Wapo wapi? Ama kweli jana sio leo na leo sio kesho

Wapo wapi? Ama kweli jana sio leo na leo sio kesho

Siwezi sema walinizidi akili enzi za primary, eti kwa kuwa wao walifaulu mi nikafeli.!

Aliyefeli primary ndiye aliyemaliza seko, waliofaulu walishindwa kufika cha TATU kidato!

~JayMo Mchopanga.
 
Wivu kwenye nini Boss?
Mkuu kunauzi flani uliandika siku moja wakati nausoma gafla moderator wakaufuta...sijui ntaupataje ...ulikiwa unasema ...sijui kwanini napata amani akitawala...........ni ulikuwa wa kichochezi lakini ulikuwa ukweli mchugu
 
Mkuu kunauzi flani uliandika siku moja wakati nausoma gafla moderator wakaufuta...sijui ntaupataje ...ulikiwa unasema ...sijui kwanini napata amani akitawala...........ni ulikuwa wa kichochezi lakini ulikuwa ukweli mchugu

Waliufuta ndio Mkuu

Japo mimi ni Mkristo lakini hilo nimelibaini
 
Waliufuta ndio Mkuu

Japo mimi ni Mkristo lakini hilo nimelibaini
Wachache wanakubaliana na hichi kitu lakini a brainwashed mental hawataki na wala hawajaribu kufikiria kitu cha namna hiyo ..nadhani kinachokufanya uwe na amani kama ulivyosema na hata mimi ninavyokuwa kuwa nayo ni kwamba hawa jamaa huruma na wema siyo theory ni practice.
 
Wako wapi waliotaka kuua upinzani ili wao waendeleee kuonekana viongozi wazuri???
Wako wapi walio jiona miungu watu!??
Wako wapi walio wanyima watumishi ongezeka LA mushahara!?!
 
Yuko wapi yule jamaa aliyesema hajaribiwi, hatishwi na wala hapangiwi... yule aliyejifananisha na jiwe na kujibaraguza kutaka kuongoza malaika mbinguni?

Yako wapi yale mabunduki yaliyokuwa yanamlinda na kumpa jeuri? Ni kweli yamezidiwa nguvu na ziraili?

Nauliza yuko wapi?
hahahahahaha mwenye msafara wa magari zaidi ya 70
 
The Way It Is / Lucky Dube

Didn't I raise my voice High enough for you I was running like a fugitive all the time Risking rejection from my own people, yeah Now that you got what you wanted You don't even know my name It's so funny, we don't talk anymore Be good to the people on your way up the ladder 'Cause you'll need them on your way down That's the way it is (the way it is) That's the way it is (the way it is) That's the way it is (the way it is) That's the way it is, oh no (the way it is) Didn't I raise my fists high enough for you I guess I can pat myself on the shoulder For a job well done Dodging bullets in the streets, I was there Risking rejection from my own people Now that you got what you wanted You don't even know my name Remember Be good to the people on your way up the ladder 'Cause you'll need them on your way down That's the way it is (the way it is) The way it is, yeah (the way it is) That's the way it is (the way it is) That's the way it is (the way it is) And that's the way it is (the way it is) That's the way it is (the way it is) That's the way it is (the way it is) That's the way it is (the way it is) The way it is (the way it is) That's the way it is Be good to the people on your way up the ladder 'Cause you'll need them on your way down That's the way it is, oh no (the way it is) That's the way it is Be good to the people on your way up the ladder 'Cause you'll need them on your way down That's the way it is (the way it is) That's the way it is Be good to the people on your way up the ladder 'Cause you'll need them on your way down
 
Back
Top Bottom