Sipo
JF-Expert Member
- Jul 25, 2008
- 2,139
- 91
Kwanini hugawanywe kwa Waislamu peke yao kwani Tanzania kwenye ucahguzi mkuu tunachagua kiongozi wa Waislamu pekee au wa Watanzania wote ambao ni wa dini mchanganyiko. Mbona waraka wa Wakatoliki wenyewe hausambazwi kwa Wakatoliki pekee au Wakristo pekee?
Watanzania tuangalie kuna watu wanajifanya wana uchungu na dini zao kuliko watu wengiine tukiwaacha hawa watu watatuingiza kwenye moto na hii nchi haitakalika, malumbano ya kidini ni mabaya sana kwenye nchi kama Tanzania ambayo ina dini nyingi na zenye nguvu tofauti tofauti