Waraka kwa Dr. Slaa

Waraka kwa Dr. Slaa

Ni afadhali kuongozwa na fisadi mmoja aliyetubu na kubadilika, ambaye atawatetea Watanzania kwa kuongozwa na kundi la watu wasafi, kulilko mtu mwenye hila mmoja aliyewekwa chambo ili aongozwe na rundo la mafisadi nyangumi walioko ccm. Mbona hamsemi mafisadi wa meremeta, kagoda, barabara, escrow, epa, n.k walioko ccm mmewafaya nini?

Tumia akili yako vizuri.

Ni afadhili kukaa na donge moja la maji chumbani kuliko kuishi kwenye shimo la choo.

Tunamchagua Lowasa chini ya UKaWA, kwa Tanzania mpya!.

Chukua like mkuu Tabby umefafanua vizuri. Tubadili mfumo mzima unaolea mafisadi kwa ujumla. Mambo mengine mbele kwa mbele.
 
watz tuna akili nyepesi sana rahisi kusombwa na propaganda nyepesi, chafu na siasa zetu tumejenga juu ya kuamini viongozi ambao wengi ni matapeli na walaghai Dr Slaa kawaeleza ukweli ndio mana mnatokwa mapofu tena kwa aibu hawa maharamia amewanika peupe pee, lazima mtaisoma namba mbowe kaujuza chama tena kwa aibu kubwa na fedhea ndio mwisho wa Chadema tulioingahikia miaka nenda rudi, tamaa imemponza Mbowe na wapga dili wenzake.
Dr Slaa utabaki shujaa wa vizazi vijavyo hata hawa wa muda huu wasipokuelewa, binafsi nimekuelewa tena mno.
 
Gwajima ndiye alikuwa mungu NA slaa na mboye walitakiwa kuwa mashahidi wakati wa toba ya lowassa wakati watz ni WAUMINI WA CHADEMA, CHAMA SIO DINI AU KABILA WAWEZA ACHA SIASA ZA CHADEMA COZ NI UJANJA UJANJA MWINGI!!!
 
Hatuwezi kulilia Tanzania MPYA, SAFI na iliyokombolewa ikiwa tutaruhusu FISADI papa kukaa kwenye jumba letu la state house.

Hivyo basi, kama tunahitaji mema kwa nchi yetu, chaguo la pekee ni Magufuli tu.
Katika orodha ya mafisadi ya mwembeyanga aliyoisoma Slaa Kikwete ni namba moja na ameongoza miaka 10 na wewe umamshabikia miaka yote hadi Leo hii halafu unakuja na hoja za kijinga kiasi hiki.
 
Kumbe kuandika waraka inaruhusiwa eeh?
Haina Cyber Crime hii eeh?
Wacha nikaandike waraka wangu kule
 
Kuuza kwa nyumba hata Mimi sikuafiki na siwezi kukubaliana nako, hiyo ya barabara sub standard anachosema yeye anajenga kwa fedha zilizopo hawezi jenga autobahn na.kiasi cha bajeti anachopewa. Hiyo ya wakandarasi hewa mbona haivumi kama Richmond kama siyo kelele.za bafuni tu lowassa ana mtandao na.kama.mpinzani wake kale Bil 258 kweli pasingekalika hapa kwa coverage hiyo, ila so far kimya.
Kitu muhimu ni hiki ikiwa lowassa ametetemesha system ya ccm yenye dola itakua ya cdm iliyo changa? Lowassa ameshaibadilisha cdm so far kabla hata ya madaraka sasa wale wanaojiliwaza kwamba yuko pasafi hawana mantiki
Magufuli ana mapungufu ila kwa uzoefu wa ccm na.changamoto zilizopo za upinzani wameteua the best candidate na kazi itafanyika nchi itanyooka tofauti na pale mbinafsi kupindukia lowassa alipotuwekea kikwete na wote mkazuzuka kumchagua.
Of the two its logically clear that magufuli is better than lowassa kwa urais wa jamhuri.

