Waraka wa mishahara ya walimu umetoka leo, majonzi yaendelea

Naomba nisieleweke vibaya kwa walim wenzangu,ila me nataka kuwaambia walim wenzangu kuwa,mshahara hauwez kututoa kama tufikiriavyo,lakin walim wa serikali tupo free sana,tutumien fursa hii kujiongezea vipato,Let say kwa wiki una vipind kwa siku 2,hizi siku nyingine wafanya nino OFISINI???
 
Mlitaka mpewe ngapi kwan?maana hata wahasibu nao wanalipwa hvo hvo kama nyie.
 
Msibweteke. Fursa zipo nyingi sana za kujiongezea kipato, eg kuuza visheti, maandazi, ukwaju, vitumbua n.k
 
b1 laki 304000,

c 432000

d 589000
na e 769000

hapa mgomo wa wlimu haukwepeki

dah! Sasa hapo ndio wanasema wameongeza nini? Kuna asilimia 2,ya chama cha wafanyakaz,13 ya income tax,10 ya pension,bado kama unamkopo nmb,barclays n.k. Piga hesabu huyo mtumishi atabaki na nn? Twendeni mtaani tu
 
umesahau bima ya afya
 
b1 laki 304000,

c 432000

d 589000
na e 769000

hapa mgomo wa wlimu haukwepeki

mkuu walimu hamuwezi andamana 1. ni waoga mithili ya kunguru (hebu refer kauli ya mkulu aliposema mtafutwa kaz) 2. trade union yenu ni kubwa mno ni ngumu kukaa pamoja. 2. asilimia 99.99999 walimu hawajui haki zao za msingi wanaona ile ajira wamepata kwa bahat mbaya. 3. kuna makundi matatu diploma degree na grade A ambao hawa ndio kabisaaaaa hawana fikra ya ukombozi. mgomo unashinikizwa na walimu wa degree na walimu wanaoishi mijini lakini kule vijijini hawana habar wanamwogopa mratibu kama nondo mla watu. 4. mnalipwa normal earning hii ni aina ya mshahara inayokuwezesha kuish cku kadhaa kukopa ili uifikie tena hiyo tarehe.
 
Naomba nisieleweke vibaya kwa walim wenzangu,ila me nataka kuwaambia walim wenzangu kuwa,mshahara hauwez kututoa kama tufikiriavyo,lakin walim wa serikali tupo free sana,tutumien fursa hii kujiongezea vipato,Let say kwa wiki una vipind kwa siku 2,hizi siku nyingine wafanya nino OFISINI???

We dont like any assumption take the reality number of periods per week,a good example my self i have 30 periods per week now how can i get enough time to look other opportunity apart from normal daily routine?
 
Naomba nisieleweke vibaya kwa walim wenzangu,ila me nataka kuwaambia walim wenzangu kuwa,mshahara hauwez kututoa kama tufikiriavyo,lakin walim wa serikali tupo free sana,tutumien fursa hii kujiongezea vipato,Let say kwa wiki una vipind kwa siku 2,hizi siku nyingine wafanya nino OFISINI???

Acha masihara mkuu, vipindi viwili kwa wiki?
Mbona huku wanapiga mpaka vipindi 30 kwa wiki......Niwazi we huko DSM.
 
Naomba nisieleweke vibaya kwa walim wenzangu,ila me nataka kuwaambia walim wenzangu kuwa,mshahara hauwez kututoa kama tufikiriavyo,lakin walim wa serikali tupo free sana,tutumien fursa hii kujiongezea vipato,Let say kwa wiki una vipind kwa siku 2,hizi siku nyingine wafanya nino OFISINI???

Kwani wewe unafanya kazi wapi? Wenzio huku tuna vipindi hadi 8 kwa siku afu tunatoka saa 10:30 jioni.Sasa hiyo miradi tutafanya saa ngapi?
 
Naomba nisieleweke vibaya kwa walim wenzangu,ila me nataka kuwaambia walim wenzangu kuwa,mshahara hauwez kututoa kama tufikiriavyo,lakin walim wa serikali tupo free sana,tutumien fursa hii kujiongezea vipato,Let say kwa wiki una vipind kwa siku 2,hizi siku nyingine wafanya nino OFISINI???

Kweli kaka! ila kuna mwl ana vipindi zaidi ya 30..... kwa wiki. Toa wazo kuhusu huyu.
 
msipo ingia barabarani!hakika mtavaa viatu vilivyoisha upande mmoja navibahasha vyakaki hadi basi!walimu kueni wakomavu namnaojiamini basi,haki haiombwi ila inadaiwa!
 
Naomba nisieleweke vibaya kwa walim wenzangu,ila me nataka kuwaambia walim wenzangu kuwa,mshahara hauwez kututoa kama tufikiriavyo,lakin walim wa serikali tupo free sana,tutumien fursa hii kujiongezea vipato,Let say kwa wiki una vipind kwa siku 2,hizi siku nyingine wafanya nino OFISINI???
Mkuu jamaa wanapambana...km we ni mtumia bodaboda ukipanda bodaboda saa za jioni ongea na dereva..hutapitisha wiki hujabebwa na mwalimu..
Ukienda maeneo ya vijijini ukiona kiosk jaribu kuuliza mmiliki..ukiuliza zaidi ya vinne..hutakosa cha mwalimu. Ukiona muuza vitumbua shuleni ebu jaribu kuuliza..km sio mwalimu basi ni mke wa mwalimu. Wanapambana mkuu..japo kutoka siyo rahisi kihivyo.
 
Back
Top Bottom