Waraka kwa Dr. Slaa

Waraka kwa Dr. Slaa

Ni afadhali kuongozwa na fisadi mmoja aliyetubu na kubadilika, ambaye atawatetea Watanzania kwa kuongozwa na kundi la watu wasafi, kulilko mtu mwenye hila mmoja aliyewekwa chambo ili aongozwe na rundo la mafisadi nyangumi walioko ccm. Mbona hamsemi mafisadi wa meremeta, kagoda, barabara, escrow, epa, n.k walioko ccm mmewafaya nini?

Tumia akili yako vizuri.

Ni afadhili kukaa na donge moja la maji chumbani kuliko kuishi kwenye shimo la choo.

Tunamchagua Lowasa chini ya UKaWA, kwa Tanzania mpya!.[/QUOTE

Embu jitahidi kufikiria hivi kwamba huyo fisadi mmoja aliyeingia UKAWA ataenda kuwafundisha wengine kuwa mafisadi na watazichota hizo pesa za Watanzania haswa.

Nadhani kila mtu anajua kasi ya mtu mwenye njaa katika kula. Tena mtu huyo hachagui kipi cha kula yaani atakula kila kilicho mbele yake.

Tukijidai kwamba hatuyaoni haya na kumptisha Lowassa kama raisi basi madhara yake mbele tusije kuyalalamikia pia.


Nani anadominate kule anakokwanda? Taratibu za utawala kule anakwenda ni za kiholela kama ccm?

Kipi bora huyo mmoja akakutane na wenye akili ajifunze kutenda mema, au uachie genge la mafisadi yaliyolifikisha hapa taifa yaendelee kwa kuwa umeyazoea?

Please my brother. You need to be serious!.
 
Tetty umesema "chuki ya watu waiwili inamaliza taifa" lowassa alimweka kikwete kwa sababu zake na siyo kwa sababu alikua kiongozi safi kuliko wote muda huo, kikwete akamtosa, lowassa akawa anamuhujumu kikwete na serikali yake na maadui wote real and perceived, sasa kwa nini tuamini huyu ataleta mabadiliko ya kweli tunayoyatamani na kuyataka?

mwingine yeyote hata huyu sumaye ningeamini lakini siyo lowassa, na hapo nasema kati ya hao wagombea wawili wote ni sehemu ya tatizo, huyo akiwa ni mhusika wa ndani kabisa na upuuzi wa awamu ya 4, mwingine akiwa ni watendaji wa awamu hiyo. kwa hiyo unfortunately kwa watanzania itabidi wachague mmoja aliye bora kati ya hao wawili. huyu aliyevaa gwanda la mabadiliko wakati wanamabadiliko wenyewe wakiwa wamegawanyika na ujio wake na utekaji wake hayo mabadiliko huku wakiamini yeye ni sehemu ya tatizo na kwa hiyo siyo dawa ya hilo tatizo, au mwingine aliyeko kwenye hayo matatizo ijapokua siyo sehemu kubwa ya hayo matatizo.
 
Aisee! TZ kuna vichwa vibovu sijapata ona .kweli unafikiri Magufuli akikamata nchi ataweza kufurukuta kwa hao waliomweka atakuwa mpole na atafwata nyayo zao.hataweza hata kukemea kitu,si naye atakuwa wa syastem! jamani watanzania wezangu tunahtaji kungoa hiyo ngome.😛eace:😛eace::smash:
 
Back
Top Bottom