Pako kimya sababu yawezekana hana sababu ya kupiga makelele mengi.Kwangu mimi bado nitajiuliza kwanini kelele zote hizo leo??Kama walitaka tumchague mtu msafi CCM mbona ndiyo waliokatwa??Kwanini watuchagulie mwenye mazongezonge??

Siyo ProLowassa lakini ningependa ifike mahali haki itendeke.Hivi kama CCM wangekuwa wasafi kwanini hawakumshtaki??Nimebaki na maswali mengi kuliko majibu.Kwanini Sitta alisitisha zoezi zima la Richmond kwa manufaa ya nani??Na kwanini leo lijitokeze kwa nguvu hivi??

Sipati jibu,kesho Muhongo akiruka ukuta akaingia UPINZANI ninauhakika UCHAFU wake wa ESCROW ndipo utakapofunuliwa na kupembuliwa,je ni sahihi??

Tusihemuke tunatakuwa kuseek justice,kwa wote.Ni bora uchaguzi ukasitishwa ikaingia serikali ya mpito ili mashtaka yaanze rasmi na sisi tuanze mchakato wa kujiandikisha,iliuwe wa haki na huru zaidi.Tuondoe CHUKI na FITINA zilizojijenga kwenye jamii,tusikatae,tusiwe kama MBUNI kuficha uso mwili ukiwa hatarini.

Chuki ya watu wawili inaliangamiza TAIFA.
 
Tabby

Jifunze summary, Dr. Keshaongea aliyopanga kuongea ni haki yake wewe sasa tumia akili yako. Ukombozi hauko hivyo na mjiandae kupokea na matokeo, nguo imewavuka tulieni kwanza hizi papara zenu ndio mnaonyesha vituko sasa wewe sijui umeandika nini.
 
Last edited by a moderator:
watz tuna akili nyepesi sana rahisi kusombwa na propaganda nyepesi, chafu na siasa zetu tumejenga juu ya kuamini viongozi ambao wengi ni matapeli na walaghai Dr Slaa kawaeleza ukweli ndio mana mnatokwa mapofu tena kwa aibu hawa maharamia amewanika peupe pee, lazima mtaisoma namba mbowe kaujuza chama tena kwa aibu kubwa na fedhea ndio mwisho wa Chadema tulioingahikia miaka nenda rudi, tamaa imemponza Mbowe na wapga dili wenzake.
Dr Slaa utabaki shujaa wa vizazi vijavyo hata hawa wa muda huu wasipokuelewa, binafsi nimekuelewa tena mno.

Kibaya-Kenya; Ninaona unanigombeza bila kuniambia wapi nimekosea.

Kuna sehemu umesikia nimemtukana Dr. Slaa?

Umesoma sehemu yoyote nimembeza au kudharau mchango wake katika ukombozi wa taifa?

Kabla hujajipa pressure na kuanza kutumia mishare yako vibaya bila kujua adui aliko, ni vizuri kwanza uwe unatafuta kuelewa, kuchanganua ndipo ufanye maamuzi.

1. UKWELI gani ambao Dr. Slaa kaueleza ambao wenzake hawakuusema au wameukataa ambao unauona una uzito kuliko nguvu ya CHADEMA na Misingi yake? Au ambao haukujulikana ndani na nje ya CHADEMA, UKAWA, Tanzania na nje ya mipaka yetu?

2. Wapiga dili unaowasema ni akina nani na dili lipi ikiwa CHADEMA na Slaa wote wanatestify kwamba walishirikiana katika maamuzi na Dr. Slaa ndiye aliyekuwa mwanzilishi wa IDEA ya kumvuta Lowasa?

3. Ujio wa Lowasa ume compromise nini katika misingi na malengo ya CHADEMA na UKAWA?

4. Umeelewa kitu gani ambacho wengine unaona hawajakielewa katika yote aliyoyasema Kamanda Slaa?

Tafadhali naomba ujibu hoja kwa hoja ili tujadili bila jazba wala tufani.

