Waraka wa Kwaresima wa Maaskofu kutoka KKKT na Kanisa Katoliki. Ibada kuu KKKT inafanyika leo Dayosisi ya Karagwe, tega sikio.

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
19,672
2,000
Kwa kawaida makanisa haya makuu nchini kila mwaka huwa yanatoa waraka kwa ajili ya kuwaandaa waamini wake kwa ajili ya kipindi cha Toba, Kipindi hicho hujulikana pia kama KWARESIMA, ambacho kinahitimishwa na IJUMAA KUU na kisha sikukuu ya PASAKA.

Mwaka huu Ibada ya Ijumaa Kuu inafanyika kitaifa katika Dayosisi ya Karagwe (KKKT) leo alasiri, tunasubiri kwa hamu mahubiri na tafakuri murua kutoka kwa Askofu Dk. Benson Bagonza asiyepepesa macho wala ulimi.

Ujumbe wa mwaka jana ulitikisa nchi pale maaskofu walipoonya uminywaji wa demokrasia na uhuru vyombo vya habari na haki za wananchi.

Nawatakia IJUMAA KUU njema yenye heri na Sikukuu ya PASAKA.
 
MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,743

Askofu bagonza namkubali sana kwa kusema na kusimama kwenye kweli na haki
 
mwananyaso

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
2,146
2,000
Kwa kawaida makanisa haya makuu nchini kila mwaka huwa yanatoa waraka kwa ajili ya kuwaandaa waamini wake kwa ajili ya kipindi cha Toba, Kipindi hicho hujulikana pia kama KWARESIMA, ambacho kinahitimishwa na IJUMAA KUU na kisha sikukuu ya PASAKA.

Mwaka huu Ibada ya Ijumaa Kuu inafanyika kitaifa katika Dayosisi ya Karagwe (KKKT) leo alasiri, tunasubiri kwa hamu mahubiri na tafakuri murua kutoka kwa Askofu Dk. Benson Bagonza asiyepepesa macho wala ulimi.

Ujumbe wa mwaka jana ulitikisa nchi pale maaskofu walipoonya uminywaji wa demokrasia na uhuru vyombo vya habari na haki za wananchi.

Nawatakia IJUMAA KUU njema yenye heri na Sikukuu ya PASAKA.
Mduanzi tu huyo,kwa imani yako bwege mtozeni
 
VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
4,839
2,000
Tujikumbushe Ijumaa kuu mateso na kifo cha Yesu Kristu ambae alifufuka.Tuache kiburi hakika tutakufa. Siku za mwanadamu si nyingi.
 
mwananyaso

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
2,146
2,000
Im proud to be a Christian...viongozi wetu wa dini wako tofauti sana na "wala tende" maana wale jamaa wa upande wa pili ni wanafiki wa kiwango cha lami
Kosa sana kuongelea imani ya mwingine ,ungejikita kwenye imani yako bila kugusa za wengine ingependeza sana.

Na uliowataja wakija kwa style yako itakuaje?
Mjadala utahama kutoka tamko la Bagonza na kua wa kidini totally, na si afya kwa jamii.
Mleta post hakuna sehemu kazodoa waumini wa dini zingine
 
Bombabomba

JF-Expert Member
Dec 23, 2017
1,263
2,000
Huyu Askofu Nagonga ana mwandiko mzuri sana. Ngoja leo umuone mubashara. In sure atatrend utube nitamkuta.
 
magu2016

JF-Expert Member
Oct 8, 2017
5,868
2,000
Kwa kawaida makanisa haya makuu nchini kila mwaka huwa yanatoa waraka kwa ajili ya kuwaandaa waamini wake kwa ajili ya kipindi cha Toba, Kipindi hicho hujulikana pia kama KWARESIMA, ambacho kinahitimishwa na IJUMAA KUU na kisha sikukuu ya PASAKA.

Mwaka huu Ibada ya Ijumaa Kuu inafanyika kitaifa katika Dayosisi ya Karagwe (KKKT) leo alasiri, tunasubiri kwa hamu mahubiri na tafakuri murua kutoka kwa Askofu Dk. Benson Bagonza asiyepepesa macho wala ulimi.

Ujumbe wa mwaka jana ulitikisa nchi pale maaskofu walipoonya uminywaji wa demokrasia na uhuru vyombo vya habari na haki za wananchi.

Nawatakia IJUMAA KUU njema yenye heri na Sikukuu ya PASAKA.
Kumbe wewe badala ya kwenda kusali na kutubu madhambi yako umebaki kusubiri mahubiri ya Askofu Benson acha kufikiria kisiasa kila wakati Askofu Benson hawezi kukufikisha mbinguni ila matendo yako!
 
lubamba

JF-Expert Member
Jan 13, 2015
939
1,000
Bagonza hakika wewe ni mchungaji wa kondoo.Leo umeitandea haki Phd yako.Hujapepesa macho.
 
Mutakyamirwa

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
4,944
1,500
Nimependa hotuba yake. Anasema unaona kabisa ‘huyo anayetetea wanyonge anataka wawe wanyonge zaidi...aendelee kuongaza kwa mtaji wa wanyonge...
 
ngalakeri

JF-Expert Member
Jul 17, 2014
1,368
2,000
Waraka wa Kwaresma nijuavyo hutolewa mwanzo kabisa mfungo wa pasaka unapoanza, hivyo tayari uko makanisani, huenda hauna ujumbe ambao tungependa uwe. Hata hivyo nimjuavyo Dkt. Benson Bagonza leo hashindwi kutoa waraka wake kama wengine wameshindwa kuleta waraka tunaoutamani (HAKI ZA BINADAMU).
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom