Wapokeaji wa barua katika ofisi(Masijala)

MZIBHAZI

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
520
Reaction score
139
Hivi unaweza kutuma barua ofisi za
serikal au za binafsi harafu hawa
wanaopokea barua(masijala) amabo
kimsingi ndio wanapokea barua je
wanaweza wasiifikishe kwa
muhusika??na ufanyeje kuhakikisha
barua imefika kwa mlengwa??
maaana sina uzoefu na hili swala
nilituma barua huko mwanza ofis
moja ya serikal mpaka sasa kimyaa
sasa sijui kama ilfika au laa
mwenye uelewa na hili anisaidie
 
kwa uzoefu mdogo nilonao sheria,taratbu na kanuni ni lazima upitshe barua masjala,na wao wanaiweka kwe faili husika a kurekod kumbukumbu then wanaifoward kunakohusika,then wewe unatakiwa kupata fedbak kwa kufuata pale pale masjala.
 
Kisheria barua lazima ipitie masijala baada ya hapo urekodiwa na kuweka kwenye faili husika zen ufanyiwa mchakato kama kwenda kwenye department husika sasa inategemea kama uyo anaeshuurikia iyo barua atakuwa fasta au laah zen majibu urudishwa aidha kwa njia ya cmu au barua. ndo ivyo mkuu
 
Hata mimi kwakweli najiuliza sana kama barua zangu ninazozituma kupitia posta ya kijitonyama zinafika kwa walengwa hii ni kutokana na kutokuitwa interview hata moja na bahati mbaya nawakuta wanawake na ninavyowajua walivyo na vinyongo nafikiri huwa wanazitelekeza.
 
Kisheria barua lazima ipitie masijala baada ya hapo urekodiwa na kuweka kwenye faili husika zen ufanyiwa mchakato kama kwenda kwenye department husika sasa inategemea kama uyo anaeshuurikia iyo barua atakuwa fasta au laah zen majibu urudishwa aidha kwa njia ya cmu au barua. ndo ivyo mkuu

Kama wanazifungua na kuzisoma kabla hawajazipeleka si wanaweza wakaipotezea wasiipeleke kwa mlengwa??au inakuaje??
 
Hapana mkuu barua zote ufikishwa mahali husika na akuna barua ata moja inayopotea mkuu kama ulituma we vuta subira utapata tu majibu
 
Muhimu unapopeleka barua uwe na dispatch book, na kama huna basi uwe na kopi ya barua na uwaombe pale masijala wakugongee muhuri wa received na tarehe
 
Kama umetuma kwa posta jee
unatuaje kama imefika aisee maana
posta unanunua step tuu na
kudumbukiza basii
 
Mmmh...! SVOCA.! Je, kama sina faili hapo masjala na ni mara ya kwanza kutuma barua hapo,inakuwaje.?
 
Matatizo ya barua kutokufika mahali ilikopaswa kufika ni matatizo ambayo yapo katika ofisi mbalimbali za umma na binafsi.lakini jambo la msingi wewe unayeandika barua na kuweka anuani unatakiwa kuzingatia maudhui ya barua kwasababu unaweza kuandika barua mfano unataka imfikie afisa tawala,barua yenyewe imeandikwa kwa mambo binafsi na pengine unazungumzia madhaifu yaliyopo katika taasisi yake,lakini sasa hapo nje kwenye bahasha uliandika cheo kwa maana ya afisa tawala..kampuni soso..hyo barua itafunguliwa na yawezekana isifike kwasababu ya kilichoandikwa humo ndani.nini cha kufanya sasa.
Zingatia mambo haya.
1.kama barua ina maelezo binafsi humo ndani hata kama mwisho wa siku itafanyiwa kazi kiofisi hakikisha unaandika jina la muhusika.hii mara nyingi inasaidia kutowapa nafasi wapokeaji kwasababu hawajui nani ametuma na kwa lengo lipi.
2.Kama ni barua ya kiofisi hakikisha unaandika cheo na cha uliyeelekezwa kutuma kwake ili kutoa nafasi barua ile iweze kufanyiwa kazi hata pale mwenye cheo husika hatokuwepo ofisini basi anayekaimu ataifanyia kazi.
3.epuka kuandika anuani yenye jina la mtu na cheo chake ndani ya barua yenyewe au juu ya bahasha.mara nyingi kufanya hivi kunatoa nafasi barua yako kusubirishwa au kutofanyiwa kazi.kwenye ofisi mtu hutambuliwa kiutendaji au nyadhifa na nyadhifa haziondoki ofisini bali mtu.
Hvyo tambua kuna namna mbili za msingi unapaswa kuzingatia.
Address your letter in personal/private(andika kwa kutaja jina la mtu husika juu ya bahasha) or official (andika cheo/wadhifa wa mtu juu ya bahasha).
Nb.usiandike jina na wadhifa juu ya bahasha ili kuepusha mkanyiko kwa mpokeaji kwani hulazimika kufungua barua ambayo pengine ilikuwa inaeleza mambo binafsi sana na ya siri ambayo mtu mwingine hakupaswa kusoma.
 