Hey, umenitisha vile unagomba na mimi sijui nini nagombezwa nacho!.
 
Hatuwezi kulilia Tanzania MPYA, SAFI na iliyokombolewa ikiwa tutaruhusu FISADI papa kukaa kwenye jumba letu la state house.

Hivyo basi, kama tunahitaji mema kwa nchi yetu, chaguo la pekee ni Magufuli tu.

Magufuri naye ni fisad....hakuna fisad mkubwa wala mdogo..lengo ni kutia mfumo wa ccm basi na si vngnenvyo
 
Unazungumzia UKAWa ipi kama ya Lipumba na slaa ilijifia yenyewe baada kuchukua ndondo kutoka CCM. Makaidi wananchi wamemshusha jukwaani masasi Mbele ya Babu Duni, Mbatia mcheza shoo tu anainfluency yeyote. Waasisi wa ukawa hata jukwaa LA kampeni hawapandi sasa hivi si wameshauza rights.
 
Lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa
 
Dr Slaa ameonesha udhaifu mkubwa katika mikakati ya kisiasa ya kushika dola labda tu kama alitaka CHADEMA/UKAWA kuendelea kuwa movement ya uanaharakati tu na kuishia kuandamana kila kukicha au wabunge wa upinzani kumgomea Rais wa CCM, nk. Amepitwa na wakati. Walichofanya wanamabadiliko ni mantiki sahili tu nayo iko hivi:
Lengo letu ni kung'oa au kuulia mbali mfumofisidi -CCM (kwa gharama yo yote ile).
Lengo la mwanaCCM anayefikiria ameonewa na CCM naye anataka kuiondoa CCM madarakani
Basi kwa sasa na wakati huu adui yetu mkubwa ni mmoja - CCM
Tunaunganisha nguvu kumg'oa adui CCM.

Ni nini kitafuatia baada ya hapo? aliyekuwa CCM, aliyekuwa UKAWA, ACT, aliyekuwa hana chama, kila mpenda maendeleo ya nchi (sio maendeleo kwa mujibu wa kamusi ya CCM) tutakaa meza moja na kuanza kuchora upya ramani ya Tanzania ipi tunaitaka. Kila mwananchi atanufaika. Hakuna atakayebaguliwa wala kuachwa nyuma.

Dr kapumzike, haya ni mambo makubwa sana kuliko ulivyo au ulivyojidhihirisha kuwa.

CHAGUA MABADILIKO, CHAGUA UKAWA, CHAGUA LOWASSA
 
Hatuwezi kulilia Tanzania MPYA, SAFI na iliyokombolewa ikiwa tutaruhusu FISADI papa kukaa kwenye jumba letu la state house.

Hivyo basi, kama tunahitaji mema kwa nchi yetu, chaguo la pekee ni Magufuli tu.
Magufuli aliyepokea kijiti toka kwa jk,jk akipokea toka kwa Bm.kazi kweli kweli
 
watz tuna akili nyepesi sana rahisi kusombwa na propaganda nyepesi, chafu na siasa zetu tumejenga juu ya kuamini viongozi ambao wengi ni matapeli na walaghai Dr Slaa kawaeleza ukweli ndio mana mnatokwa mapofu tena kwa aibu hawa maharamia amewanika peupe pee, lazima mtaisoma namba mbowe kaujuza chama tena kwa aibu kubwa na fedhea ndio mwisho wa Chadema tulioingahikia miaka nenda rudi, tamaa imemponza Mbowe na wapga dili wenzake.
Dr Slaa utabaki shujaa wa vizazi vijavyo hata hawa wa muda huu wasipokuelewa, binafsi nimekuelewa tena mno.
Mkuu umetumia vigezo gani kujua Kuwa alichoongea Slaa ni ukweli?isije Kuwa umeshindwa kutumia akili yako kutafakari bwana
 
kiongozi,ninaumia sana ninapotafakari kauli ya dr. Slaa, kuungana na mkapa kuwatukana vijana ambao wamefanya vile walivyo na utawala dharimu wa ccm bila ridhaa yao.

