Waraka kwa Dr. Slaa

Waraka kwa Dr. Slaa

Nawaonea huruma sana watanzania kwa kumwamini Magufuli
Kigamboni alisema pigeni mbizi kama hamuwezi kulipa 200.
Biharamulo walipomuomba suala la maji akawaambia wakusanye ndoo wajaze mkojo wafanye maji
Kwake walimuomba barabara ya lami akawaambia wachukue ndoo wajaze kinyesi wapake barabarani iwe lami
 
Mahakama ya mafisadi!!!! Tatizo si mahakama tatizo ni mfumo Dr. Hosea alishasema mafaili ya rushwa yanakwama kwa DPP
 
Ni mt asiye na ufahamu wa kutosha pekee ndiye anayeweza kuhoji Lowasa anapata wapi fedha za kampeni.

Mtu ambaye kichwa chake kinawalakini asiyeweza kuelewa kwamba Lowasa ni mgombea wa Institution ambayo ina funds kwa ajli ya kampeni ya mgombea wao. Halafu asihoji mtu binafsi anayekula mihogo na kuuz amkaa anapata wapi fedha za kuishi Serena hotel, kwenda SA kwa mapumziko na kulipia press conference ya vyombo vyote vya habari nchini kwa masaa matatu.


Ninaanza kupata picha ni kwanini Dr. Slaa amewaita ccm ni choo cha mavi.

Tumia akili yako vizuri, jipange na uache kutuonyesha namna umechanganyikiwa.

Tarehe 25 October, tutaheshimiana tu!.

Institution gani yenye funds, ukawa au ipi?mi siko hapa kutetea aliyoongea Dr slaa, niko hapa kurekebisha upotoshaji na wapotoshaji wa ukweli kama wewe.
 
Hamy-D

Nasikia eti hao tunaowaruhusu ndiyo wenye Epa, Kagoda, Twiga, Escrow, Madawa ya kule vya na kazalika. Hapo unasemaje?

Kuna mtuhumiwa yeyote wa escrow, EPA, etc etc, anagombania urais wa jamhuri?
 
Tabby

Kuanzia leo DR Slaani mumiani wa Mabadiriko amejichora kujipaka kinyssi heshima yangu yote niliyokuwa nayo kwake nimeifuta nilimpenda lakini shetani kampenda zaidi ni vipi Dr Slaa na akili zake alikoroge namna hii yeye ndio aliiinstigate kumleta LOwasa DR Slaa kumbe ni yeye alimpigia simu mwenyekiti sasa anaruka KImanga Mbowe kweli you are a genius kwa habari ya jana sisi wengine die hard fun wa Dr Slaa leo hii tunasema aende apishe akafie mbali hafai duniani na mbinguni hafai uongo ni simu chuki ni dhambi fitina ni mauti Dr endelea kubembeleza Josephine na Jr
 
Last edited by a moderator:
Kilichofungiwa duniani na mbinguni kimefungiwa! DR SLAA asingeweza kushindwa upadrii kama kweli ni mwaminifu
 
Slaaa katumwa na hawezi kuongelea suala la Richmond wakati Lowasa kasema anayehusika ni kiongozi mkuu wa nchi, Slaa ni nani hata ajibiwe na Lowasa? Mwakyembe na Sitta wote hawana hadhi ya kuongea na Lowasa tunamtaka Kikwete aseme ukweli ili Lowasa amjibu
 
Unahitaji kupanua uelewa wako. Hakuna msemaji duniani kote wa ukwei anayeweza kuchukua ka piece kadogo ka imformation kwenye agenda akaficha ukwei wote halafu wenye akili timamu kama yeye walazimishe watu kuitikia eti kaeleweka.

Lazima uwe na matatizo makubwa kwenye kichwa na dhamira yako. Period!.

Unajua neno maudhui ni nini? Thesis yake haikua kusema ccm ni waovu au kuonyesha uchafu japo kawafananisha na choo ,bali ilikua ni kusema kwa nini ameamua kuacha siasa za vyama na kuambatanisha ubaya wa yule aliyesababisha aache hizo siasa na hapa ukweli wake unaigusa cdm, ukawa na lowassa na siyo ccm kwa.maudhui.hayo
. Kama ni msomi na siyo mvivu utaelewa kama umeazima akili kwa muda hutoweza kuelewa.
Tatizo ushabiki unakufanya ulazimishe ulichotaka kusikia.wewe kwa sababu ukweli ule japo ni mfupi hujaupenda.
Jipange tena kabla hujazungumzia uwezo na upeo wangu kifikra
 
Unajua neno maudhui ni nini? Thesis yake haikua kusema ccm ni waovu au kuonyesha uchafu japo kawafananisha na choo ,bali ilikua ni kusema kwa nini ameamua kuacha siasa za vyama na kuambatanisha ubaya wa yule aliyesababisha aache hizo siasa na hapa ukweli wake unaigusa cdm, ukawa na lowassa na siyo ccm kwa.maudhui.hayo
. Kama ni msomi na siyo mvivu utaelewa kama umeazima akili kwa muda hutoweza kuelewa.
Tatizo ushabiki unakufanya ulazimishe ulichotaka kusikia.wewe kwa sababu ukweli ule japo ni mfupi hujaupenda.
Jipange tena kabla hujazungumzia uwezo na upeo wangu kifikra

mharakati,sijayakataa aliyoyaongea,lakini najiuliza je,pale ndipo palikuwa mahali pakuongelea kama Katibu Mkuu wa chama chake??Yey ni number mbili baada ya Mwenyekiti wake,wale wachini yake anawafundisha nini??

