Waraka kutoka kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Njombe, Bibi Rose Mayemba kwenda kwa Askofu Mwamakula

Kama ni wao kweli walimuua yule kijana wasitegemee huruma yoyote, muda wao utafika na wao watakula kifungo cha maisha, siasa si sababu ya kuua wengine.
Kama kweli waliua
Hakuna anayejua kama walifanya mauaji au la
Serikali yetu inayo mahakama wapelekwe kortini ili sheria itumike
Lakini kama wamebambikiziea kesi na kuteswa Bure ujue hata wewe yatakukuta
 
Utawala wa shetani
Hakika Mungu anakwenda kuthibitisha ukuu wake Octobrt 28.

Mbingu na nchi vimemkataa huyu Magufuli.
 
Mawasiliano yao ya simu yamewaumbua
 
Mkuu inasikitisha sana..
Sijui nani anaweza kwenda kupigia kura utawala huu wa kishetani..!!
 
Mbona picha haiendani na maudhui ya Waraka wenyewe.
Hicho kicheko na tabasamu zito kwenye habari ya kusikitisha inatafuta Nini?

Chadema mnafeli Sana Tena Sana jirekebisheni,
Kama kweli walihusika na mauaji acha sheria ifanye Kazi yake ili iwe fundisho wa wote wanaofanya siasa za maji taka.
 
Watu wanaonewa kisa tofauti za kivyama
 

Umetumwa wewe na hao mbwa walokutuma waambie ni manguruwe tu
 
Magufuli anajisumbua tu,dhuluma haijawahi kuishinda haki na huwezi kushindana na mshindi
 
Wakatoliki wote wenye mapenzi mema na nchi tuungane mwezi huu wa Rozali tukamlilie Mama Bikira Maria asimame upande wa Lissu ili akapate ushindi wa kishindo! Magufuli anatesa sana raia wema kwa malengo ya kufanikisha mipango yake haramu ya kuiua CHADEMA! Nakulaani Magu kuanzia leo hutarudi kwenye kampeni!
 
Mikund u nyie yani mnamuua mtu kisa udiwani
af mnaleta nyenyee apa na wana bahati tukio liliwah kwe media ila waltakiwa wawewamekufa tayari
 
Huwajui Chadema wewe, wanaweza kwenda extra miles provided kuna fungu. Ni chama cha ajabu hata shetani mwenyewe atakuwa anawapenda.
 
Ccm inawatesa raia wema,kuwasingizia/kuwaammbika kesi kubwa kubwa ili kuwatisha wapiga kura.
Dhambi hii haiwaachi.
Lissu ndani ya siku 100 atawatoa wote na kuwafidia,tuitengeneze Tanzania mpya.
Kura zote kwa Lissu
Lissu atauona Urais kwenye TV tu. Nani amchague Mbowe?. Ni mara 100 kuchagua hashim rungwe kuliko saccos.
 
Askofu Mwamakula anaweza kutupiwa kesi yoyote muda wowote.Askofu Muombe Mungu sana njia yako ina miiba mingi, wameanza na mkeo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…