
 
Kwani Nyerere ni nani??huyo ndo alietuletea majanga kuwajaza watutsi kwenye system ya Tz na kuwasomesha kwa wingi kwa kutumia pesa za kodi zetu wavuja jasho na sasa wamerejea kwenda kumsupport PK....J.Manyerere uko right huu muziki munene the last stop iwe kigali ndo kitaeleweka hawa wote wanaokunanga usikute ndo yale makabila ya mipakani huku tunawaita wahangaza but ndo watutsi hao hao....watu wa dezaini kama yangu hatupatagi uongozi ningewavurumisha wote waondoke huko karagwe na ngara....warudi kwao asap!!!!Hata kama wawe wamekaa miaka 60 hapo karagwe au ngara...wangeondoka tu wakabanane huko kwao.

Simpendi Kikwete, lakini ukiniuliza sababu ya kutompenda sina. Nafikiri ni hulka ya watanzania ya kutoona mazuri ya mtu flani wakati yuko active, yaani JK akistaafu ndo tutajua mazuri yake.. Ila taratiiiibu naelekea kumkubali JK kwa msimamo wake wa kutompenda Nyerere. Kikwete anajua mengi, na haya yote yanayotokea sasa yaliandaliwa kwa mda mrefu kwa uasaidizi wa Nyerere. Manyerere unalitambua hilo coz wewe ni sehemu ya familia ya Baba wa Taifa.. Namkubali Mwalimu but somehow something was wrong somewhere.. yeye ndo alowafuga hawa paka kwa kodi zetu,NA Ona sasa shukrani zao. It seems like walikuwa na Agenda sawa na Mwalimu.. Plz JK, safisha hawa wapumbavu. Tunataka nchi ya heshima. Siyo nchi ya mamluki.SORRY TATA MANYERERE kama nitakuwa nimekukwaza. MUNGU IBARIKI TZ.
 
Kaka ujasiri wa hm kikwete kusubiri jukwaa la kimataifa ndipo amshauli jirani yake nikitendo cha kuhujumiana kiutawala. Inaudhi sana unapokuwa na rafiki yako kila siku yupo kimya anavizia penye hadhara na vyombo vya habali kukuzodoa iliyeye ajiwekee kumbukumbu nzuri ya kuusaka umaarufu kinafiki-Elewa hivy kama hutaki shauli yako kwanini asimshauli kikubwa wakiwa wawili?
Hata kwa Mungu ukweli haulezwi gizani,angekuwa kamsimanga hapo kosa lakini kama ni rafiki wa kweli atatambua upendo wa rafiki yake(JK).,hakuna siri hapa kwani mkewe..
 
Pamoja na kuwa mtu ninayemwami Mungu sana, na Mungu si wa vita, lkn siku ikitangazwa kwenda kumrekebisha kagame, ntaenda tu. Tumemtunzia (inyenzi) zake, anaamua kutuchukilia poa, anatuona mazuzu. Cjafurahishwa na Kikwete kuomba suluhu, dawa ilikuwa moja, kumchunia na kutobishana naye tu ili kama àtachokoza tukampe doz. Kambi ya kagera inamtosha kumwadabisha, ikipungukiwa nguvu ya kigoma ipo kabla ya kuchukua ya mwanza, msoma, tbr. Dodoma hatufiki

jidanganye, vita haina macho wewe! Namibia, Angola, Congo na Zimbabwe wamechemsha. Mi sitaki vita. Kikwete aache unafiki kwa wazungu kupeleka umbea
 
Manyerere anazungumzia Dola ya Bahima wakati hajui hata hilo kabila ni akina nani!

Masikini mwandishi mjinga. Hajui kuwa propagandists wa hii dola walikuwa wanamwingiza hata Baba wa Taifa Nyerere kuwa yeye ndo kinara anaowatumia vijana wake Museveni na Kagame, sasa na wewe unadandia treni usiojua inakokwenda.

Sipendi kuona mwandishi makini anaandika upuuzi, sipendi kabisa. Nilidhani upuuzi unaandikwa na akina Mtikila au wanaotoa comment humu ambao ni watu tu wa kawaida, hata Manyerere? aliyelelewa na kula nafaka kwa Nyerere? Jamani, uandishi Tanzania unaelekea kubaya.

Manyerere ingia google, tafuta Tutsi, then Hima, then Bairu, then Hutu... then utajua tofauti. Kuhusu vita kuhitimishwa Kigali, nadhani Manyerere amevurugikiwa akiri. Vita Enzi hizi ambazo watu wanaangalia uchumi na kushirikiana?