kwa taratibu zilizopo ukifikisha barua masijala weka miadi nao lini urudi kuchukua mrejesho kwa sababu wao hupokea na kuweka kumbukumbu kisha kupeleka sehemu husika . nijuavyo ni hivyo.
 
Matatizo ya barua kutokufika mahali ilikopaswa kufika ni matatizo ambayo yapo katika ofisi mbalimbali za umma na binafsi.lakini jambo la msingi wewe unayeandika barua na kuweka anuani unatakiwa kuzingatia maudhui ya barua kwasababu unaweza kuandika barua mfano unataka imfikie afisa tawala,barua yenyewe imeandikwa kwa mambo binafsi na pengine unazungumzia madhaifu yaliyopo katika taasisi yake,lakini sasa hapo nje kwenye bahasha uliandika cheo kwa maana ya afisa tawala..kampuni soso..hyo barua itafunguliwa na yawezekana isifike kwasababu ya kilichoandikwa humo ndani.nini cha kufanya sasa.
Zingatia mambo haya.
1.kama barua ina maelezo binafsi humo ndani hata kama mwisho wa siku itafanyiwa kazi kiofisi hakikisha unaandika jina la muhusika.hii mara nyingi inasaidia kutowapa nafasi wapokeaji kwasababu hawajui nani ametuma na kwa lengo lipi.
2.Kama ni barua ya kiofisi hakikisha unaandika cheo na cha uliyeelekezwa kutuma kwake ili kutoa nafasi barua ile iweze kufanyiwa kazi hata pale mwenye cheo husika hatokuwepo ofisini basi anayekaimu ataifanyia kazi.
3.epuka kuandika anuani yenye jina la mtu na cheo chake ndani ya barua yenyewe au juu ya bahasha.mara nyingi kufanya hivi kunatoa nafasi barua yako kusubirishwa au kutofanyiwa kazi.kwenye ofisi mtu hutambuliwa kiutendaji au nyadhifa na nyadhifa haziondoki ofisini bali mtu.
Hvyo tambua kuna namna mbili za msingi unapaswa kuzingatia.
Address your letter in personal/private(andika kwa kutaja jina la mtu husika juu ya bahasha) or official (andika cheo/wadhifa wa mtu juu ya bahasha).
Nb.usiandike jina na wadhifa juu ya bahasha ili kuepusha mkanyiko kwa mpokeaji kwani hulazimika kufungua barua ambayo pengine ilikuwa inaeleza mambo binafsi sana na ya siri ambayo mtu mwingine hakupaswa kusoma.

Mkuuu umeeleza vizuri sana ila hapo kwenye NB sijakuelewa nidiandike jina la mtu anae hold office au??maana usipoandika jina lake ukaandika chro tu si lazima waifungue au??mfano GENERAL MENEGER .....P.O.BOX ....DAR ES SALAAM je hii barua wataifungua masijala na kuisoma kwanza au wanaifowad moja kwa moja kwa mlengwa(Meneger)??
 
Ndugu mzibhazi maana yangu ya kusema uandike wadhifa au cheo cha mtu ni kuruhusu hiyo barua yako ifanyiwe kazi.mfn ulimuandikia barua gm lkn akawa amesafiri wakati barua inafika ofisn,maana yake ni kuwa barua ile itafanyiwa kazi na atakayekuwa ana kaimu ofisini.madhara ya kuandika jina la mtu kwenye barua inayohusu masuala ya kiofisi ni kuchelewa kufanyiwa kazi endapo uliyemkusudia mfikie asipokuwepo ofisini.hvyo kama barua ni ya kiofisi andika wadhifa au cheo cha muhusika kwa mujibu wa maelezo uliyopewa mfn kama uliambiwa andika kwa general manager nk fanya hivyo.epuka uandishi huu hapa,
Ngaliba kijicho
Meneja mkuu
Kijicho company ltd
P.o.box 0000
Mafia.
Uandishi huu unaleta sana mkanganyiko kama nilivyosema hapo juu.
Uandishi unapaswa kuwa wa namna Hui
1.
Ngaliba kijicho
Kijicho company ltd
P.o.box 0000
Mafia
AU
General manager
Kijicho company ltd
P.o.box 0000
Mafia.
Kwa maelezo hayo naamini utakuwa umenielewa
 
