Waraka wa Pili wa Pascal Mayalla.Maisha Binafsi.

Status
Not open for further replies.
Kuzushiwa jambo ni suala la kawaida. Nadhani hata huyo Mataka atatakiwa akanushe taarifa hizi. Hata hivyo inauma sana kuzushiwa jambo ambalo hata wewe binafsi hulijui achilia mbali kuhusika nalo. Pole sana Kaka PASKALI
 
Ni kazi "kuwaridhisha" intellectually challenged fools kama wewe. Umeshawahi kusikia misemo kama "Burden of proof is on the believer", "Innocent till proven guilty" etc, maana ni wazi weledi wako ni mdogo.
Sawa mkubwa,u fool wangu ndio maana nashindwa kumuelewa Pascal.Hakuna tuhuma za hivi hivi yaani itokee tu uzushushiwe shoga.
 
Rudia kusoma vizuri ili uelewe. Waliozusha ni watu wa humu ambao sijawahi kukutana nao ana kwa ana. Sasa wewe kwa akili yako ya mjusi utaanzia wapi kunizushia mimi habari za ushoga wakati hatujuani zaidi ya hapa JF? Fikiria.

Mkuu pengine ni vile unavyoandika..........sometimes maandishi ni kama kauli....binafsi sijawahi muona MALARIA SUGU lakini kwa uandishi wake kamwe simpendi
 
Rudia kusoma vizuri ili uelewe. Waliozusha ni watu wa humu ambao sijawahi kukutana nao ana kwa ana. Sasa wewe kwa akili yako ya mjusi utaanzia wapi kunizushia mimi habari za ushoga wakati hatujuani zaidi ya hapa JF? Fikiria.

kashfa za ushoga unazipalilia kwa majibu yako!........angalia nilichoshauri na ulichoandika!
 
Mkuu Pascal pole sana, mm binafsi nakufahamu sana tumesoma darasa moja, ucheshi wako na hekima zako zimekufanya kuwa na marafiki wengi sana. Tuhuma kama hizi kwa wa TZ ndio fani yetu hata mambo muhimu kwenye serikali yetu yana kuwa reduced to scandals zisizo na tija. Tuna PHD za fitina na majungu, majungu tuuu. Sikuwahi kuisikia hio kashfa na nimeisoma leo hapa kwa mara ya kwanza na nimesikitika sana, sana.
 
Hujafa hujaumbika

Hivi kuna mwanaume anaweza kuhakisha kuwa hakuna scenario yeyote inayoweza kutokea akajikuta anakubali kutoa tigo yake ili kuokoa jahazi fulani ... teh teh teh .
  • Je mtu(mwanaume) akitoa tigo yake katika shinikioo fulani naye anaitwa shoga.

NB.
Simaanishi kuhalalisha kuwa mlengwa wa hii mada ( PM) alitoa tigo kwa shinikizo. Nataka kujua wale wanamtuhumu kama wao wanapimaje mambo.
 
Mkuu Pasco, pole kwa habari nzito kama hizi, sote tunajua mambo kama haya ya kusingiziwa yaweza kukusababishia matatizo kwenye jamii. Lakini ni vyema umeeeleza kwa kina ili yule anayekuhisi ajitokeze kuthibitisha mawazo yake. Mbali na kupiga wote shule huyu jamaa namfahamu mtaani pia , mara ya mwisho tumeonana kwenye msiba wa Brigedia Jenerali Sinda.
 
Jipime utakuwa na matatizo. Hakuna sehemu mwanamme alokatazwa kutumia neno kupenda. Anaefikiri mwanamme kutumia kupenda kunamfanya awe gay, lazima atakuwa na matatizo ya kisaikolojia.

Kabla ya kuhukumu ni vizuri ukasoma post zangu kwa mjumuiko na siyo post moja........sina tatizo na Nyani Ngabu ila nilikuwa naeleweshana nae juu ya maandiko ya mtu kurepresent personality yake........halafu tuliza hasira
 
Jipime utakuwa na matatizo. Hakuna sehemu mwanamme alokatazwa kutumia neno kupenda. Anaefikiri mwanamme kutumia kupenda kunamfanya awe gay, lazima atakuwa na matatizo ya kisaikolojia.

In psychology there is a concept called 'projection'. Projection is the act of imagining that someone else has the same ideas, feelings, etc., that you have. An example of this is when someone thinks everyone else is gay because they themselves are either gay or they harbor homoerotic fantasies.
 
I agree with you NN
 
namshukuru Mungu sana sikuwahi kusoma tuhuma za ushoga za Pascal, na namshukuru Mungu zaidi kwa jinsi Pascal alivyoweza kuji-compose kwenye issues very depressing and dehumanizing kama.... Ninamshukuru Mungu zaidi kwa kuweza kumpa pascal subira ya kuweza kujipanga na kuandika hii thread

Pole Pascal
Pole sana familia yako
na pole zaidi hao wanaoweza kueneza uzushi huu ilhali wanajua kwamba madhara yake ni makubwa sana

NACHUKUA NAFASI HII KULAANI UZUSHI... HAUNA TIJA
 
Kabla ya kuhukumu ni vizuri ukasoma post zangu kwa mjumuiko na siyo post moja........sina tatizo na Nyani Ngabu ila nilikuwa naeleweshana nae juu ya maandiko ya mtu kurepresent personality yake........halafu tuliza hasira

Kuna tatizo la kisaikolojia kwa yoyote anaemdhani mtu ni gay kwa namna anavyoandika tu. Kwa sababu at the end of the day si suala la maandishi ni namna ya unavyoyasoma na kuyachukulia.

Kwa maneno yangu umeamini nna hasira wakati kitu hicho hakipo bali wewe umesoma kihasira hasira labda. Na anaemdhani mtu gay kwa maandishi tu labda ni kwa vile anayasoma ki-gay gay.
 
Kabla ya kuhukumu ni vizuri ukasoma post zangu kwa mjumuiko na siyo post moja........sina tatizo na Nyani Ngabu ila nilikuwa naeleweshana nae juu ya maandiko ya mtu kurepresent personality yake........halafu tuliza hasira

Kwa hiyo maandiko yangu yanawakilisha haiba yangu ambayo ni ya kishoga? Duuuh kaazi kweli kweli. Wengine wanadai eti mimi mzee/ kibabu ambaye niko kwenye 50s....upper 50s. Mind you, wote nyie hamnijui na hamjawahi hata kuniona zaidi ya kuona na kusoma mabandiko yangu hapa. Kweli akili ni nywele.

Ndo maana si ajabu tuko na hali tuliyonayo kama taifa!
 
pole sana kaka pascal,mafanikiwa yanakuja na matatizo na majungu kama hayo ,vumulia kaka hii ndio dunia umeasidia wengi kujua ukweli nimejifunza mengi sana katika ujumbe wako ,mungu aendelee kuwa nawe daima
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom