Wapokeaji wa barua katika ofisi(Masijala)

Wapokeaji wa barua katika ofisi(Masijala)

Jamaa unatetea ujinga ulioko masijara,kama barua iliondikwa ilikua imeandkwa kw boss wa masjara mteja akilalamika kua amekua akidai rushwa? Je huoni mtuhumiwa aweza ficha barua hiyo? Kuna kitu kipo hapa mabosi wa tasisi nyngi za umma wanakula rushwa
kupitia watu wa chn.masjara wananyonga haki nyingi za wanyonge!!!

Hiii ni taharuma mkuu na huo ni utaratibu si kwamba wanajiamulia
 
Ndugu kendakubonaontwale sio barua zote ofisi ya masijala inayo mamlaka ya kufungua.zipo aina/sifa za barua ambazo hufunguliwa na wakuu wa idara au zile barua binafsi kwa maan zilizomtaja au kumlenga muhusika kwa jina lake kabisa.nasisitiza kwa jina lake na sio wadhifa au cheo alichonacho
 
Back
Top Bottom