Nimekupata mkuu shukurani sana sasa jee kwabuanfishi huo ulioniaonesha hapo wa kuandika wadhifa jee masijala lazima waifungue hiyo barua waisome??au wanaipeleka moja kwa moja kwa aliyeelekezewa Anuani mkuu usichoke hapa tunafundishana hata watu wengine wanapata somo mkuu siyo MZIBHAZI tuu
 
Ukiandika nyadhifa au cheo lazima masijala waifungua ili kujua inahusu nini na waweke katika kumbukumbu zao ndio ipelekwe.na utaratibu huu unatumika sehemu zote nchini na nje.lakini masijala nao wanamipaka ya kufungua kwamaana endapo barua ina muhuri wa siri/confidential pale juu ya bahasha hawawezi kufungua.hvyo ndugu yangu mzibhazi usiwe na hofu sana juu ya kufika kwa barua yako mahali ulipoituma.zipo changamoto katika ofisi hizo ambazo naamini zimekuwa zikifanyika jitihada za kuziondoa na moja wapo kuajiri wataalamu wa fani husika.jambo la msingi ni uandishi unaofaa.
 
Asante sana Mkuu Mungu akubariki sana
 
Jamaa unatetea ujinga ulioko masijara,kama barua iliondikwa ilikua imeandkwa kw boss wa masjara mteja akilalamika kua amekua akidai rushwa? Je huoni mtuhumiwa aweza ficha barua hiyo? Kuna kitu kipo hapa mabosi wa tasisi nyngi za umma wanakula rushwa
kupitia watu wa chn.masjara wananyonga haki nyingi za wanyonge!!!
 
Matatizo ya barua kutokufika mahali ilikopaswa kufika ni matatizo ambayo yapo katika ofisi mbalimbali za umma na binafsi.lakini jambo la msingi wewe unayeandika barua na kuweka anuani unatakiwa kuzingatia maudhui ya barua kwasababu unaweza kuandika barua mfano unataka imfikie afisa tawala,barua yenyewe imeandikwa kwa mambo binafsi na pengine unazungumzia madhaifu yaliyopo katika taasisi yake,lakini sasa hapo nje kwenye bahasha uliandika cheo kwa maana ya afisa tawala..kampuni soso..hyo barua itafunguliwa na yawezekana isifike kwasababu ya kilichoandikwa humo ndani.nini cha kufanya sasa.
Zingatia mambo haya.
1.kama barua ina maelezo binafsi humo ndani hata kama mwisho wa siku itafanyiwa kazi kiofisi hakikisha unaandika jina la muhusika.hii mara nyingi inasaidia kutowapa nafasi wapokeaji kwasababu hawajui nani ametuma na kwa lengo lipi.
2.Kama ni barua ya kiofisi hakikisha unaandika cheo na cha uliyeelekezwa kutuma kwake ili kutoa nafasi barua ile iweze kufanyiwa kazi hata pale mwenye cheo husika hatokuwepo ofisini basi anayekaimu ataifanyia kazi.
3.epuka kuandika anuani yenye jina la mtu na cheo chake ndani ya barua yenyewe au juu ya bahasha.mara nyingi kufanya hivi kunatoa nafasi barua yako kusubirishwa au kutofanyiwa kazi.kwenye ofisi mtu hutambuliwa kiutendaji au nyadhifa na nyadhifa haziondoki ofisini bali mtu.
Hvyo tambua kuna namna mbili za msingi unapaswa kuzingatia.
Address your letter in personal/private(andika kwa kutaja jina la mtu husika juu ya bahasha) or official (andika cheo/wadhifa wa mtu juu ya bahasha).
Nb.usiandike jina na wadhifa juu ya bahasha ili kuepusha mkanyiko kwa mpokeaji kwani hulazimika kufungua barua ambayo pengine ilikuwa inaeleza mambo binafsi sana na ya siri ambayo mtu mwingine hakupaswa kusoma.

Nimekupata mkuu shukurani sana sasa jee kwabuanfishi huo ulioniaonesha hapo wa kuandika wadhifa jee masijala lazima waifungue hiyo barua waisome??au wanaipeleka moja kwa moja kwa aliyeelekezewa Anuani mkuu usichoke hapa tunafundishana hata watu wengine wanapata somo mkuu siyo MZIBHAZI tuu

Lazima ifunguliwe na isomwe
 
Back
Top Bottom