Imenisikitisha sana kuona namna vijana hawa walivyojitambua na jinsi walivyotayari kujitoa kwa hali ya mali kiasi hata cha kumwaga damu yao ili kulikomboa taifa kutoka mkoloni ccm, na ambao yeye dr. Anajitambulisha kuwatetea, jinsi dr. Alivyowageuka na kuwadharau.

Kweli wanawake hugeuza mioyo ya wafalme!.

Ninaita wito kwa vijana wangu, msiogope wala msifadhaike. Tulianza na mungu, tuko na mungu na tutamaliza na mungu.

Kwa umoja wetu, tunakwenda kuikomboa nchi. Tusiwaangalie wanaoshindwa njiani na wala wasitukatishe tamaa.

Tunasonga mbele hadi ukombozi umepatikana. Tanzania ni yetu na sisi ndio wenye nchi. Hatutakubali tena kuwa watumwa wa ccm ndani ya nchi yetu.

Tanzania is and shall always belong to tanzanians!.

Aluta kontinua, mapambano yanaendelea.

Peoplesssssssssssssssssssssssssss!.

poooooooower
 
Slaa oyeeeeeeee!!!!! Uliona wapi uwe mgeni wangu halafu nikupsha ukalale na mke wangu,ukuku kabisa huo!!!!!!!!
 
Kuuza kwa nyumba hata Mimi sikuafiki na siwezi kukubaliana nako, hiyo ya barabara sub standard anachosema yeye anajenga kwa fedha zilizopo hawezi jenga autobahn na.kiasi cha bajeti anachopewa. Hiyo ya wakandarasi hewa mbona haivumi kama Richmond kama siyo kelele.za bafuni tu lowassa ana mtandao na.kama.mpinzani wake kale Bil 258 kweli pasingekalika hapa kwa coverage hiyo, ila so far kimya.
Kitu muhimu ni hiki ikiwa lowassa ametetemesha system ya ccm yenye dola itakua ya cdm iliyo changa? Lowassa ameshaibadilisha cdm so far kabla hata ya madaraka sasa wale wanaojiliwaza kwamba yuko pasafi hawana mantiki
Magufuli ana mapungufu ila kwa uzoefu wa ccm na.changamoto zilizopo za upinzani wameteua the best candidate na kazi itafanyika nchi itanyooka tofauti na pale mbinafsi kupindukia lowassa alipotuwekea kikwete na wote mkazuzuka kumchagua.
Of the two its logically clear that magufuli is better than lowassa kwa urais wa jamhuri.
Mkuu soma tena vizuri ulichoandika harafu na utagundua itakuwa ni hasara kubwa Kumpa nchi magufuli.kama ulivyo semantic ccm na serikali yake wamekuwa wakimuogopa Lowasa ?tuambie magufuli atamuweza vipi na hao wengine wamemshindwaje ?kule segerea watu wababe ndo huwa wanapewa madaraka unajua kwa nn?
 
Ni afadhali kuongozwa na fisadi mmoja aliyetubu na kubadilika, ambaye atawatetea Watanzania kwa kuongozwa na kundi la watu wasafi, kulilko mtu mwenye hila mmoja aliyewekwa chambo ili aongozwe na rundo la mafisadi nyangumi walioko ccm. Mbona hamsemi mafisadi wa meremeta, kagoda, barabara, escrow, epa, n.k walioko ccm mmewafaya nini?

Tumia akili yako vizuri.

Ni afadhili kukaa na donge moja la maji chumbani kuliko kuishi kwenye shimo la choo.

Tunamchagua Lowasa chini ya UKaWA, kwa Tanzania mpya!.

Huyu fisadi hakutubu, what he did is to transfer allegations.
 
Back
Top Bottom