Kwa kawaida makanisa haya makuu nchini kila mwaka huwa yanatoa waraka kwa ajili ya kuwaandaa waamini wake kwa ajili ya kipindi cha Toba, Kipindi hicho hujulikana pia kama KWARESIMA, ambacho kinahitimishwa na IJUMAA KUU na kisha sikukuu ya PASAKA.
Mwaka huu Ibada ya Ijumaa Kuu inafanyika kitaifa katika Dayosisi ya Karagwe (KKKT) leo alasiri, tunasubiri kwa hamu mahubiri na tafakuri murua kutoka kwa Askofu Dk. Benson Bagonza asiyepepesa macho wala ulimi.
Ujumbe wa mwaka jana ulitikisa nchi pale maaskofu walipoonya uminywaji wa demokrasia na uhuru vyombo vya habari na haki za wananchi.
Nawatakia IJUMAA KUU njema yenye heri na Sikukuu ya PASAKA.