Waraka Maalumu kwa Rais Samia Suluhu Hassan juu ya hujuma zinazofanywa na Watendaji wako NIDA

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,334
WARAKA MAALUM KWA MH. SAMIA SULUHU RAIS WA TANZANIA JUU YA UTAPELI NAOFANYIWA NA MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA(NIDA

Salaam kwako Mkuu wa Taifa la Tanzania, naitwa DON NALIMISON ni Mwanamuziki na Mjuvi wa Falsafa, malalamiko yangu nayafikisha Mbele ya Kiti chako Cha Ikulu ili niweze kusaidiwa. Mpaka leo April 8,2021 sijapata Kitambulisho Cha Taifa kwa jina Langu la DON NALIMISON. Nimeomba kurekebishiwa NIDA baada ya kufata taratibu zote za Kisheria. Yaani nimeapa nanina DEED POLI inayothibitisha jina tajwa hapo juu.

Kitambulisho Cha kwanza NIDA ilinifanyia hujuma mwaka 2016 kwa kunigushia sahihi isiyo yangu na mwaka 2018 baada kupewa NIDA hiyo na jiji la Mwanza niliwalalamikia lakini walinipuuza kabia. Ilifikia hatua mpaka wakaita mgambo wanikamate wakati nadai kurekebishiwa sahihi. Baada ya kufatilia Sana, kumbe Kuna mtu ambaye alisaini upya hiyo NIDA ili wakaibe Pesa kwa NIDA hiyo yenye jina langu la zamani la DEOGRATIUS NALIMI KISANDU. Kutokana na hujuma hizo ilinibidi kubadili majina yote Kisheria na kuwa DON NALIMISON mpaka Sasa.

Kutokana na mabadiliko hayo nilianzia jiji la Mwanza mwaka Jana July 2020 lakini waligoma kunirekebishia, wakati Sheria za NIDA ziko wazi kabisa ambapo zinamtaka mhusika kuwa anaweza kubadili majina endapo ameacha kazi Utumishi wa Umma. Na Mimi sio mtumishi wa Umma kwa mjibu wa Sheria za Utumishi wa Umma ambapo mtumishi akifungwa zaidi ya Miezi 6 anakuwa amepoteza sifa ya kuwa mtumishi wa Umma na hivyo Mimi nilifungwa miaka mitatu tangu mwaka2018 na nimemaliza kifungo tangu Juni 26, 2020. Nasina mpango Tena wa kuwa Mtumishi wa Umma. Ninasikitika Sana waandamizi wako kutokutaka kufata Sheria za Nchi. Basi Bora Sheria zifutwe na utuongoze kibububu.

Sasa nipo Wilayani Kahama ndio nyumbani kwetu nilipo zaliwa japo baba yangu ni raia wa Marekani. Tangu mwaka Jana 2020 nafika ofisi za NIDA Kahama bila mafanikio, niliambiwa na ofisi za NIDA-Kahama niandike barua ya kuomba kufanyiwa marekebisho kwenda NIDA Taifa. Miezi 2 Sasa imepita tangu niandike barua hiyo lakini sijajibiwa mpaka leo. Nimekuwa nikipewa Vikwazo vya kijinga sana ili nisipewe NIDA mpya kwa jina langu la DON NALIMISON NALIMI.

Mimi ni msomi nayejitambua, naijua Sheria vizuri Sana lakini nashindwa kuelewa tatizo ni wapi? Leo mipango yangu yote imekwama kwa kukosa NIDA, natakiwa kutoka nje ya Nchi kufanya matamasha ya kimuziki lakini mialiko inakuja nakwama maana ziwezi pata Passport ya kusafiria bila NIDA, siwezi pata LESENI ya kuendesha gari mpaka niwe na NIDA. Sasa sijui lengo la Serikali yako nikuniua kiuchumi na kisanii? Au ndio Detention inaendelea.

Unyama huu na uozo wa NIDA umeanza miaka mingi Sana. Naomba uwaagize Watendaji wako NIDA waniprintiye ID yangu ili niendelee na shughuli zangu za Kimuziki na Falsafa Nchi za watu. Na pia Kuna taarifa kuwa Kuna mtu wamemprintia ID ya NIDA kwa jina langu la DON NALIMISON na ndio maana wananizingua kila nikifatilia. Serikali imeoza kutokana na Watendaji Matapeli. Nikuombe kwa wema wote unisaidie. Jana nimepata mwaliko kwenda Great Britain kufanya Shoo ya Muziki na kutoa semina ya Vijana (The Role of Youth to British) lakini NIDA imenikwamisha.

Hujuma Kama hizi sio nzuri. Nimekuwa kwenye siasa na harakati kwa miaka mingi Sasa najua Upumbavu wote wa idara za Serikali na wengi wa Watendaji wako wananionea wivu Sana na ndio maana nachezewa kiakili yaani wananifanya Kama poyoyo vile.

Naomba kuwasilisha hoja zangu na kusaidiwa na Kiti chako unachokalia Ikulu. Watendaji wako ni Waongo wakubwa na pia ni wapotoshaji wakubwa juu yangu. Kwa mawasiliano napatikana kwa namba +255 682 94 29 01. Pia baadhi ya Wabunge wanawashinikiza NIDA wasinipe ID yangu ya NIDA hasa Wabunge Viti maalum na baadhi wakiume wasio kuwa na Akili TIMAMU ya Kujua Sheria za Taifa lako. Pia wamo Viongozi Mabwege wa Upinzani wanaoweka mapingamizi hayo wakishirikiana na Viongozi wajinga kutoka CCM. Mimi mti mbichi nafanyiwa hivi, vipi mti mkavu? Ikishindwa kunisaidia kwa hili na Kiti chako Ikulu hakitadumu.

Naomba kuwasilisha.
DON NALIMISON
E-mail: donnalimison70@gmail.com, donnalimison70@gmail.com
+255 682 94 29 01.
KAHAMA-TANZANIA.
1616326110290_1.jpg

8th April 2021.
 
Pole sana big boss. Mi fan wako namba 1.

Labda watakua wameshakuona ulivodai hautakaa ukaimba Kiswahili au wewe ni Mmarekani unafuata uraia wa baba yako.

Ila yote yote mzee pambana ID utapata tu. Au kama vipi nenda kakatie ID mkoa mwingine au fungua shitaka polisi.
 
Don mtoto wa Kisandu kile chama chako kipya cha siasa vipi unakifungua lini?
 
KAHAMA-TANZANIA.View attachment 1747009
8th April 2021.
...Kwa maelezo haya huhitaji kitambulisho cha NIDA kitakua mzigo kwako bora usafiri kama wasabato masalia
 
Don unavuta aina gani ya bangi? Mwanzo umeandika vizuri ila umeharibu mwishoni.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Nimevuta sana bangi ila hii anayevuta Don sijawahi ivuta nadhani ni mjani toleo la kale sana na pengine shina la bangi hiyo afrika mashariki nzima shina lake lilipo analijua ndugu Don tu ndio maana akivuta anakuwa mbali sana kinafsi
 
Back
Top Bottom