Ona sasa unazungumzia kuingia EAC ikiwa ni mkakati wa Himaya, huoni Kenyatta ana take advantage ya matatizo yetu kujinufaisha? Wakati tunapiga kelele za empire, kupeleka majeshi kuwasaidi wacheza ndombolo, Kenyatta anazindua bandari na kuweka mpango wa kuhakikisha inatumiwa. We upo tu kwenye Hima empire.

Na hujui kuwa ili upigane vita Enzi hizi lazima ui-convice UN, Marekani, etc. Hujui kuwa Congo iko vile kwasababu kuna dola dhaifu, na kuna utamaduni wa uasi tangu Enzi za Mobutu? Sasa unaleta hadithi za Hima empire hapa, kweli nimekudharau, you are an empty basket.

Wanyaruanda mnataka pakola vichwa maji wakubwa
 
Hata wewe haujarudi Nyagatare? Mbona mnapapenda sana Tanzania? Rudini kwenu mkaijenge Rwanda yenu! Mtaishi ukimbizini hadi lini? Mwenda kwao si mtoro!

Upuuzi wa kutupotosha tusihoji, hamna hoja yoyote kutushawishi kupigana. hakuna sababu za msingi nanyinyi mnafahamu ila kwasababu asilimia kubwa sisi watanzania wafuata upepo, sasa mmegeuza huu upuuzi wa vita ya kisanii kutusahaulisha shida zetu.

Kama wewe mtanzania zaid yangu unauzalendogani kushabikia vita ya kufikirika wala usipiganie haki za walimu iliwatoto wetu wapate elimu bora

Kama wewe ni mtanzania zaid yangu unauzalendogani kushabikia vita ya unafiki wala usiwapiganie watanzania Kupata haki ya matibabu bora wanakufa ovyo tena si magonjwa yakutisha ni maralia, kuharisha na utapia mlo.

Kama wewe ni mtanzania zaidi yangu unauzalendogani kushabikia vita huku vijana wataifa la kesho wanamalizwa na madawa ya kulevya wala hili haliwashitui nyinyi wazalendo wa kubumba, mnatetea taifa gani vijana wanaangamia?

CCm na Ikulu imejipanga kutumia upuuzi huu na baadhi ya vijana hapa jukwaani kutupoteza tuache harakati za kuitafakali, kuijadili na kuihoji serikali kushindwa kutoa huduma za msingi kwa jamii na kushindwa kuwakamata mabosi wa dawa za kulevya, mikataba feki, usafirishaji nje wanyama wetu, biashara ya pembe za ndovu nk
 
Jackton ndugu yangu usiamini hizo propaganda za FAR/interahamwe remnants and sympathizers. That Ba-Hima empire story is a myth. For anyone to think that Kagame and Museveni would conjure up an impractical plan like that is simply absurd. The situation in eastern Congo is very complex and cannot be explained by an alleged Tutsi conspiracy theories (reminiscent of what Nazis and European and American anti-sémites professed and still do of Jews today).
By the way, do you know there are about 20 rebel groups in Eastern DRC, most of which aren't related to Tutsis or Rwanda? Why do you think these other groups get no airplay? Dig a little deeper my brother and you'll see what I'm talking about. I'm not condoning Pres Kagame's stance but I understand...
 
Hii kampeni ya kuwapa ukimbizi watanzania wenye kuipinga vita na mtazamo wa mh kikwete mnaipa wapi jeuri, nyinyi mnajifanya watanzania ndiyo wale wa magogoni akina Rama ighondu na kundi lake.

Sasa hivi mnajivisha utukufu eti nyinyi wazalendo ovyo kabisa wazalendogani mnashabikia upuuzi kutupotosha watanzania tusijadi

-madawa na wauza madawa ya kulevya, athali kwa watanzania na jinsi yanavyoliteketeza taifa
-Kakashifa za ufisadi, na mafisadi wanavyoliibia taifa nakufanya watanzania kukosa matibabu na elimu bora
-mauwaji ya matanzania na utesesaji, makanisa kuchomwa moto, mashehe kumwagiwa tindikali nk

Nyinyi mnaojifanya wazalendo kushabikia ujinga huu mnaajenda mbaya sana kwa watanzania na Taifa la Tanzania nahapa sio bure CCM na mh kikwete wamewatuma kutupoteza watanzania
Hapa hakuna habari ya ccm wala cdm, hapa ni u Tanzania! Yaeleke hata mkeo akishikwa makalio utacheka kisa una matatizo mengi nyumbani.
 
Back
Top Bottom