Hivi unaweza kutuma barua ofisi za serikal au za binafsi harafu hawa wanaopokea barua(masijala) amabo kimsingi ndio wanapokea barua je wanaweza wasiifikishe kwa muhusika??na ufanyeje kuhakikisha barua imefika kwa mlengwa??maaana sina uzoefu na hili swala nilituma barua huko mwanza ofis moja ya serikal mpaka sasa kimyaa sasa sijui kama ilfika au laa mwenye uelewa na hili anisaidie