Kama alishindwa kuyaweka MEZANI akiwa kwenye vikao halali vya chama chake basi hajatenda haki hata kidogo.Kwa ufupi amekosea,waweza kusema kitu baadaye watu wasikuelewe pamoja na kwamba idea yake ni kuisemaCHADEMA na kuiua kama si kuimaliza kabisa itoweke kwenye ulingo wa SIASA za Tanzania,je kwa manufaa ya nani???
 
Kuna mtuhumiwa yeyote wa escrow, EPA, etc etc, anagombania urais wa jamhuri?

Mwenye ESCROW ndiyo anayeachia MADARAKA.Na je yule aliyelipa Makandarasi hewa bilioni 258?Amenunua Meli ya 1978 kwa bilioni 8,Barabara zote ni sub standard?Mvua moja hakuna barabara.Huyu wa mabehewa hewa naye???Na muuzaji wa nyumba za serikali na nyingine kugawa kwa mahawara ,je huyu hagombei urais??Au anagombea nafasi ya Uwaziri wa Ujenzi???
 
Naona baada ya Slaa kuwaeleza Watanzania ukweli vizuri, Team Lowasa wamekuja kwa nguvu nyingi hapa jamvini kujaribu kuokoa jahazi.

Kuna ushahidi Lowasa ni fisadi. Bila huo ushahidi wala hangejiuzulu Uwaziri Mkuu. Na anashirikiana na mafisadi papa ambao wanatumia rushwa na hongo kwenye kampeni zake. Hatutaki kutoa mafisadi kwa kutumia mafisadi na kuendelea kutawaliwa na mafisadi.

Nampa hongera sana Dr Slaa kwa kuwa na msimamo thabiti. Watu wa aina yake ndiyo wanatakiwa watawale Tanzania. Mwanzoni tulidhani washirika wake kama Lissu na Mnyika ni watu wenye msimamo pia, but now we know better. They caved in at the slightest indication that they could be co-opted into the ruling oligarchy. Shame on them. They have sold out!

Msimamo gani alionao Dr slaa? wakuhama CCM Mwaka 1995 baada ya jina lake KUKATWA?
 
napiga supu na chapati hapa najenga afya na Mungu anijalie ili tar 25 october niwe sehemu ya mabadiliko (Tanzania itajengwa na wenye moyo)

Mungu ibariki Tanzania ,Mungu Ibariki Afrika Mungu mBARIKI LOWASA
 
Hata wangesema lowassa ni mzimu ninge mpogia kura. Kura ungu nitampa magufuli indopo lowassa atakuwepo na endapo magufuli atakuwa mgombea BINAFSI lakini akiwa ndani ya hilo tanuru la ccm pamoja na mkapa kikwete tibaijuka ngeleja magula kinana asahau
 
"Ushabiki hupunguza uwezo sahihi wa kufikiri!!!!"
 
Mwenye ESCROW ndiyo anayeachia MADARAKA.Na je yule aliyelipa Makandarasi hewa bilioni 258?Amenunua Meli ya 1978 kwa bilioni 8,Barabara zote ni sub standard?Mvua moja hakuna barabara.Huyu wa mabehewa hewa naye???Na muuzaji wa nyumba za serikali na nyingine kugawa kwa mahawara ,je huyu hagombei urais??Au anagombea nafasi ya Uwaziri wa Ujenzi???

Kuuza kwa nyumba hata Mimi sikuafiki na siwezi kukubaliana nako, hiyo ya barabara sub standard anachosema yeye anajenga kwa fedha zilizopo hawezi jenga autobahn na.kiasi cha bajeti anachopewa. Hiyo ya wakandarasi hewa mbona haivumi kama Richmond kama siyo kelele.za bafuni tu lowassa ana mtandao na.kama.mpinzani wake kale Bil 258 kweli pasingekalika hapa kwa coverage hiyo, ila so far kimya.
Kitu muhimu ni hiki ikiwa lowassa ametetemesha system ya ccm yenye dola itakua ya cdm iliyo changa? Lowassa ameshaibadilisha cdm so far kabla hata ya madaraka sasa wale wanaojiliwaza kwamba yuko pasafi hawana mantiki
Magufuli ana mapungufu ila kwa uzoefu wa ccm na.changamoto zilizopo za upinzani wameteua the best candidate na kazi itafanyika nchi itanyooka tofauti na pale mbinafsi kupindukia lowassa alipotuwekea kikwete na wote mkazuzuka kumchagua.
Of the two its logically clear that magufuli is better than lowassa kwa urais wa jamhuri.
 
semeni yote, tukaneni mnavyoweza, Dr slaa atabaki kama si unit ya kupigania haki za wanyonge, ya uadilifu, na Raisi wa mioyo ya wapenda mageuzi ya kweli!
 
Hatuwezi kulilia Tanzania MPYA, SAFI na iliyokombolewa ikiwa tutaruhusu FISADI papa kukaa kwenye jumba letu la state house.

Hivyo basi, kama tunahitaji mema kwa nchi yetu, chaguo la pekee ni Magufuli tu.

Sioni direct connection ya Lowassa na Richmund na haionyeshi sehemu aliyoweza nufaika kwa kupokea rushwa. Mbona waliokuwa kwenye huo mchakato hawahusishwi
 
Back
Top Bottom